Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Kukamatwa bila kosa?
Kosa lao lime thibitishwa na nani ?
Kukamatwa bila kosa?
Unataka lithibitishwe na nani?Kosa lao lime thibitishwa na nani ?
Jambo hili kwa kuwa limevuka mipaka ya nchi hakika lina athari kubwa sana kwa nchi yetu kiuchumi
Unataka lithibitishwe na nani?
Mara hakuna chombo cha nje kilichoandika , mara Chadema ni wakala wa wakoloni , tushike lipi ?CDM ni wakala wa hao wakoloni mambo leo. Lazima wawapiganie vibaraka wao. Hasa baada ya wakoloni hao kubanwa kutuibia,wameamua kuwapambania vibaraka wao ili waendeleze wizi wao wa rasilimali zetu
Ulitaka nisiwahukumu?Sasa ni kwa nini ktk Comment yako ume wahukumu ?
Wapuuzi hawa, alimradi wakuze mamboEti kukamatwa "kikatili", ha ha ha.
Suala la uwakala wawakoloni halihitaji maelezoMara hakuna chombo cha nje kilichoandika , mara Chadema ni wakala wa wakoloni , tushike lipi ?
Hii amani aliyoikuta magufuri haikuota kama uyoga na asidhani ana akili kuliko Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete ambao waliheshimu demokrasia ya vyama vingi. Hoja yangu ni hii:Jambo hili kwa kuwa limevuka mipaka ya nchi hakika lina athari kubwa sana kwa nchi yetu kiuchumi
Si muda mrefu nyie washamba wa siasa mtajua kuwa tanzania ni kama umande kwa jumuiya za kimataifa kiuchumi na msisahau, adui mwombee njaa.Jambo hili kwa kuwa limevuka mipaka ya nchi hakika lina athari kubwa sana kwa nchi yetu kiuchumi
Na bado hapa tusubiri noti ya 50,000Utalii umedumaa na unakufa Ndio maana Tshs imeporomoka thamani
Pita bureau De change usome, 1 $ is 2245 Tshs
Mungu usiibariki CHADEMA.
Wahenga waliwahi kusema kwamba " UKIMPIGA TEKE CHURA UNAMUONGEZEA MWENDO "
Ukifuatilia vyombo vyote vya habari vya kimataifa kama vile BBC, DEUTCH WELLE, ALJAZEERA nk, habari kubwa ni kukamatwa kikatili kwa viongozi wa Kitaifa wa Chama kikuu nchini Tanzania cha CHADEMA na kuswekwa rumande kwa maagizo kutoka juu (kama tulivyoambiwa siku chache zilizopita)
Wataalam wa siasa za kimataifa wamelielezea jambo hili kama ni kuongezeka kwa ufuatiliaji wa mashirika makubwa ya habari duniani kwa Tanzania, hasa baada ya kuacha siasa za kibinadamu na kuanza siasa mpya za udikteta na mauaji na kukua kwa CHADEMA (chama kinachotarajiwa na wengi kukomboa nchi na kuondoa siasa za kishamba) katika siasa za kidunia.
Mungu ibariki CHADEMA.
Makalio makubwa makonda na mkurugenzi wa kinondoni na wa tume ya taifa wanapaswa kuwa ndani ni sehemu yawalioruhusu risasi ipigweMbowe asingehamasisha maandamano kuna Mtu angepigwa risasi?
Nao a mama yako alikuwa ukiwa juu ya mti ukadondoka huna akili Nani aliwaleta wazungu mafisadi nyieCDM ni wakala wa hao wakoloni mambo leo. Lazima wawapiganie vibaraka wao. Hasa baada ya wakoloni hao kubanwa kutuibia,wameamua kuwapambania vibaraka wao ili waendeleze wizi wao wa rasilimali zetu
Vyombo vya habari havisaidii lolote Mbowe lazima ale pasaka akiwa segerea na atakula mvua miezi sitaWahenga waliwahi kusema kwamba " UKIMPIGA TEKE CHURA UNAMUONGEZEA MWENDO "
Ukifuatilia vyombo vyote vya habari vya kimataifa kama vile BBC, DEUTCH WELLE, ALJAZEERA nk, habari kubwa ni kukamatwa kikatili kwa viongozi wa Kitaifa wa Chama kikuu nchini Tanzania cha CHADEMA na kuswekwa rumande kwa maagizo kutoka juu (kama tulivyoambiwa siku chache zilizopita)
Wataalam wa siasa za kimataifa wamelielezea jambo hili kama ni kuongezeka kwa ufuatiliaji wa mashirika makubwa ya habari duniani kwa Tanzania, hasa baada ya kuacha siasa za kibinadamu na kuanza siasa mpya za udikteta na mauaji na kukua kwa CHADEMA (chama kinachotarajiwa na wengi kukomboa nchi na kuondoa siasa za kishamba) katika siasa za kidunia.
Mungu ibariki CHADEMA.
Mkuu wala siko unakonipelekaSi muda mrefu nyie washamba wa siasa mtajua kuwa tanzania ni kama umande kwa jumuiya za kimataifa kiuchumi na msisahau, adui mwombee njaa.
Siku hao wakubwa wakituteta tutabanana na mtapiga kura ya kumkataa huyo mteule wenu wenyewe.
Njaa tu inatosha kuwageuza vichwa na mtaingia mitaani ja hamtakumbuka reli, flyover wala upupu wowote mbaojitapa nao.
DEMOKRASIA NDIYO DEAL DUNIANI