This government is becoming increasingly desperate as days go by a vivid example that its fall is imminent.Mbowe asingehamasisha maandamano kuna Mtu angepigwa risasi?
This government is becoming increasingly desperate as days go by a vivid example that its fall is imminent.Mbowe asingehamasisha maandamano kuna Mtu angepigwa risasi?
We bwege kwani Chadema ndiyo waliofyatua risasi?Mnauwa watu kwa maandamano haramu ili mpate sifa na kuchafua nchi kimataifa?
Sifa za kijinga hizi.
Si muda mrefu nyie washamba wa siasa mtajua kuwa tanzania ni kama umande kwa jumuiya za kimataifa kiuchumi na msisahau, adui mwombee njaa.
Siku hao wakubwa wakituteta tutabanana na mtapiga kura ya kumkataa huyo mteule wenu wenyewe.
Njaa tu inatosha kuwageuza vichwa na mtaingia mitaani ja hamtakumbuka reli, flyover wala upupu wowote mbaojitapa nao.
DEMOKRASIA NDIYO DEAL DUNIANI
Ujinga mnaoufanya hautawasaidia!wenye akili wameshawachoka!Wahenga waliwahi kusema kwamba " UKIMPIGA TEKE CHURA UNAMUONGEZEA MWENDO "
Ukifuatilia vyombo vyote vya habari vya kimataifa kama vile BBC, DEUTCH WELLE, ALJAZEERA nk, habari kubwa ni kukamatwa kikatili kwa viongozi wa Kitaifa wa Chama kikuu nchini Tanzania cha CHADEMA na kuswekwa rumande kwa maagizo kutoka juu (kama tulivyoambiwa siku chache zilizopita)
Wataalam wa siasa za kimataifa wamelielezea jambo hili kama ni kuongezeka kwa ufuatiliaji wa mashirika makubwa ya habari duniani kwa Tanzania, hasa baada ya kuacha siasa za kibinadamu na kuanza siasa mpya za udikteta na mauaji na kukua kwa CHADEMA (chama kinachotarajiwa na wengi kukomboa nchi na kuondoa siasa za kishamba) katika siasa za kidunia.
Mungu ibariki CHADEMA.
Unadhani kila mtu ni Pimbi!mijitu mizima inafanya mambo ya kitoto....mwingine anajiita mchungaji! Kosa lao wanalijua vizuri. .....waache wapambane na hali yao!KItendo cha kukamatwa bila kosa la kueleweka tayari ni ukatili ................!!
Hakuna aliyejuu ya sheria!mnatunga uongo ili mjibiwe na idara ya itikadi ya CCM? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pimbi hawa .....mpambane na hali yenu!Kama kinachoongelewa na Chadema ni cha uongo, si watumie idara yao ya itikadi na uenezi kuzijibu?
Sasa huu mfumo mpya wa siasa wa CCM wa kutuma kikosi cha Polisi kila penye Mkutano wa Chadema na kurekodi, na kumpelekea Mkulu, na yeye kwa "concept" yake ni kuwa kila anayemkosoa ni MCHOCHEZI au MSALITI au siyo MZALENDO ndiko kunakolipeleka Taifa hili shimoni!
Mjinga ni wewe.unafikiri nchi, Za nje ni chato??Mnauwa watu kwa maandamano haramu ili mpate sifa na kuchafua nchi kimataifa?
Sifa za kijinga hizi.
Alidhani yuko juu ya sheria!eti ndiye kiongozi KUB !mchango wake ni nini bungeni? Hasara kwa taifaVyombo vya habari havisaidii lolote Mbowe lazima ale pasaka akiwa segerea na atakula mvua miezi sita
Kwani ni nani asiyepambana na hali yake....!?Unadhani kila mtu ni Pimbi!mijitu mizima inafanya mambo ya kitoto....mwingine anajiita mchungaji! Kosa lao wanalijua vizuri. .....waache wapambane na hali yao!
Kikonyorongoma ikilia sana kwa mvumo kuna mshindo unaosikika kwa mbali
sasa ni wazi jamii ya kimataifa itadodosa kulikoni huu udikteta wa dhairi kwa tanzania
Kwani kulikuwa na ulazima gani wa kutumia risasi??Mbowe asingehamasisha maandamano kuna Mtu angepigwa risasi?
Hasara waliyopata wazazi wako haipimiki ! huna hata chembe ya aibu , hauna tofauti na wanyama .Hakuna aliyejuu ya sheria!mnatunga uongo ili mjibiwe na idara ya itikadi ya CCM? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pimbi hawa .....mpambane na hali yenu!
Eti Chadema inatarajiwa na wengi kuokoa Taifa wakati Chadema yenyewe ishakufa umebaki kwenye social media na media za mabeberu. Subirini 2020 Kama hao watapiga kuraWahenga waliwahi kusema kwamba " UKIMPIGA TEKE CHURA UNAMUONGEZEA MWENDO "
Ukifuatilia vyombo vyote vya habari vya kimataifa kama vile BBC, DEUTCH WELLE, ALJAZEERA nk, habari kubwa ni kukamatwa kikatili kwa viongozi wa Kitaifa wa Chama kikuu nchini Tanzania cha CHADEMA na kuswekwa rumande kwa maagizo kutoka juu (kama tulivyoambiwa siku chache zilizopita)
Wataalam wa siasa za kimataifa wamelielezea jambo hili kama ni kuongezeka kwa ufuatiliaji wa mashirika makubwa ya habari duniani kwa Tanzania, hasa baada ya kuacha siasa za kibinadamu na kuanza siasa mpya za udikteta na mauaji na kukua kwa CHADEMA (chama kinachotarajiwa na wengi kukomboa nchi na kuondoa siasa za kishamba) katika siasa za kidunia.
Mungu ibariki CHADEMA.
kisa mshenzi mmojaJambo hili kwa kuwa limevuka mipaka ya nchi hakika lina athari kubwa sana kwa nchi yetu kiuchumi
we jinga kweli ukienda chooni unakunya akili unaacha mavi kwenye ubongo...Mimi naangalia RT sioni hizo mbwembwe na kiki zenu za msimu
Kuandamana bila kibali unaona sio kosa la kueleweka?KItendo cha kukamatwa bila kosa la kueleweka tayari ni ukatili ................!!
Umaarufu watapata na ndoo za segerea zitawahusu vilevilewanachokifanya nikuwapa umaurufu wa bure