CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

ife marangapi?.kazi ni kuchangisha pesa kama ombaomba wa ubungo.huku ruzuku wanajengea nyumba
Km juzi arusha, wanajilipua na bomu huku wanachukua mkanda utadhani ni send off, wanatoka apo eti polisi huu si uhuni huu
 
Chadema imekaribia kufa.

Kama kauli yako ni ya kweli kuna sababu ya kufuta kinacho kufa? kwa nini kisiachwe kife ili msipate lawama?
Mnaogopa chama kinacho karibia kufa?

Hili jiwe limerushwa kwa tendwa lakini lazima sisiemu wapige kelele.
 
Acha kuwewesekama mama....sheria za nchi hii ni za ajabu pengine kuliko ndunia nzima raisi akisha tangazwa huruhusiwi kuhoji hata kama alie tangazwa ni **

hoji barua ya zitto kwenda kwa slaa ilivujaje? ikawekwa jf?
 
hoji barua ya zitto kwenda kwa slaa ilivujaje? ikawekwa jf?

Kwa magaidi hilo hawaoni ni tatizo, waulize ilikuwaje lwakatare akarekodiwa chumbani akipanga ugaidi, uone yatakavyotokwa povu
 
Huwezi kuendesha ofisi ya uma inayoendeshwa kwa sheria kwa hisia za kibinadamu au kwa masilahi ya chama fulani la sivyo hyo kazi kuna cku itakushinda.

slaa muda wake umeisha amuachie zitto kabwe chama sio upapa
 
Hata unaposema rais ni taasisi, ila wewe unamuitaje Kikwete?

Kwa upeo wako hufai hata kuwa mwanafunzi wangu.

Paulo alishaandika kuwa mwanamke huna ruhusa ya kusimama na kufundisha mbele ya wanaume, kaa kimya
 
Kama kauli yako ni ya kweli kuna sababu ya kufuta kinacho kufa? kwa nini kisiachwe kife ili msipate lawama?
Mnaogopa chama kinacho karibia kufa?

Hili jiwe limerushwa kwa tendwa lakini lazima sisiemu wapige kelele.
Tumechoka kuuguza,
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

tatizo sio wewe na mawazo yako! tatizo ni ngili maji inakusumbua....wakati mwingine kama umelogwa....
 
Paulo alishaandika kuwa mwanamke huna ruhusa ya kusimama na kufundisha mbele ya wanaume, kaa kimya
Ufipa fc, kinondoni hq, hoja zimeisha sasa mnaanza kurusha mateke..povu hadi kwenye nyusi
 
Naomba kujuzwa coz nimekua nikifuatilia kauli za Mh Tendwa nikagundua kwamba ameshazeeka anatakiwa akapumzike kwan mda umeshamtupa mkono hafai tena kuwa kiongozi tena kwenye kitengo nyeti kisichoitaji ufuasi wa chama chochote cha siasa....!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Tendwa ni mgombea ubunge mtarajiwa wa ccm! Ndiyo maana anadiriki kuzalilisha taaluma yake! I hate u Tendwa!
 
Kila aliye kada wa CCM lazima ajaribu mbinu za kupambana na CDM,na hii dalili ya wazi kuwa CCM wamepagawa na mashambulizi sasa kila mtu anatumia ufundi wake binafsi......hii kazi kweli.....
 
nakubalia na chadema asilimia mia...sababu tendwa anaitazama chadema kwa jicho la ccm......
 
Pevuka kiakili.muda wake wa kukalia ofisi ulishaisha.anaishi kinyemela kwa kudra za magamba tu hapo ofisini.safi dr slaa.

slaa anakalia ofice kwa kudra ya wajinga wa cdm ambao hawajatambua kuwa jamaa yupo kipesa
 
Hata unaposema rais ni taasisi, ila wewe unamuitaje Kikwete?

Kwa upeo wako hufai hata kuwa mwanafunzi wangu.

Sia ajabu hata Mtela Mwampamba nae anajiita Mwalimu.
Huu Ualimu sasa umeingiliwa.
Zile enzi za " UALIMU NI WITO" naona sasa zimeshapitwa na wakati.
 
Last edited by a moderator:
Tendwa ameshafutwa kazi na wapenda Demokrasia/Mabadiliko mda mrefu.
Anaonekana dhahiri kutumika na Chama tawala huku akisahau watanzania wangali wakitaka mabadiliko.
Anatakiwa ajipime/ajitafakari, 2015 ipo jirani sana.
 
Back
Top Bottom