CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

chama cha demokrasia na maendeleo chadema kimetangaza kutomtambua msajili wa vyama vya siasa nchini john tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya yeye hajakifuta chama hicho.

katibu mkuu wa chadema, dr. Willbroad slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya msajili john tendwa ya kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na si john tendwa.

Amezungumza hayo hii leo jijini dsm wakati wa uzinduzi wa kongamano la kimataifa la vijana kuhusu demokrasia.

source: Mimi mwenyewe!

For more info: Tazama hotmix ya eatv!

...hapa ndipo ninapoipenda chadema,inamaamuzi magumu siku zote na wanaweza kuyasimamia mpaka mwisho na yakaeleweka vyema, oooh chadema ni zawadi ya mungu kwetu, kila fisadi na mpinga demokrasia lazima anaichukia tu...
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!
Muda wake wa kustaafa umepita, yupo pale kwa mkataba. Kwa hiyo Contractor can't make any decision for the office
 
Hata unaposema rais ni taasisi, ila wewe unamuitaje Kikwete?

Kwa upeo wako hufai hata kuwa mwanafunzi wangu.

mbona hueleweki wewe! Urais ni cheo, lakini ofisi ya rais ni taasisi, hivyo ikitokea mwenye dhamana aka-missbehave haimaanishi kwamba taasisi ndo ime-missbehave, vikao halali vitakaa na kuonaukweli ulipo na haki itatendeka.

Hivyo hivyo Tendwa kachoka, anakurupuka kuongea maneno ambayo kwa mtu mzima mwenye busara hapaswi kuongea mambo ya hivyo. Msajiri wa vyama siasa ni taasisi ambapo maamuzi ya taasisi hayapaswi kupangwa na mtu mmoja kama Tendwa anavyotaka kufanya.
 
Dr slaa ni jembe, dr.slaa ni mwiba mkali sana kwa magamva.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya yeye hajakifuta chama hicho.

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Willbroad Slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya msajili John Tendwa ya kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na si John Tendwa.

Amezungumza hayo hii leo jijini Dsm wakati wa uzinduzi wa kongamano la kimataifa la vijana kuhusu demokrasia.

Ujumbe mfupi lakini mzito na ulio fasaha. Ni wale tu waliobinafsisha akili zao ndiyo itawawia ngumu kuuelewa.
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

Na wewe acha bangi zako, think big na acha kuongea upuuzi wako, ina maana hapo ofisini Tendwa akiondoka office itafungwa au??Sheria ndio zinafanya kazi na sio binadamu, acha kutumika kijinga jinga kama unavyofanya...
 
Hata unaposema rais ni taasisi, ila wewe unamuitaje Kikwete?

Kwa upeo wako hufai hata kuwa mwanafunzi wangu.

unaota kweli wewe. nani mwenye akili zake timamu atakubali kuambukizwa kutokujitambua?
 
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]

Ha ha ha D kama kawaida yako, Dr slaa na mbowe walikukoseaga nini mzee?
 
Hata unaposema rais ni taasisi, ila wewe unamuitaje Kikwete?

Kwa upeo wako hufai hata kuwa mwanafunzi wangu.
Mh JK hayupo ikulu kwa mkataba, tulimchagua kwa kipindi cha miaka mitano. Baada ya miaka mitano, tumemchagua tena kwa miaka mitano zaidi. Baada ya hii miaka mitano, hawezi kujipa mkataba wa miaka 2 au 3. akijipa mkataba,no body will call him Mr. President any more
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!
kila mtu anajua kuwa wewe unatumika kama huyo mzee wa uchochoro aka mwanya.think twice unaweza kumtetea msajili wa vyama vya siasa pamoja na mapungufu yote yale? KUIFUTA CHADEMA LEO NI SAWA NA KUSEMA UNABATILISHA VYETI VYOTE VYA BARAZA LA MITIHANI TANZANIA KUANZIA MWAKA 1972! CAN YOU IMAGINE BALAA UTAKAYOILETA?
 
mtu akipafahamu nyumbani kwenu ni lazima amfahamu na baba yako?
Kwa hyo baba yako akitoweka na kwenu panatoweka?
Ile ni ofisi, na yule ni tendwa

Mkuu kisu kimewekwa kwenye mfupa sawasawa! huyu jamaa hana tofautina wale jamaa wanao enda kuchumbia mke halafu wakifanikiwa kuoa huona kuwa wameoa familia nzima na hivyo kwa kuwa ameowa mwanamke basi wanawake wote kwenye ile familia huwaona kama wake zake. Ujinga mtupu, kipimo cha Tendwa kutumika kilikuwa kule Arumeru.
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!
We chair fire una matatizo gani?
 
.....Naona kama kawaida yako HAMY DADA.
 
Ukisikia msemo "wajinga ndio waliwao" ndugu zangu ndio kama hivi. Sasa huyu Dr ana maana gani kusema anakitambua chombo wala atambui mwendesha chombo. Huyu is he taking people for fools.

Nasikitishwa na hao wanojiungia mkono bila ua kufikiria, inaonyesha uuduni wao wa kuweza kufikiri na kutofautisha mambo. CDM wanahaki kupinga maamuzi ya Tendwa, pia wanahaki kuyafikisha mahakamani. lakini kukina chombo cha huduma kwenye siasa , ni kama anotoa kamba ya kukinyonga chama chake. Dr imuikuta Chadema ikiwa ipo na active, na utaiwacha, Tafadhali usiwaharibie watu chama chao. wewe umeshaharibu vingi mpaka Vatican.
 
Hee unaitambua ofisi ila humtambui aliyeshika ofisi.
 
Back
Top Bottom