Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,688
- 140,364
Hivi WanaCDM huzima hoja kwa matusi tu. Hiki chama ni majanga tupu
na bado mpaka muache kumfulia ch****i Mwigulu na mje upande wetu kuikomboa nchi

Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?
Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.
Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.
Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!
Jamani naomba msaada, hivi Tendwa ni Judge wa wapi? Mahakama ipi? Tangu lini?

!

Nimefurahi sana kauli ya Katibu mkuu kuwa kabla Tendwa hajaifuta Chadema, chama hicho tayari kilishamfuta yeye siku nyingi sana!
hata unaposema rais ni taasisi, ila wewe unamuitaje kikwete?
Kwa upeo wako hufai hata kuwa mwanafunzi wangu.
na bado mpaka muache kumfulia ch****i Mwigulu na mje upande wetu kuikomboa nchi
duu! Hamy d uwe mwalimu! Labda ufundishe kukaba na kubaka wanawake wasio na hatia kama wenzako mtwara
Jamani naomba msaada, hivi Tendwa ni Judge wa wapi? Mahakama ipi? Tangu lini?
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?
Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.
Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.
Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!
Nimefurahi sana kauli ya Katibu mkuu kuwa kabla Tendwa hajaifuta Chadema, chama hicho tayari kilishamfuta yeye siku nyingi sana!
Yaani tendwa masisiem yamemtenda kawa kama mwendawazimu....Mnakumbuka wakati wa ubunge Arumeru alisema katumwa na wazee wa Meru juwa amuambie Lema asiruke kwao? Kilichotokea mnakijua Lema alikewnda kufanya kampeni na wazee walimkaribisha! Hivi huyu mzee mwanya wake kama kigoli anauringia sio?
Wewe gamba mlivyokuwa vilaza na wasahaulifu kama tendwa,hapa unamtaja makamu wenu mangula ndiye chichidodo...hahahaaaunatambua ofisi ila mwenye ofisi humtambui.chadema ni chichidodo story
hahahahaaaa mkuu umemix au?ni KINANA lager bariiiiiiiiiidiiiihaa haaa haaaaaa
waiter lete RAHA banana moja
karibu jamvini ila kama wewe ni lumumba project shauri yako utakavyonyambuliwa hapa jamvini.....simamia maslahi na uache njaa!!!Hello!it's a great honour to join u great thinkers,I appreciate being approved to be in your community and I THANK YOU.