CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

cjakusoma babukjana, waimanisha bla tendwa hakuna ofc ya msajili au? hata ww ukiwa mjinga familia yako nymbani haitajitambulisha kuwa ww ndo baba yao coz they r ashamed of u japo utaendelea kuwa baba.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya yeye hajakifuta chama hicho.

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Willbroad Slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya msajili John Tendwa ya kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na si John Tendwa.

Amezungumza hayo hii leo jijini Dsm wakati wa uzinduzi wa kongamano la kimataifa la vijana kuhusu demokrasia.


Source: Mimi mwenyewe!

For more info: Tazama HotMix ya EATV!

TENDWA waliyemfuta ndiye yule aliyetamkwa na MNYIKA kuwa alibariki kuundwa kwa RED BRIGADE?
 
cjakusoma babukjana, waimanisha bla tendwa hakuna ofc ya msajili au? hata ww ukiwa mjinga familia yako nymbani haitajitambulisha kuwa ww ndo baba yao coz they r ashamed of u japo utaendelea kuwa baba.

Hivi ni CHADEMA ndo wanajua kuwa TENDWA alibariki kuundwa kwa RED BRIGADE au anayemtambua ni MNYIKA? tusaidiane hapo mbona nachanganyikiwa.
 
....

.....Bravo Dr Slaa ......Kombora moja tu magamba magamba wanataga mayai ya miiba.......
 
KAULI ZA VIONGOZI WETU NDIZO ZITATULETEA MATATIZO..... NCHI IKO SLAMA... kweli? Piga tu ... kweli? Ndege ya rais, rada lazima inunuliwe hata kama mtakula majani. Ni Tanzania ambapo siasa imeonekana kuwa janga. Ukiitwa mwanasiasa Tanzania maana yake wewe ni mwongo, huamini wala hutendi unachosema.

Hizo kauli zimekuwa zikisikikika toka kwa hao wanaomtu tendwa
 
Ile ni ofisi yule ni tendwa.. Kesho anaweza kuwepo nape mnauye, hata akiamua baba riz anaweza akamuweka mwanae
 
Haya sasa tendwa wanaume chadema wamenena tumia kalamu yako kama unavyotisha then utaona kilichomnyima kuku kukojoa!
 
Hivi sheria na kanuni zinazomhalalisha msajili zinasemaje?,isije ikawa sheria hizohizo zikawa zimesitisha uwepi wake kisheria.na je msajil uda waku ukaa ofisin ni miaka mingapi?nataka kujua.come on great thinkers.
 
mnyika jimbo limemshinda anatangatanga tu.asubir 2015


Mzee Jafary Ally mwanzilishi wa TANU na mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Tabora amekutwa amejinyonga mchana wa leo katka nyumba yake maeneo ya Ipuli - Tabora.
Mpaka sasa haijajulikana chanzo cha kujinyonga kwake.
Source: Star tv news
 
Ni ujinga mtu mzima kumwambia mtu mzima mambo ya kitoto kama slaa anavyo zungumza maneno ya kitoto ia kweli bado ni watoto na Baba yao mzazi ni CCM.
 
Huyo mzee ni mjinga wa kwanza kabisaaaaaa. Mi kweli Chadema iko sawa kusema wanaitambua ofisi ila sio huyo Mbulula a.k.a John Tendwa. Funguka zaidi Dr Slaa maana 2likumis siku nyingi sana.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya yeye hajakifuta chama hicho.

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Willbroad Slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya msajili John Tendwa ya kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na si John Tendwa.

Amezungumza hayo hii leo jijini Dsm wakati wa uzinduzi wa kongamano la kimataifa la vijana kuhusu demokrasia.


Source: Mimi mwenyewe!

For more info: Tazama HotMix ya EATV!

tatizo la huyu mnayemwita msajili wa vyama ni kuwa anatazama kwa macho ya ccm!
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

umetoka hja kubw lin mara mwisho.kama kuna choo karib kafanya mambo!
 
Ni ujinga mtu mzima kumwambia mtu mzima mambo ya kitoto kama slaa anavyo zungumza maneno ya kitoto ia kweli bado ni watoto na Baba yao mzazi ni CCM.


....Mzee Jafary Ally mwanzilishi wa TANU na mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Tabora amekutwa
amejinyonga mchana wa leo katka nyumba yake maeneo ya Ipuli - Tabora.
Mpaka sasa haijajulikana chanzo cha kujinyonga kwake.

Source: Star tv news.....
 
Back
Top Bottom