njechele06
Senior Member
- May 21, 2013
- 195
- 41
vizuri sana... go cdm
Mzee Jafary Ally mwanzilishi wa TANU na mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Tabora amekutwa amejinyonga mchana wa leo katka nyumba yake maeneo ya Ipuli - Tabora.
Mpaka sasa haijajulikana chanzo cha kujinyonga kwake.
Source: Star tv news
Dr Yuko sawa.
Tendwa anatumika vibaya.
Alipata aibu sn kule Arumeru alipotumiwa na Lowassa na ccm, pale walipojaribu kuitumia ofisi yake kupandikiza chuki kati ya Wameru na Lema.
Inasikitisha sana kwa umri ule kukosa uamuzi na kupewa maagizo na wanaume wengine.
hata tendwa hamtambui slaa.
Wajinga ndio waliwao, simtambui tendwa lakini ofisi yake naitambua, huyu MZEE anazeeka vibaya.
Hello!it's a great honour to join u great thinkers,I appreciate being approved to be in your community and I THANK YOU.
karibu jamvini ila kama wewe ni lumumba project shauri yako utakavyonyambuliwa hapa jamvini.....simamia maslahi na uache njaa!!!
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?
Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.
Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.
Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!
Unawashwa,ushauri wa bure magamba yanatembelea kipumzi cha mwisho soon tunayasahau ni bora ukaanze kujifunza kushika jembe utakufa njaa...pinda wewe!!njaa iko kinondon pale ruzuku zote wamejengea nyumba ya babu slaa
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya yeye hajakifuta chama hicho.
Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Willbroad Slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya msajili John Tendwa ya kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na si John Tendwa.
Amezungumza hayo hii leo jijini Dsm wakati wa uzinduzi wa kongamano la kimataifa la vijana kuhusu demokrasia.
Source: Mimi mwenyewe!
For more info: Tazama HotMix ya EATV!
Chadema wenyewe hawajitambui sasa itakuwaje wamtambue mtu mwingine?Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya yeye hajakifuta chama hicho.
Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Willbroad Slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya msajili John Tendwa ya kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na si John Tendwa.
Amezungumza hayo hii leo jijini Dsm wakati wa uzinduzi wa kongamano la kimataifa la vijana kuhusu demokrasia.
Source: Mimi mwenyewe!
For more info: Tazama HotMix ya EATV!
Umanifunja mbafu sangu msee!​Visa vya wanawake! Keshakuzalisha watoto watano leo unaukana uadume wake?
vipi nduguyangu kichaa chako kimeshatulia?