CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

Augustine Moshi
Unadhani wakimua Dr Slaa kwa namna yoyote ile ndio watakuwa wameshinda vita?Ni watu wasio na akili au wale wenye akili butu kabisa zisizoweza kuchambua matokeo ya matendo yao ndio wanaoweza kuwaza hivyo.Ukweli ni kwamba wakithubutu kumfanyia Dr Slaa kitu chochote kile kitakacho pelekea kuhatarisha maisha yake wajue kwamba na maisha yao pia hayatakuwa salama wakae wakijua hilo.Kuna watu watakuwa tayari kuyatoa maisha yao mhanga kulipa damu ya kipenzi chao.Tanzania hatujazowea mashambulio ya kujitoa mhanga lakini kama watathubutu kufanya huo ujinga wao ili kujipalilia mazingira ya kuendelea kututawala hakika huko ndiko tutakapokwenda na sisi wapenda amani katika nchi tusingependa kuiona nchi yetu inafikishwa huko.Hatutaki Tanzania igeuke Pakistan.Tunatamani sana Tanzania iendelee kuwa kisiwa cha Amani Duniani isipokuwa tu kuna WAPUUZI wachache ndani ya Chama Tawala wanataka kutuvurugia Amani yetu hapa Tanzania ila wakae wakijua kikinuka tu wao watakuwa walengwa wakubwa katika machafuko hayo.
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

slaa yuko sahihi ndugu,kuwa na mamlaka ya ofsi,haimanishi ndo ufanye mambo yako kwa,matakwa yako binafsi si kwa matakwa ya ofsi na ndo mana kaambiwa alifutwa tendwa si ofsi.
Tatizo la tendwa ni kutoa matamshi yenye kuonesha wazi kuwa yeye binafsi ana masilahi na chama gani sasa hapa utasema ndo taratibu za ofsi?
 
Naona gambas wanaropoka tu mimi naona kijana yoyote ambae bado yupo ccm anaakili ya mbwa mwitu huwezi kuendelea kuwasupporte hawa wezi kama una akili timamu
 
Hivi anae kimbia midahalo ndio anacho cha kuongea eeeh?kweli tunaongozwa na chama cha majuha!

sijajua uwezo wako wa kufikiri na kusikia au hata kusoma alama za nyakati kweli ndo umekutuma useme chadema hawana cha kuongea,inaman yote haya wewe huoni wala husikii?
 
kwa mtazamo wangu dr slaa yuko sawa kabisa,kwa sababu mambo yanayotakiwa kufanywa na ofisi ya msajili sio yanayofanywa na tendwa,so kutokumtambua tendwa ni sahihi kwa sababu yeye anafanya mambo nje ya maadili ya ofisi yake,ofisi ya msajili inatakiwa iwe ndo mtu wa kati asiyeegemea pande yyte ile.slaa anaitambua ofisi lakini tendwa hamtambui sawa kabisaaaaaaa! Majaribio yooooooote ya kuiua cdm yamegonga mwamba,ama kweli Mungu kaamua kuikomboa tz
 
kwa kuwa alishapita chekechea ni kweli hafai kuwa mwanafunzi wako...silly

mim si mwalimu,ila kama kweli wewe ni mwalimu na hayo ndo maoni yako mbele ya jukwaa hili,ninpata shaka kidogo na ualimu wako au uliupata kwa mfumo uleule wa ukoo wa panya?
Hata hao wanafunzi unaowafundisha wakisoma maoni yako watakucheka sana mana hali yako ni ngum bado hat uwezo wa kufikii umepungua bado unamshabikia anayekwamisha maendeleo yako,hivi uko sawa kweli? Badilika ndugu,
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!
Ubabu ndio kitu gani mbona wewe hatujui umri wako akili ndogo hujadili watu
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

Wewe ni Janga Kabisa.. hapo hujaelewa nini? Yule ni msajili wa Vyama,na ni sawa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.. Hawastahili kuweka ushabiki wao kwa Chama chochote kwani wao ni waajiriwa wa Serikali na sio CCM.. Sasa tutakua na imani gani na watu wasiotambua mipaka ya kazi zao? Ushabiki wao ndio chanzo cha wananchi kukosa Imani nao kwani sio WTZ woore ni wafuasi wa CCM...
 
Mbulula's!!!! utatambua jengo bila mtu??? hilo ni gofu tuu... pasina wanafunzi na utawala hatuezi ita taasisi!!! the green story, green story let's talk!!!
 
Dr.slaa hata mimi naunga mkono kutomtambua tendwa..maana anatumika kw add maslahi ya ccm.na hiyo ni hatari kwa taifa!
 
Dr Slaa is absolutely right! Mr Tendwa a little devil wearing an angelic musk with a serpent's tongue!!!
 
Mtu mzimamzima anapojibu bila kutumia akili na utashi wake kwa maneno mengine kujibu au kutoa tamko kiuchabiki la kuangalia wajibu na heshima ya nafasi yake ndiyo haya yanayojilia kwa kuonekana kuzeeka vibaya huyu Tendwa, maana amekuwa golikipa wa CCM golini badala ya kuwa refa.
 
Back
Top Bottom