Chadema yataka jiji la Dar es Saaam liwekwe katika Karantini

Chama kikuu cha upinzani Chadema kimeitaka serikali kuliweka katika karantini jiji la Dar es salaam ili kukabiliana na maambukizi ya Covid 19.

Chadema wameshauri kwa kuwa Dar ndiyo yenye wagonjwa wengi basi wakazi wake wasitoke nje ya Jiji wala wageni kutoka mikoani na duniani wasiruhusiwe kuingia jijini.

Source Tanzania Daima
hii ndiyo akili kubwa sasa, siyo kama ile ya MATAGA ya kuzunguka vijiweni na kuleta komedi za kunywa gahawa!
 
Mawazo ya Kipumbavu Kupita Maelezo..

Embu tufanyeni kazii, hawa MaChadema hawana kazi za kufanya ndiomana wanalilia watu wakae ndani buree..

Chapa Kazii..
 
Chadema ningewaona wana akili kama wangekuja na hoja ya kwamba liitishwe bunge la dharula na kisha wajadili wao kama wabunge wakatwe japo asilimia 70% ya mishahara yao ili fedha hizo ziweze kusaidia kupambana na ugonjwa huu...

Pia, hilo la kukatwa mshahara lisiishie kwa wabunge tu bali liende hadi kwa watumishi wengi wa serikali, na katika hili la watumishi wa serikali liangalie kila mtumishi akatwe asilimia kadhaa kulingana na mshahara anaopokea kwa mfano Wakurugenzi/ Makamishina makato yao yawe makubwa zaidi tofouti na mtumishi wa chini...

Na mwisho kabisa hili suala la kukatwa mshahara lisiwaguse Watu wa kada za afya na vyombo vya ulinzi na usalama maana wanajitoa sana kukabiliana na gonjwa hili...

Hili la kutoa pendekezo kuwa Jiji la dar liwekwe lockdown pekee ilihali serikali inategemea kodi katika jiji hilu ni kitu ambacho hakiwezekani kuiweka dar lockdown iende sambamba na kupunguziwa watumishi mishahara..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe pekee ndio mtu wengine vibwengo tu umekuja na idea nzuri sana kuliko huyo anayeomba lockdown kama tutakula kwake nahisi huyo jamaa ana matatizo ya akili kabisa njaa inaua kuliko hata hiyo corona

Total lockdown kwa nchi zetu hizi za kiafrika ni ndoto za alinacha maana wamesahau tukifanya lockdown hiyo mishahara watalipwa vipi? Ifike mahali sisi watanzania tumpongeze Rais kwa hatua aliyochukua...

Naomba wajiulize wafanye lockdown wanajua Serikali itapoteza kiasi gani katika kile kivuko cha kigamboni ukiondoa hilo pale bandarini itapoteza kiasi gani?

Hapa nategemea wangekuja na mapendekezo ya kuguswa masilahi yao ambayo ni mishahara kidogo ndio ningeona wana akili tofouti na hapo bado Tanzania hatujapata upinzani wa kweli wapo kimaslahi zaidi ni bora hii CCM iendelee kuwepo tu madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ningewaona wana akili kama wangekuja na hoja ya kwamba liitishwe bunge la dharula na kisha wajadili wao kama wabunge wakatwe japo asilimia 70% ya mishahara yao ili fedha hizo ziweze kusaidia kupambana na ugonjwa huu...

Pia, hilo la kukatwa mshahara lisiishie kwa wabunge tu bali liende hadi kwa watumishi wengi wa serikali, na katika hili la watumishi wa serikali liangalie kila mtumishi akatwe asilimia kadhaa kulingana na mshahara anaopokea kwa mfano Wakurugenzi/ Makamishina makato yao yawe makubwa zaidi tofouti na mtumishi wa chini...

Na mwisho kabisa hili suala la kukatwa mshahara lisiwaguse Watu wa kada za afya na vyombo vya ulinzi na usalama maana wanajitoa sana kukabiliana na gonjwa hili...

Hili la kutoa pendekezo kuwa Jiji la dar liwekwe lockdown pekee ilihali serikali inategemea kodi katika jiji hilu ni kitu ambacho hakiwezekani kuiweka dar lockdown iende sambamba na kupunguziwa watumishi mishahara..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Karantini na lockdown ni vitu viwili tofauti!
 
Siungi mkono wazo la total "lock down" na closure of learning institutions...
Total lockdown inazuia watu kukabiliana moja kwa moja na hivi virusi hivyo kunyima miili yetu fursa ya kujenga usugu (antibodies)... Selective lockdown ndo ifanyike kwa wale amabao wanajijua wana afya zenye changamoto!
Shule, vyuo na taasisi za elimu zifunguliwe watu waendeleee kusoma... Tukumbuke kuwa hadi Sasa hivi pengine idadi kubwa ya watu hasa watoto wadogo na mabinti wa chuo wananyanyaswa na ndugu zao wa karibu kabisa...
Watu kama walimu na wafanyakazi wengine wa taasisi za elimu nao (hasa private) hawajui hatma yao ilhali minada, masoko na magenge shughuli zinaendelea kama kawaida!! Huu ni ubaguzi na unyanyasaji... Wengine wanatengeneza mahela, wengine wamerudishwa majumbani na stress zao!!
Lockdowns au closures hazisaidii sana hasa huku Tz...
Muhimu ni watu wahimizwe kuchukua tahadhari na serikali isimamie juhudi za upimaji wa bure!
Tunahitaji kujenga usugu dhidi ya huu ugonjwa kama ambavyo tunahitaji chanjo na dawa!
Wazo la mwisho ni kuongeza juhudi za upimaji... Ukiwa lockdown watu uwezekano upo mkubwa kuwa utawalockdown wagonjwa, wenye dalili pamoja na wazima. Na tabu itaanzia hapo... Make virusi vitakuwa ndani ya nyumba na vyumba vya watu...!!
 
Hata mimi niliwahi kujiuliza mfano unamtoa binti Kifungilo kule porini unamrudisha Arusha kujikinga na CORONA; makanisani wanakwenda kama kawaida na wanafunzi wanatembeleana kawaida, wazazi wanatoka na kurudi home hapo kweli tumewakinga hao watoto? Bora wangebaki shuleni na kukataza shule kutembelewa na wazazi / wageni hadi CORONA ithibitiwe
 
Chama kikuu cha upinzani Chadema kimeitaka serikali kuliweka katika karantini jiji la Dar es salaam ili kukabiliana na maambukizi ya Covid 19.

Chadema wameshauri kwa kuwa Dar es Salaam ndiyo yenye wagonjwa wengi basi wakazi wake wasitoke nje ya Jiji wala wageni kutoka mikoani na duniani wasiruhusiwe kuingia jijini.

Source Tanzania Daima.
ccm wanasemaje
 
Back
Top Bottom