Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,397
- 13,721
Ndugu yangu...Hata mimi niliwahi kujiuliza mfano unamtoa binti Kifungilo kule porini unamrudisha Arusha kujikinga na CORONA; makanisani wanakwenda kama kawaida na wanafunzi wanatembeleana kawaida, wazazi wanatoka na kurudi home hapo kweli tumewakinga hao watoto? Bora wangebaki shuleni na kukataza shule kutembelewa na wazazi / wageni hadi CORONA ithibitiwe
We subiri cases za mimba na abortion zitakavyokuwa nyingi kuliko cases za Covid-19....