Habarini wadau?
Jiji la Dar es salaam lina wilaya tano. Licha ya kuwa ndio jiji na mkoa wenye eneo dogo kuliko zote hata wilaya zake zina eneo dogo sana ukilinganisha na wilaya nyingine.
Jiji la Dar es salaam lina wakazi wengi kuliko mkoa mwingine wowote. Kwa sensa ya hivi karibuni watu takribani 6.5M.
Jiji hili kwa upande wa Magharibi limezungukwa na mpaka wa mkoa mmoja tu Mkoa wa Pwani.
Mkoa wa Pwani unaeneo kuwa ambalo halina wakazi. Na ukuwaji wake unaenda taratibu.
Kwanini serikali haifikirii kuongeza ukubwa wa eneo la jiji la Dar es salaam kwa kuchukua wilaya ya Bagamoyo na Kibaha kuzileta jijini?
Bajeti na mipango ya jiji huwa ni mikubwa? Kasi ya ukiwaji wa wilaya hizi mbili itakuwa kubwa sana kwani zitapangwa na kuwekwa kwenye mipango ya jiji?
Mlundikano wa watu jijini utapungua.
Jiji la pwani litakuwa na eneo dogo ambalo itakuwa rahisi kulisimamia na kupunguza mapori na matumizi mabaya ya ardhi.