Mbona una-quote vifungu visivyohusiana na hali ya sasa? Tunajadili Makamu wa Rais ambaye anakuwa Rais baada ya kifo cha Rais aliye tangulia. Rais mpya!
Mkuu viapo vinavyozungumziwa hapa NI vya kikatiba mf Waziri mkuu, Mawaziri na manaibu Waziri. Hao mabalozi, makatibu wakuu nk viapo vyao NI vya kikanuni.