Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,815
- 218,476
Mungu ibariki CHADEMAKatibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Mchana huu kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama Kinondoni Dar es Salaam .
muda ni kuanzia saa 9:00 mchana huu
MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
wote mnakaribishwa
Ijue nini? Ujinga wenu?
Kwahiyo?!Matamko kama kawaida
End product ,uselessKwahiyo?!
Hayana athariKwahiyo?!
Safi Sana ,katibu toa ,mwongozo, Basi wasibembelezwe hao wamezoea , ila katibu umechelewa Sana Yani that's KWA tukio la leo nimejipima siwezi uongozi, Mambo ya ajabu Kama aya, mbona uvumilivu hua wanishindaKatibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari Mchana huu kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama Kinondoni Dar es Salaam .
muda ni kuanzia saa 9:00 mchana huu
MUHIMU : Tufuate Mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
wote mnakaribishwa
bado uko geita au umehamishwa ?Matamko kama kawaida
Lini nilowahi kukwambia Niko Geita?bado uko geita au umehamishwa ?
Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika atazungumza na Waandishi wa Habari