Halafu Nyalandu nae keshaanza kuwa na makengeza, aisee.Vitu feki vimejaa lumumba
Chadema bado ipo na watu wanaisapoti. Vidole viwili vinamanisha hadumu mwenyekiti. Chama hakina hata uchaguzi wa mwenyeti full utemi na maamuzi mtu mmoja
Ndio mwenyewe mkuu. Kipenzi cha chademaNyarandu huyuhuyu wa twiga?
Wametengeneza Uzi wao wa kujifariji. Wanaandika na kucomment wenyewe. Maana siku hizi CDM hawana cha kujivunia chochote, chama hakina uhai. Wana hasira haoo. Ha ha haaaKho kho kho tptuu hao watu watano ndiyo wanauwa ccm singida,rejea mafuriko ya Edo na mabadiliko utajua unajitekenya alafu unacheka.
Nyamaza huna akili mshipa wa ngiri wewe!
Wanasiasa wote wamuige Nyarandu.
Anasiasa safi zisizo na lugha za Matusi wala Kejeli.
Tunataka siasa za kushindana kwa hoja.
CCM wamehamia kwenye siasa za kutumia maguvu na vitisho ndio maana wanabebwa na watu wasiaojulikana .
Tunataka siasa za hoja.
Nchi hii INA mambo mengi sana ya kuyafanya kwa kupitia akili na maarifa kuliko nguvu.
Maguvu kwa muda mrefu yameruharibua nchi .
Mipango mingi inapangwa lakini inasimamiwa na kufanywa na watu wenye maarifa kidogo.
Chadema wajipange tu vizuri kwenye uchaguzi ujao.
Wasimlenge sana Magufuli mana magufuli hawezi kuangushwa na MTU nje ya CCM.
Wapinzani Walenge sana kwenye viti vya serikali za mitaa mwaka huu, Udiwani, na ubunge mwakani.
CCM ikiwa na hao wabunge na madiwani wengi kiama cha Watanzania kitazidi kudumishwa.
Chadema IPO mioyoni mwa wachaga pamoja na nduli mbowe.Chadema imo mioyoni mwa Watanzania pamoja na uhuni na unduli wa mwendawazimu wa Ikulu bado Chadema kinapendwa SANAAAA kila kona nchini.
Hakuna namna hata uchaguzi hewa huwa hamfanyi.Hivi unaweza kutwambia ndani ya ccm ni nani aligombea nafasi ya uenyekiti na mwenyekiti wenu wa sasa?