CHADEMA yaibomoa CCM Singida chini ya Nyalandu

Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
75,550
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
75,550 2,000
Ccm miaka 55 ya uhuru hakuna lolote zuri mlio watendea watanzania zaidi ya kuwaibia rasilimali zao na kuwatia umasikini mkubwa sana
Wametengeneza Uzi wao wa kujifariji. Wanaandika na kucomment wenyewe. Maana siku hizi CDM hawana cha kujivunia chochote, chama hakina uhai. Wana hasira haoo. Ha ha haaa
 
O

Onjwaria

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
717
Points
1,000
O

Onjwaria

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
717 1,000
Siyo Singida tu ni nchi nzima halafu makazini eti watu wakitaka kuizungimza serikali kila mmoja anatamani achimbe shimo then aseme yoteeee baada ya kumaliza afukie na kuondoka asisikilizwe. Hakuna zama Tanzania watu wameingiwa woga kama huu.
 
1000 digits

1000 digits

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Messages
4,234
Points
2,000
1000 digits

1000 digits

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2012
4,234 2,000
Nyarandu huyu tumjuaye
Huyo huyo anayechafuliwa na WanaCCM kwa lengo la kuwaondoa kwenye utawala na uongozi watu wema wenye utu na maarifa.

Nyarando hajawahi kuwa mtu muovu kama tunaowaona na kuwasikia ambao kwa kiasi kikubwa wanatumia fitina ,majungu, uongo na uchonganishi kuwapiga vita watu wema.
Wana wa giza wanakua na nguvu kuliko wana wa nuru.

Hata kwenye familia ukiwa na mtoto mpole ataonewa na wale wakorofi na wakati mwingine watamnyang'anya mpaka Chakula.
Ni vyema uweke mfumo mzuri wa kulinda haki yake ili asionewe mana hata kujitetea atakua hawezi zaidi ya wakorofi kuvunja Thermos kisha kumsingizia yule mpole.

Dunia ina vita kati ya wema na waovu.
Waovu wanatamalaki sana mana wao hata kuua ,kusema uongo,fitina,chuki kwao sio shida.

Nyarandu simamia haki,utu,heshima kwa wote ,upendo na umoja wa Watanzania.
Alimradi usimtukane Rais wala kumsingizia uongo kwa mambo yasiyo na ushahidi.
Mengine muachie Mungu atajibu mwenyewe.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,780
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,780 2,000
Amakinike lakini.... Wanamvutia kasi akae akijua hilo
 
mwananyaso

mwananyaso

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
1,353
Points
2,000
mwananyaso

mwananyaso

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
1,353 2,000
M

muyovozi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Messages
262
Points
500
M

muyovozi

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2017
262 500
Uchaguzi Wa mwisho Tanzania uliisha 2015. Baada ya hapo chama dola mtakuwa mnapiga kura wao wanachukua ushindi na kuweka wa!!
Ni ukweli mchungu utakaokuwa nasi kipindi kirefu kijacho. Ikiwa kiongozi aliyekuwa na aibu kidogo JMK alitamka ,wale wanaoombea kifo ccm watakufa wao kabla,hapo ndio niliamini chama usichokipenda bado kipo sana. Hivi ,Afrika ukiacha mtakatifu Kaunda Wa Zambia kuna sehemu nyingine wapinzani walishinda wakapewa? Wapo nchi cheche huko Afrika magharibu ,Ghana Nigeria ,Benin na nyingine kama 4 lakini kwingine ni kuporwa tu kwendabele . Style ya Zanzibar na Jecha inahamia bara . Chaguzi zinakuja mtaona,
 
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Messages
2,191
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2015
2,191 2,000
Kwa sasa wanao umia sana na ugumu wa maisha ni ...chadema tu....maana wao ndiyo wanauziwa sukari bei juu,mafuta bei juu
Hao waliohama ccm kwenda cdm hapo juu itakua saivi wakienda dukani sukari watauziwa kilo 1 @500 mchele super kilo 1 @350 na mifuko mbadala watapewa bure huko madukani.
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
75,550
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
75,550 2,000
Hao waliohama ccm kwenda cdm hapo juu itakua saivi wakienda dukani sukari watauziwa kilo 1 @500 mchele super kilo 1 @350 na mifuko mbadala watapewa bure huko madukani.
Kwakuwa cdm ndiyo wanao kusanya kodi ya wananchi na kujenga viwanja vya ndege na kununua madege makubwa ambayo mwisho wa siku mwananchi wa kawaida anafaidi sauti tu na miungurumo
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
75,550
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
75,550 2,000
Uchaguzi Wa mwisho Tanzania uliisha 2015. Baada ya hapo chama dola mtakuwa mnapiga kura wao wanachukua ushindi na kuweka wa!!
Ni ukweli mchungu utakaokuwa nasi kipindi kirefu kijacho. Ikiwa kiongozi aliyekuwa na aibu kidogo JMK alitamka ,wale wanaoombea kifo ccm watakufa wao kabla,hapo ndio niliamini chama usichokipenda bado kipo sana. Hivi ,Afrika ukiacha mtakatifu Kaunda Wa Zambia kuna sehemu nyingine wapinzani walishinda wakapewa? Wapo nchi cheche huko Afrika magharibu ,Ghana Nigeria ,Benin na nyingine kama 4 lakini kwingine ni kuporwa tu kwendabele . Style ya Zanzibar na Jecha inahamia bara . Chaguzi zinakuja mtaona,
Umesahau kuweka hata ile historia ya zimbabwe kuja kutokea Tanzania maana ukiwa mwana historia inabidi usiwe msahaulifu
 
kipara kipya

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Messages
6,188
Points
2,000
kipara kipya

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined May 2, 2016
6,188 2,000
Hivyo chadema wakichukua nchi mwananchi wa kawaida atapanda bure!
Kwakuwa cdm ndiyo wanao kusanya kodi ya wananchi na kujenga viwanja vya ndege na kununua madege makubwa ambayo mwisho wa siku mwananchi wa kawaida anafaidi sauti tu na miungurumo
 
Forum statistics

Threads 1,315,675
Members 505,292
Posts 31,866,470
Top