CHADEMA yaibomoa CCM Singida chini ya Nyalandu

Na mkamtukana matusi makubwa makubwa lkn leo hii karudishwa ndani ya ccm na wenye nguvu yao nyie kina kajamba nani mmeufyata
Aliyekuwa anawazungusha mikono, na kuwaimbisha, mabadiliko! Lowasa! Lowasa! Mabadiliko. Acha tu niseme hiiiiiii
 
Habari za Chadema zikiandikwaga na huyu Mmawia huwa zinatiwa chumvi hadi zinapoteza ladha. Mara oh sijui Lisu kazawadiwa basi huko Ubelgiji, mara oh Lisu atahutubia bunge la Marekani, khaa uzushi mtupu!
 
Wanasiasa wote wamuige Nyarandu.
Anasiasa safi zisizo na lugha za Matusi wala Kejeli.
Tunataka siasa za kushindana kwa hoja.
CCM wamehamia kwenye siasa za kutumia maguvu na vitisho ndio maana wanabebwa na watu wasiaojulikana .

Tunataka siasa za hoja.
Nchi hii INA mambo mengi sana ya kuyafanya kwa kupitia akili na maarifa kuliko nguvu.
Maguvu kwa muda mrefu yameruharibua nchi .
Mipango mingi inapangwa lakini inasimamiwa na kufanywa na watu wenye maarifa kidogo.

Chadema wajipange tu vizuri kwenye uchaguzi ujao.
Wasimlenge sana Magufuli mana magufuli hawezi kuangushwa na MTU nje ya CCM.
Wapinzani Walenge sana kwenye viti vya serikali za mitaa mwaka huu, Udiwani, na ubunge mwakani.
CCM ikiwa na hao wabunge na madiwani wengi kiama cha Watanzania kitazidi kudumishwa.
 
Napendaga kucheka nionapo post za wanaojitekenya wenyewe.

Siasa ni ajenda.

Leteni ajenda yenu kwa sasa.

Halafu kuna wazee hatuwasikii kwa sasa,
Sumaye
Mahanga
 
Hata sisi kuna wazee hatuwasikii kina Lowasa na kina Mpendazoe
Napendaga kucheka nionapo post za wanaojitekenya wenyewe.

Siasa ni ajenda.

Leteni ajenda yenu kwa sasa.

Halafu kuna wazee hatuwasikii kwa sasa,
Sumaye
Mahanga
 
Back
Top Bottom