CHADEMA yaibomoa CCM Singida chini ya Nyalandu

Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
75,647
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
75,647 2,000
Naona mh Nyarandu anakutesa sana na hapo bado mtalia sana
Habari za Chadema zikiandikwaga na huyu Mmawia huwa zinatiwa chumvi hadi zinapoteza ladha. Mara oh sijui Lisu kazawadiwa basi huko Ubelgiji, mara oh Lisu atahutubia bunge la Marekani, khaa uzushi mtupu!
fb_img_1562856134060-jpeg.1151520
fb_img_1562856126809-jpeg.1151521
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
75,647
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
75,647 2,000
Ushukuliwe sana mkuu kwa mawazo ya kujenga
Wanasiasa wote wamuige Nyarandu.
Anasiasa safi zisizo na lugha za Matusi wala Kejeli.
Tunataka siasa za kushindana kwa hoja.
CCM wamehamia kwenye siasa za kutumia maguvu na vitisho ndio maana wanabebwa na watu wasiaojulikana .

Tunataka siasa za hoja.
Nchi hii INA mambo mengi sana ya kuyafanya kwa kupitia akili na maarifa kuliko nguvu.
Maguvu kwa muda mrefu yameruharibua nchi .
Mipango mingi inapangwa lakini inasimamiwa na kufanywa na watu wenye maarifa kidogo.

Chadema wajipange tu vizuri kwenye uchaguzi ujao.
Wasimlenge sana Magufuli mana magufuli hawezi kuangushwa na MTU nje ya CCM.
Wapinzani Walenge sana kwenye viti vya serikali za mitaa mwaka huu, Udiwani, na ubunge mwakani.
CCM ikiwa na hao wabunge na madiwani wengi kiama cha Watanzania kitazidi kudumishwa.
 
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
5,583
Points
2,000
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
5,583 2,000
K

Kitwa-Mulomoni

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2016
Messages
714
Points
500
K

Kitwa-Mulomoni

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2016
714 500
Mkuu usemayo ni kweli kama unavyo ona mwenyewe sasa hivi hata vikongwe wanaamua kuikimbia ccm na kujiunga na chama cha wazalendo wa kweli cdm
Hao wananunuliwa, wcdm inatumis hela za ruzuku kununua watu
 
Ivonovsky da White

Ivonovsky da White

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
270
Points
225
Ivonovsky da White

Ivonovsky da White

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
270 225
Chadema bado ipo na watu wanaisapoti. Vidole viwili vinamanisha hadumu mwenyekiti. Chama hakina hata uchaguzi wa mwenyeti full utemi na maamuzi mtu mmoja
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
26,587
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
26,587 2,000
Wakati utaongea
 
MAPITO Mwanza

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Messages
745
Points
1,000
MAPITO Mwanza

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2018
745 1,000
Wana tanzania hawalitaki lichama chakavu wao wanaongeza wasiojulikana chamani
 
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
3,020
Points
2,000
LIMBOMAMBOMA

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
3,020 2,000
kwa kilichotendeka kwa lissu huko singida, hakika mwanasingida wa kuiunga ccm mkono anapaswa kuwa na akili ya kiuwendawazimu dah
 
Dereva wa Kirikuu

Dereva wa Kirikuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Messages
643
Points
500
Dereva wa Kirikuu

Dereva wa Kirikuu

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2015
643 500
Mliwanunulia chai,lunch kakiniii??! Maana wanaonekana njaa inawatafunaaa
 
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
19,003
Points
2,000
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
19,003 2,000
Vikadi vyenyewe vitano tu lakini kelelee weeeh.
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
75,647
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
75,647 2,000
Umenena mkuu na matokeo yake ndiyo hayo tunayo yashuhudia
kwa kilichotendeka kwa lissu huko singida, hakika mwanasingida wa kuiunga ccm mkono anapaswa kuwa na akili ya kiuwendawazimu dah
 

Forum statistics

Threads 1,316,467
Members 505,652
Posts 31,891,442
Top