CHADEMA yaanika unyama wa kundi la Green Guard ya CCM

Nilishakuonya usijadili threads zangu.

Na nilishasema sitabishana na -------- hata siku moja.

Ninasikitika hata kukujibu kwa sababu huna thamani yoyote ya kujibiwa.
Tulia wewe Bavicha,JF sio ubao wenu wa propaganda wacha wajuzi wakupe fact
 
Cha kwanza napenda Kusema ya kuwa Ndugu Mnyika jaribu kutafautisha ukweli, Uongo, na Propagandar. Katika haya uliyoya anika hapa mimi nakosoa mawili:

1. WAKATI taasisi ya Kijerumani ikitoa ripoti iliyoainisha ‘madudu’ mengi yaliyofanywa na Serikali ya Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeanika matukio yote mabaya yaliyofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikitumia kikundi cha vijana wake wa Green Guard.

JEE HILI SI JAMBO LA KUTIA AIBU WEWE KUTUMIA REFERENCE YAKO YA MAOVU KOTOKA TAASISI ZA NCHI ZA KIGENI, HILI LINALITEA DOSARI KUBWA SANA CHADEMA NA JUONYESHA UDHAIFU SANA. HIKI CHAMA NI CHAMA CHA KITANZANIA, NA HAKIENEDSHWI NA TAASISI ZA KIGENI. SWALI LA KUJIULIZA NI KWA NINI CHADEMA HAKIAMINI WATANZANIA AMBAO NDIO MNAOTAKA KUWATAWALA, AU KUNA MBINU GANI NA WAJERUMANI....

2. Wabunge wa CHADEMA wakiona cha moto: Juni 17, mwaka huu, vijana wa Green Guard walimshambulia na kumuumiza vibaya mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Makuyuni, wilayani Monduli:

NDUGU NASARI HAKUPIGWA NA GREEN GUARDS, NASARI ALIMNYANYASA KIJANA KILEMA ( MLEMAVU WA MIGUU) ALIYEKUWA ANAINGIA KWENYE CHUMBA CHA KUPIGIA KURA, NDIPO NASARI AKAJIBISHANA NAE KIKEJELI NA HATIMAYE AKMPIGA KOFI NA KUMSUKUMA, HUYU MLEMAVU ALIANGUKA NA KUBINGIRIA. NDIPO WANANCHI WALIOKUWA HAPO WALIKASIRIKA NA KUMCHAPA NASARI NA FIMBO LAINI ZA MKONONI. TUNASHUKURU MUNGU SIKU HIYO KULIKUWA NA ONYO KALI LILILOTOLEWA NA POLISI, KUHARAMISHA WAMASAI KUBEBE SILAHA NA BAKORA ZA KIMILA KAMA KAWAIDA YAO, KWANI HILO TENDO LA NASARI LILIVYO WAUDHI, KUNA WALE WENYE HASIRA MBAYA PENGINE WANGEFANYA KITENDO KIBAYA CHA KUHUDHUNUSHA. STOP THE CROCODILES TEARS, YOU INCITE, DESTORY AND AT THE SAME TIME COMPLAIN.

NDUGU NASARI UMEZIDISHA CHUMVI MPAKA UMEKIHARIBU KITOWEO, NA PILI NAWASIHI CHADEMA , NYINYI NI CHAMA PINZANI KINACHOHITAJIKA KATIKA MAENDELEO YA NCHI, TAFADHALI TULIENI na imani zenu za utedaji kwa watanzania wenzenu ziwe imara, hatutakubali kUletewa na wakoloni wa Kijerumani.
 
Hivi kwa nini Chadema kinapewa sana promo na wazungu?

Kwa sababu CCM inaua na kutesa watu............ kupitia haka kakikosi...

1070095_488959561188043_854384219_n.jpg
 
Mungiki wa Kenya walikata watu kwa mapanga na Mashoka,
Green Guard wamekata watu kwa mapanga na mashoka
Mungiki walibonda watu kwa mawe, Green Guard wameponda watu kwa mawe hapa
Mungiki wa Kenya walichoma nyumba za watu
Green Guard Wamechoma Nyumba za wanaCCM wenzao
Kuna kufanana kwa hali ya juu kati ya Green Guard ya CCM
na Mungiki ya Kina Kenyata.

Mi naomba tukubali kuwa Green Guard ni Mungiki wanafanana sana
kwa hiyo tuwaombe polisi waisambaratishe Green Guard kwa usalama ya nchi hii

Haiba ya Mungiki hii hapa:
Mungiki Fighter.jpg
Mtokeo ya kazi ya Mungiki hii hapa:
Kenyan Victim.JPG

Kiongozi wa Green Guard Huyu hapa:
View attachment 102772
Green Guard Kazini hawa hapa:
View attachment 102773
Matokeo ya kazi za Green Guard haya hapa:
TZ Victims.jpg
 
Na hauta kaa usikie polisi wakisema chochote, ila vyama vingine vikijaribu kujilinda na uhalifu wa GREEN GUARD ndiyo watakemewa na Jeshi la Polisi pamoja na msajili wa vyama. TUTAFIKA hivyohivyo tu....
 
Cha kwanza napenda Kusema ya kuwa Ndugu Mnyika jaribu kutafautisha ukweli, Uongo, na Propagandar. Katika haya uliyoya anika hapa mimi nakosoa mawili:

1. WAKATI taasisi ya Kijerumani ikitoa ripoti iliyoainisha ‘madudu' mengi yaliyofanywa na Serikali ya Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeanika matukio yote mabaya yaliyofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikitumia kikundi cha vijana wake wa Green Guard.

JEE HILI SI JAMBO LA KUTIA AIBU WEWE KUTUMIA REFERENCE YAKO YA MAOVU KOTOKA TAASISI ZA NCHI ZA KIGENI, HILI LINALITEA DOSARI KUBWA SANA CHADEMA NA JUONYESHA UDHAIFU SANA. HIKI CHAMA NI CHAMA CHA KITANZANIA, NA HAKIENEDSHWI NA TAASISI ZA KIGENI. SWALI LA KUJIULIZA NI KWA NINI CHADEMA HAKIAMINI WATANZANIA AMBAO NDIO MNAOTAKA KUWATAWALA, AU KUNA MBINU GANI NA WAJERUMANI....

Lakini kumbuka kuwa Tanzania sio kisiwa kumbe kutumia renference za nje ni bora zaidi maana I is known by none I na taasisi nyingi Tanzania huwa zinzkitengo za kuchakachua Takwimu

2. Wabunge wa CHADEMA wakiona cha moto: Juni 17, mwaka huu, vijana wa Green Guard walimshambulia na kumuumiza vibaya mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Makuyuni, wilayani Monduli:

NDUGU NASARI HAKUPIGWA NA GREEN GUARDS, NASARI ALIMNYANYASA KIJANA KILEMA ( MLEMAVU WA MIGUU) ALIYEKUWA ANAINGIA KWENYE CHUMBA CHA KUPIGIA KURA, NDIPO NASARI AKAJIBISHANA NAE KIKEJELI NA HATIMAYE AKMPIGA KOFI NA KUMSUKUMA, HUYU MLEMAVU ALIANGUKA NA KUBINGIRIA. NDIPO WANANCHI WALIOKUWA HAPO WALIKASIRIKA NA KUMCHAPA NASARI NA FIMBO LAINI ZA MKONONI. TUNASHUKURU MUNGU SIKU HIYO KULIKUWA NA ONYO KALI LILILOTOLEWA NA POLISI, KUHARAMISHA WAMASAI KUBEBE SILAHA NA BAKORA ZA KIMILA KAMA KAWAIDA YAO, KWANI HILO TENDO LA NASARI LILIVYO WAUDHI, KUNA WALE WENYE HASIRA MBAYA PENGINE WANGEFANYA KITENDO KIBAYA CHA KUHUDHUNUSHA. STOP THE CROCODILES TEARS, YOU INCITE, DESTORY AND AT THE SAME TIME COMPLAIN.

NDUGU NASARI UMEZIDISHA CHUMVI MPAKA UMEKIHARIBU KITOWEO, NA PILI NAWASIHI CHADEMA , NYINYI NI CHAMA PINZANI KINACHOHITAJIKA KATIKA MAENDELEO YA NCHI, TAFADHALI TULIENI na imani zenu za utedaji kwa watanzania wenzenu ziwe imara, hatutakubali kUletewa na wakoloni wa Kijerumani.

Ok zungumza nini kazi ya haka kakikosi Tanzania?
1070095_488959561188043_854384219_n.jpg
 
Na hauta kaa usikie polisi wakisema chochote, ila vyama vingine vikijaribu kujilinda na uhalifu wa GREEN GUARD ndiyo watakemewa na Jeshi la Polisi pamoja na msajili wa vyama. TUTAFIKA hivyohivyo tu....

Insha Allah, tutafika tu mkuu.
 
Kwa hiyo wazungu ndio kimbilio lenu? Watu wa aina yako ndio wenye imani ya kuwa bora wangezaliwa mbwa Ulaya

hakuna damu ya Mtanzania hata mmoja itakayomwagika bure iko siku mtajibu haya maovu hata kama ni baada ya miaka hamsini, ccm imejigeuza kuwa kikundi cha mauaji na utesaji hili halitapita bure.
 
Kwa hiyo wazungu ndio kimbilio lenu? Watu wa aina yako ndio wenye imani ya kuwa bora wangezaliwa mbwa Ulaya

Tanzania naipenda ndo maana ntaipigania na pale kwenye uovu tuseme CCM inaendesha siasa vibaya siku hizi ni tofauti na wakati wa akina Malechela.
 
Kesi ya ugaidi ya vigogo CHADEMA kusikilizwa leo

Na Mwandishi Wetu, Tabora

KATIBU wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Henry Kileo na wenzake wanne leo watapandishwa kortini kujibu tuhuma zinazowakabili za kesi ya ugaidi.

Kesi hiyo ya ugaidi ilifunguliwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Tabora dhidi ya watuhumiwa hao ambao mwanzoni walifunguliwa shtaka la kushambulia na kudhuru mwili katika Mahakama ya Igunga.

Washtakiwa hao waliachiwa kwa mashtaka ya awali kisha kukamatwa tena kwa mashtaka mengine na kupelekwa, Tabora.

Leo Mahakama inatarajiwa kutoa maamuzi ya hoja za upande wa utetezi unaoongozwa na mawakili wawili, Profesa Abdalah Safari na Peter Kibatala.

Wanaowatuhumu, Wanaoendesha mashitaka, CCM na PoliCCM Wote lao moja ..... km hauishi Tanzania ndio utaviamini vyombo vya dola .... Ntashangaa kama wewe bado unaamini uozo huu ambao hata asiyejua sheria anaona dhuluma inayofanyika,...! Igunga aliyekamatwa na tindikali alikua ni GREEN GUARD na polisi wanakiri halafu tindikali hiyo hiyo amwage kiongozi wa CDM au wafuasi wa CDM? Kweli polisi hawana haya?
 
Mkuu Molemo,

Itakuwa ngumu unaanzisha uzi halafu unachaguwa watu wa kuchangia hii ni forum.

Cha msingi ni kujikita kwenye hoja.

Mkuu Ritz siku zote nakuheshimu hapa jamvini lakini kuna watu wajinga na wa hovyo ambao kamwe siwezi kuwaheshimu kwa sababu ya utupu wa akili zao.
 
Last edited by a moderator:
hakuna damu ya Mtanzania hata mmoja itakayomwagika bure iko siku mtajibu haya maovu hata kama ni baada ya miaka hamsini, ccm imejigeuza kuwa kikundi cha mauaji na utesaji hili halitapita bure.

ni kweli lazima mjibu mmeua watu soweto mungu hatawafumbia macho hata kidogo mbowe na lema kaburi lao lipo kuzimu linawasubiri.
 
chanzo chenyewe gazeti la udaku hakuna kitu hapo.

Funguka kijana hivi haya yote yaliosemwa kaka yangefanywa na Upinzani nani Angepona kama kufanya mkutano bila kibali watu wanafunguliwa mashitaka sembuse kuua au kuumiza watu kama wanavyofanya hawa jamaa

1070095_488959561188043_854384219_n.jpg
 
babayako ni member ambaye anasimama katika ukweli na ndiyo maana Magwanda mnanchukia sana kwa vile anawaambia ukweli.

Nyie wote , wewe na babayako. mna matatizo makubwa ya kisaikolojia tu sema hamjitambui. Mnahitaji uangalizi mkubwa na wa karibu, vinginevyo mnaweza hata ku-commit suicide...kwa ajili ya kutetea mambo ambayo ni mwenda wazimu tu anaweza kuyatetea.
 
Back
Top Bottom