CHADEMA yaanika unyama wa kundi la Green Guard ya CCM

Hivi nyie..madini yanayoyoma. Uchumi mbovu bado mmekalia politiki za ccm na cdm. Ama kweli mmelogwa

Na wewe ni tahira sasa kwa mfumo wa dunia ya leo viongozi wa kulinda hayo madini wanapatikanaje kama sio kupitia siasa(ccm,cdm nk)...au unataka siasa zijadiliwe kwenye nyumba za ibada kama mwenyekiti wako lipumba...utakuja na hoja ya mi sina chama... kama huna chama kaa pembeni maana hata sera za kulinda hayo madini yako zinatungwa na wanasiasa i.e ccm , cdm , cuf nk ambao hutaki kuwasikia.
 
Mkuu Molemo,

Itakuwa ngumu unaanzisha uzi halafu unachaguwa watu wa kuchangia hii ni forum.

Cha msingi ni kujikita kwenye hoja.

Mwalimu Ritz, habari za Nyegezi? Vipi mke wa Mangula anaendeleaje na malaria?
 
Huu ujinga wa CHADEMA kutekeleza uhalifu na baadaye kujipanga kuupeleka kwa wananchi kuwa ni CCM , watanzania tusipokuwa makini machafuko hayaepukiki tukubali kuyapokea tu.
wewe ndo unaonekana mjinga,huvi ujiulizi kwa nini ccm wanatuhumiwa alafu waishitaki CHADEMA ?
 
chadema kishakuwa kama mwanamke alitorokwa na bwana kila siku kulalamika bila hata sababu za msingi.
Umechemka ndugu wanaolalamika kwa sasa ni CCM na vibaraka wao baada ya kusikia tamko la wanaume kuimarisha RB
 
mkuu hebu toa hoja yenye mashiko kuthibitisha green guard sio janjaweed na sasa ni MUNGIKI. mmekua mkionekana kwa nadra sana now days. mnatumika vibaya sana mkuu.
Kama mawazo na fikra zako zimekupa majibu kama Green Guard ni Janjaweed na sasa ni MUNGIKI, hoja gani zaidi kutoka kwa mtu MZIMA wenye akili PEVU itakayo endana na akili na mtazamo wako ili uelewe dhana nzima ya Green Guard na tofauti za msingi kati yake.

Nina wasiwasi na uelewa wako katika kupambanua maswala kati ya hocus-pocus and verity argument.

Bavicha inakufaa na wako tayari kukupata tofauti zake.
 
Kwa ujinga kama huu unaoandika Jibu lake ni Matokeo ya Arusha.Uliondoka na sifuri..Shame on you
 
Kwa ujinga kama huu unaoandika Jibu lake ni Matokeo ya Arusha.Uliondoka na sifuri..Shame on you
Unatakiwa uitendee haki mada yako.

Unaanzisha mada na unataka tuanze kujadili uchaguzi wa Arusha ambao ni nje ya mada uliyoianzisha.

Kama unataka tuanze kujadili mada ya uchaguzi wa Arusha. Weka mada hapa ili tukupe somo na ukweli.

Stick to your thread as a matter of principle.
 
Wewe akili huna watu wanazungumzia maovu ya Green Guard ya CCM wewe unaleta habari ya RR ya Italy huo ni ujuha Read Brigade ya CDM ipo kitambo tuambie umeishawahi kusikia imefanya uhovu sio unaleta habari za kusadikika

Yaani hao wanaCCM si watu unaoweza kukaa mkajadili jambo la maana wao wakati wote wanapenda kudandia mada kama wanavyofanya humu JF halafu sasa wanakuwa off tune wakati wote.
 
tangu chadema wamwage damu za watu wa arusha wamekuwa kama wehu hivi wanaongea mambo ya ajabu kweli damu ni nzito kuliko maji watasumbuka sana.
 
Nashangazwa na maoni ya viongozi wa CCM, kama Mzee Peter Kisumo na wengine kwamba kikundi cha vijana wanaolinda mikutano na viongozi wa CHADEMA, ambacho tunakiita "Red Brigade" eti kinahatarisha usalama. Licha ya kwamba hawa watu walikuwepo hata wakati wa enzi za Mwalimu aliyekiita kikundi chao cha Vijana wa CCM "Green Guards" badala ya "Red Guards" wa China ya Mao; na sasa hivi wanafunzwa ukakamavu, wanaona ni hatari Chadema kikifuata mtindo huo.

Nimeona katika TV, Mheshimiwa Rais Kikwete akikagua kikundi cha Green Guards waliokuwa na bunduki bandia na magwanda ya kijani. Ni vibaya kwa hawa Green Guards wa CCM kuanza mashambulizi kwa wananchi. Kama kuna uhalifu, tutumie walinzi wetu wa Polisi tunaowalipa kwa kodi zetu.
 
Unatakiwa uitendee haki mada yako.

Unaanzisha mada na unataka tuanze kujadili uchaguzi wa Arusha ambao ni nje ya mada uliyoianzisha.

Kama unataka tuanze kujadili mada ya uchaguzi wa Arusha. Weka mada hapa ili tukupe somo na ukweli.

Stick to your thread as a matter of principle.

Unachekesha wewe.

Utanipa somo mimi kuhusu Uchaguzi wa Arusha.Huna hata aibu.

Kura mlizopata mkijumlisha na za mchumba wenu CUF hazifiki hata robo ya kura za Chadema.

Katika vituo 136 hanjaweza kuongoza hata kituo kimoja.Adhabu tosha kwa watu wasiomjua Mungu.

Endeleeni kuzunguka na katuni wenu na kufungulia watu mashtaka bandia ili kuwatesa.
 
Kila mchango hapo anahesabu 7000 ikifika jioni anaenda Lumumba kuchukua mshiko,kubali ukweli hizo buku 7000 zitakuhukumu siku moja.
 
Nashangazwa na maoni ya viongozi wa CCM, kama Mzee Peter Kisumo na wengine kwamba kikundi cha vijana wanaolinda mikutano na viongozi wa CHADEMA, ambacho tunakiita "Red Brigade" eti kinahatarisha usalama. Licha ya kwamba hawa watu walikuwepo hata wakati wa enzi za Mwalimu aliyekiita kikundi chao cha Vijana wa CCM "Green Guards" badala ya "Red Guards" wa China ya Mao; na sasa hivi wanafunzwa ukakamavu, wanaona ni hatari Chadema kikifuata mtindo huo.

Nimeona katika TV, Mheshimiwa Rais Kikwete akikagua kikundi cha Green Guards waliokuwa na bunduki bandia na magwanda ya kijani. Ni vibaya kwa hawa Green Guards wa CCM kuanza mashambulizi kwa wananchi. Kama kuna uhalifu, tutumie walinzi wetu wa Polisi tunaowalipa kwa kodi zetu.

Mungu akubariki Mzee wetu Edwin Mtei kwa busara hii kubwa.

Kazi uliyokwisha fanya katika Taifa hili ni kubwa.Utakumbukwa milele kwa kuwapa wana wa Tanzania zawadi ya kudumu.Zawadi hiyo ni Chadema.

Asante sana.
 
Last edited by a moderator:
mimi mwenyewe nimechoka na mateso ya green guard,,,,wanapiga hao,,usiombe ukutane nao peke yako alfu umevaa nguo za cdm,,,,lazima wa dili na wewe,,,,makambi ya reg brigade yanaanza lini,,,naomba moja ya zoezi watakalotupa kwa ajili yakujilinda ,,liwe lakutengua na kuvunja dole gumba ili next time washindwe kupiga ile alama ya dole
 
Back
Top Bottom