CHADEMA yaanika unyama wa kundi la Green Guard ya CCM

chadema kishakuwa kama mwanamke alitorokwa na bwana kila siku kulalamika bila hata sababu za msingi.
 
acha unafiki ww jibu hoja iliyoko mezani
1. Ww ndio moderator??
2. Jf ni ya mjomba ako au ya kwako??
3. Hizo id zilizofungiwa ni zipi???
acha kutumika ww, thibitisha maneno yako otherwise hii ni name calling na adhabu yake ni ban, mods mshughulikieni huyo

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Ban ya hivyo mjomba duh !
 
Kwa hiyo wazungu ndio kimbilio lenu? Watu wa aina yako ndio wenye imani ya kuwa bora wangezaliwa mbwa Ulaya


Dr. Mary Nagu(waziri) anuswa na mbwa wa Kizungu. Mbwa wa kizungu ndo kimbilio la CCM?? maana kuna mwenyekiti wa ccm kila leo safari za ulaya kisa matonya!
 
Bavicha at it's best.

Hizi ni fikra na mawazo ya kichekechea yanayotoa majibu kwa njia ya copy & paste.

Watu wenye mawazo na mitazamo kama hii kuwaomba even a simple evidence ni kujisumbua, kupoteza muda na kuonekana kama kile walicho copy & paste kina passable argument.
 
namuongeza slaa,lwakatare na kileo wote magaidi hawa.

Ukiona vipi wataje wote ambao wapo kwenye haka kakikosi
1070095_488959561188043_854384219_n.jpg
 
Babayako,
Tunataka detail za hapo kwetu, sio ku download historia na kutujazia mail......:closed_2:
 
Hivi naomba nisaidiwe,kila mtu na kila chama kinalalamika kuwa huyu ni gaidi na huyu si gaidi! Ni chombo kipi sasa kinaweza kututoa kwenye huu mkanganyiko kama sio polisi? kwa nini polisi wasifanye a thorough investigation? na nini maana ya chama tawala kuunda serikali?serikali ni kwa ajili ya nani hasa? Tusipoangalia Uwongo hugeuka kuwa ukweli,watu wanapigwa na kuuwawa,halafu hatuleti majibu sahihi,tumekalia siasa,Why?
 
Bavicha at it's best.

Hizi ni fikra na mawazo ya kichekechea yanayotoa majibu kwa njia ya copy & paste.

Watu wenye mawazo na mitazamo kama hii kuwaomba even a simple evidence ni kujisumbua, kupoteza muda na kuonekana kama kile walicho copy & paste kina passable argument.

mkuu hebu toa hoja yenye mashiko kuthibitisha green guard sio janjaweed na sasa ni MUNGIKI. mmekua mkionekana kwa nadra sana now days. mnatumika vibaya sana mkuu.
 
The Red Brigades terrorize Italy


On this day in 1974, Italian prosecutor Mario Sossi is kidnapped by the Red Brigades. It was the first time that the left-wing terrorist group had directly struck the Italian government, marking the beginning of tensions that lasted for 10 years.


The Red Brigades were founded by college student Renato Curcio in 1969 to battle "against the imperialist state of the multinationals." At first, the fledgling organization restricted its activities to small acts of vandalism and arson. However, in 1972, they abducted business executive Idalgo Macchiarini, releasing him a short time later with a sign that said, "Hit one to educate 100. Power to the armed populace." The Red Brigades kidnapped several other executives in the years following.


The kidnapping of Mario Sossi marked the first time that the Red Brigades demanded a ransom: They insisted on the release of eight imprisoned members. After fellow prosecutor Francesco Coco agreed to the demand, Sossi was released. However, Coco reneged on the deal and infuriated the Red Brigades.


Over the next several years, the terrorist group kidnapped 26 wealthy men and women to fund their criminal enterprises, extorting as much as $2 million for one abduction. They also got revenge on Coco, killing him in 1976. That same year, 49 members were prosecuted in Turin, prompting several retaliatory shootings against government officials.


In 1978, the ante was upped even further after some of the Red Brigades' leaders were arrested. Aldo Moro, a former Italian prime minister, was kidnapped on March 16, 1978, and five bodyguards were killed in the attack. For 55 days, the terrorists made various demands while taunting Moro's family with fake death announcements. On May 9, after their demands were refused, Moro's body was found in the trunk of a red car in the middle of Rome. He had been shot 11 times in the chest. The Red Brigades killed seven more politicians in the next week, terrorizing the whole country of Italy.


Sixty-three persons ended up being charged with involvement in Moro's murder. Prospero Gallinari, the actual shooter, and 22 others were convicted and sentenced to life imprisonment. The Red Brigades were finally crushed in the early 1980s when over 400 members were jailed.

Wewe akili huna watu wanazungumzia maovu ya Green Guard ya CCM wewe unaleta habari ya RR ya Italy huo ni ujuha Read Brigade ya CDM ipo kitambo tuambie umeishawahi kusikia imefanya uhovu sio unaleta habari za kusadikika
 
Bavicha at it's best.

Hizi ni fikra na mawazo ya kichekechea yanayotoa majibu kwa njia ya copy & paste.

Watu wenye mawazo na mitazamo kama hii kuwaomba even a simple evidence ni kujisumbua, kupoteza muda na kuonekana kama kile walicho copy & paste kina passable argument.

Unaugulia maumivu ya Arusha
 
Wanatumika vibaya sana, badala ya kupambana kwa hoja wanaishia kutaja majina ya members, huko ni kufilisika kwa hoja, hebu timing na vibaraka wenzake wanijibu haya maswali.
1.kwann lwakatare alitaka kumlisha sumu denis msaki mwandishi wa mwananchi???
2. Kwann ben sa 8 alikuwa anatembea na sumu bar amlishe zitto??
3.kwann kilewo, katibu wa baavichaa mkoa wa kinondoni na wenzake walimmwagia tindikali mussa tesha huko igunga??
4. Kibanda aliandika makala kumsifia kinana, mbowe akachukia na hivyo kibanda hakuhama free media kwa amani, kwann walimteka na kumtesa??
ni hayo tu
cc. Timing

unaweza kuthibitisha huo upuuzi wako ? Au tukutengenezee Ban ya Milele ? Unapokuwa muongo katika age hiyo ukizeeka lazima utakuwa mchawi.
 
Back
Top Bottom