CHADEMA yaanika unyama wa kundi la Green Guard ya CCM

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,949
8,843
mkuu huyu TIMING ndiyo wale wale walioko humu kwa ajili kuganga njaa na kukimbilia kuwaambia wengine wachukue buku saba lumumba pale mabwana zao wanapoambiwa ukweli.

Aisee... sio buku saba mazee, wameongea sasa ni buku kumi, kwani wewe bado upo kwenye saba?? ujue unaliwa
 
TECH WIZ

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
1,675
553
Huu ujinga wa CHADEMA kutekeleza uhalifu na baadaye kujipanga kuupeleka kwa wananchi kuwa ni CCM , watanzania tusipokuwa makini machafuko hayaepukiki tukubali kuyapokea tu.

Hicho kichwa chako kina UBONGO au MATOPE?Haya basi tufanye hata mauaji ya Wazanzibar mwaka 2000 yalifanywa a Red Brigade ya CHADEMA.Kweli CCM hakuna mtu mwenye ubongo unaofanya kazi aliyesalia huko.Wote bongo zenu ziko-polluted
 
Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,271
532
Hii ni hatari, ipo siku JK na Said Mwema watajibu kwenye vyombo vinavyotoa haki bila upendeleo juu ya haya mateso na mauaji ya kinyama
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,949
8,843
Wanatumika vibaya sana, badala ya kupambana kwa hoja wanaishia kutaja majina ya members, huko ni kufilisika kwa hoja, hebu timing na vibaraka wenzake wanijibu haya maswali.
1.kwann lwakatare alitaka kumlisha sumu denis msaki mwandishi wa mwananchi???
2. Kwann ben sa 8 alikuwa anatembea na sumu bar amlishe zitto??
3.kwann kilewo, katibu wa baavichaa mkoa wa kinondoni na wenzake walimmwagia tindikali mussa tesha huko igunga??
4. Kibanda aliandika makala kumsifia kinana, mbowe akachukia na hivyo kibanda hakuhama free media kwa amani, kwann walimteka na kumtesa??
ni hayo tu
cc. Timing

ntakuazishia thread, ila hii ya ujangili wa chama na ugaidi na utesaji ntaacha iendelee maana nikijibishana na wewe ntakosesha uhondo thread

BTW, kuna kazi yoyote unayoweza kufanya zaidi ya siasa?? maana naona kama mtaji wa siasa unakauka taratibu
 
utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,802

Huna hoja ww, kaa chini... When men are talking, children must shut up their mouth!!!
 
utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,802
sikujua kwamba anasimamma katika ukweli,

lazima tuna upeo tofauti sana wa kuelewa, wewe ni imbechili, kamwe huwezi ona tunachoona wengine
Afadhali umekiri kuwa huna upeo na pengine unatumia kichwa kufuga tu nywele
 
TECH WIZ

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
1,675
553
Wanatumika vibaya sana, badala ya kupambana kwa hoja wanaishia kutaja majina ya members, huko ni kufilisika kwa hoja, hebu timing na vibaraka wenzake wanijibu haya maswali.
1.kwann lwakatare alitaka kumlisha sumu denis msaki mwandishi wa mwananchi???
2. Kwann ben sa 8 alikuwa anatembea na sumu bar amlishe zitto??
3.kwann kilewo, katibu wa baavichaa mkoa wa kinondoni na wenzake walimmwagia tindikali mussa tesha huko igunga??
4. Kibanda aliandika makala kumsifia kinana, mbowe akachukia na hivyo kibanda hakuhama free media kwa amani, kwann walimteka na kumtesa??
ni hayo tu
cc. Timing

Nyinyi ni zaidi ya MAZEZETA ya CCM hama kwa hakika hamueleweki mnaongea nini.Sasa hapa nashindwa kuwaelewa kitu kimoja.Kwanini muwe wepesi kukubali kuwa CHADEMA ni wakosaji hata kama hakuna ushahidi wa kuthibitisha hivyo wakati huo huo mmekuwa wazito kukiri makosa ya Chama chenu na hata kujifanya mnaukana ushahidi unaoletewa mbele ya macho yenu.Ni bora mkae kimya wakati mwingine mnakera sana.
 
Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
9,150
7,328
Msingi miongoni mwa misingi muhimu ya kuzingatia katika kuongoza watu wengi na wa aina mbali mbali; ni kuandaa kanuni na kuzisimamia na kuchukua hatua madhubuti kwa yeyote anayezivunja bila kujali ni nani.

Kinyume chake ni lawama, manung'uniko, dhululma, mivutano na hatimae machafuko.

Viongozi na vyombo vilivyopewa dhamana ya kuwaongoza na kuhakikisha kwamba watanzania wako salama, wameshindwa kusimamia msingi huu muhimu, na kuamua kuchukua hatua fulani kwa kuangalia mtu anayevunja kanuni husika ni nani.

Hali hiyo ndio imesababisha kwamba ;licha ya green guard kufanya vitendo ambavyo si tu kwamba ni kinyume na sheria , bali pia vya kinyama na vinavyokiuka utu, lakini wameachwa wanatamba kwa zaidi ya miongo sasa, na kinyume chake kinachoshughulikiwa ni red brigade ambayo haina historia ya kufanya tukio lolote la uvunjaji sheria. Utaratibu huu lazma mwisho uzue misukosuko na migongano, na njia pekee ya kuepuka haya, ni kuubadilisha.

Kanuni ya kimaumbile inaonesha kuwa kokote kwenye dhulma na upendeleo hakuishi migongano, chuki na misuko suko.

"Dunia ni yetu; chaguo ni letu." Tuchague kutenda haki na usawa tuishi kwa wema na amani, au tuchague upendeleo na dhulma tuishi katika misuko suko. Wenzetu wa CCM, Inaonekana wameshagua chaguo la pili maskini!
 
TECH WIZ

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
1,675
553
sikujua kwamba anasimamma katika ukweli,

lazima tuna upeo tofauti sana wa kuelewa, wewe ni imbechili, kamwe huwezi ona tunachoona wengine

Ukweli gani unaouzungumzia?Kuna ukweli wa kuaminika zaidi ya huo hapo juu?Ndio maana majuzi mliumbuliwa na Balozi wa Marekani kwasababu ya tabia zenu za uongo.Ni jambo jema kwamba hata Watanzania siku wanawajua kwa uongo wenu.Wanawaamini zaidi CHADEMA kuliko CCM.
 
Mingoi

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
11,698
6,057
Ni mwenye akili za kuku mtetea pekee anaeweza kuamini hizi propaganda za kitoto
 
utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,802
Hizi thred mmeanzisha mbili tofauti zikizungumzia kitu kile kile ili iweje??
mods tafadhali iunganisheni hii na ile nyingine
 
Monyiaichi

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
1,826
507
du, huyu baba yako ana kazi kweli kweli, loh anakomaa utafikiri ana uwezo wa kubadili uongo kuwa kweli na watu wakamwamini
 
CHAMVIGA

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
7,687
2,237
Mkuu Molemo,
Kama huu ndo ushahidi mnaoutegemea eti kuishutuma green guard sina shaka kuwa polisi au vyombo vya usalama vipo sawa kuwapuuzia. Kila tukio ukiacha yaliohusisha magari ya serikali ni dhaifu sana kwakuwa hayana vielelezo vyovyote vya uhakika juu ya uhusika wa hao green guard kwakuwa hata chadema wanaweza kutengeneza green guard feki ili kuwapaka matope ccm. Huyo mwandishi aliyeandika ripoti kutoka Ujerumani ni mpuuzi kwakuwa polisi hawatumwi wala kufanya jambo kwa presha ya mtu/watu ukizangatia hakuna ushahidi wa kueleweka kuhusu hao watuhumiwa. Gari za polisi kutumika ktk matukio hayo ya uhalifu ndio penye alama ya kuuliza. Yawezekana ni watu ndani ya serikali wanye lengo la kuichafua serikali ukizingatia chadema ina ma agent wake yaani wasaliti ndani ya serikali. Haingii akilini eti polisi wanataka kumdhuru mtu then wanatumia chombo cha serikali ambacho ni rahisi kujulikana. Yaani ni kama ile movie ya pake Arusha eti gari ya polisi na mjeshi juu waje na kurusha bomu na kukimbia watu huku wanaona. Jamani tujaribu kutengeneza uongo unaofanana na ukweli ila kwahaya too low to convice zaidi nayachukulia kama hamasa tu kwa watu wenye jazba na wasiopima mambo kuyafanyia kazi. Cc Shardcole, hamy ~d, Ritz, chama.
 
Last edited by a moderator:

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,565
Msingi miongoni mwa misingi muhimu ya kuzingatia katika kuongoza watu wengi na wa aina mbali mbali; ni kuandaa kanuni na kuzisimamia na kuchukua hatua madhubuti kwa yeyote anayezivunja bila kujali ni nani.Kinyume chake ni lawama, manung'uniko, dhululma, mivutano na hatimae machafuko.Viongozi na vyombo vilivyopewa dhamana ya kuwaongoza na kuhakikisha kwamba watanzania wako salama, wameshindwa kusimamia msingi huu muhimu, na kuamua kuchukua hatua fulani kwa kuangalia mtu anayevunja kanuni husika ni nani.Hali hiyo ndio imesababisha kwamba ;licha ya green guard kufanya vitendo ambavyo si tu kwamba ni kinyume na sheria , bali pia vya kinyama na vinavyokiuka utu, lakini wameachwa wanatamba kwa zaidi ya miongo sasa, na kinyume chake kinachoshughulikiwa ni red brigade ambayo haina historia ya kufanya tukio lolote la uvunjaji sheria. Utaratibu huu lazma mwisho uzue misukosuko na migongano, na njia pekee ya kuepuka haya, ni kuubadilisha.Kanuni ya kimaumbile inaonesha kuwa kokote kwenye dhulma na upendeleo hakuishi migongano, chuki na misuko suko."Dunia ni yetu; chaguo ni letu."Tuchague kutenda haki na usawa tuishi kwa wema na amani, au tuchague upendeleo na dhulma tuishi katika misuko suko.wenzetu wa CCM, Inaonekana wameshagua chaguo la pili maskini!

Mkajipange upya. Wananchi wameshawashtukia CMADEMA ndiyo wanatekeleza haya matukio. HIVI kweli wale watoto ambao walivalishwa sare za CCM na kushikishwa bunduki na baadaye kuchapishwa kwenye Gazeti la Tanzania Daima ndiyo wanaweza kuwateka watu? acheni ujinga huo jamani hii Tanzania siyo ya watu wajinga kiasi hicho.
 
thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,565
Mkuu Molemo,
Kama huu ndo ushahidi mnaoutegemea eti kuishutuma green guard sina shaka kuwa polisi au vyombo vya usalama vipo sawa kuwapuuzia. Kila tukio ukiacha yaliohusisha magari ya serikali ni dhaifu sana kwakuwa hayana vielelezo vyovyote vya uhakika juu ya uhusika wa hao green guard kwakuwa hata chadema wanaweza kutengeneza green guard feki ili kuwapaka matope ccm. Huyo mwandishi aliyeandika ripoti kutoka Ujerumani ni mpuuzi kwakuwa polisi hawatumwi wala kufanya jambo kwa presha ya mtu/watu ukizangatia hakuna ushahidi wa kueleweka kuhusu hao watuhumiwa. Gari za polisi kutumika ktk matukio hayo ya uhalifu ndio penye alama ya kuuliza. Yawezekana ni watu ndani ya serikali wanye lengo la kuichafua serikali ukizingatia chadema ina ma agent wake yaani wasaliti ndani ya serikali. Haingii akilini eti polisi wanataka kumdhuru mtu then wanatumia chombo cha serikali ambacho ni rahisi kujulikana. Yaani ni kama ile movie ya pake Arusha eti gari ya polisi na mjeshi juu waje na kurusha bomu na kukimbia watu huku wanaona. Jamani tujaribu kutengeneza uongo unaofanana na ukweli ila kwahaya too low to convice zaidi nayachukulia kama hamasa tu kwa watu wenye jazba na wasiopima mambo kuyafanyia kazi. Cc Shardcole, hamy ~d, Ritz, chama.

Umeonae, angalia upuuzi waliouchapisha kwenye gazeti lao la Tanzania Daima wiki iliyopita, wakawachukua watoto wa chini ya miaka 16 na kuwavalisha sare za CCM na kuwabebesha bunduki na kudai kuwa ni greenguard. upuuzi mtupu.
 
7 Reactions
Reply
Top Bottom