CHADEMA yaanika unyama wa kundi la Green Guard ya CCM

du, huyu baba yako ana kazi kweli kweli, loh anakomaa utafikiri ana uwezo wa kubadili uongo kuwa kweli na watu wakamwamini

Mkuu huyo ni Mwigulu Nchemba

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hii habari ni ya uchochezi ndiyo maana hauwezi kuikutana kwenye magazeti mengine tofauti na gazeti la udaku Tanzania Daima.

mkuu Ritz
Habari wamejitungia wenyewe Chadema taasisi za kitapeli achana nazo sisi tunadili na taasisi zinazojulikana kimataifa; hizi habari kuandikwa kwenye shelter za homeless zikuumize kichwa!
 
Last edited by a moderator:
Hii habari ni ya uchochezi ndiyo maana hauwezi kuikutana kwenye magazeti mengine tofauti na gazeti la udaku Tanzania Daima.

ni ya uchochezi kwa kuwa inajenga chuki.ila maneno yameambatana na ushahidi ikiwepo namba za magari,majina nk
 
Mwigulu&Co. aka babayako&Co wanahaha ile mbaya, wanataka ardhi ipasuke wazame huko ndani.
Ukweli unaumaaa.
 
Kumejaa upuuuzi wa kupitiliza, kwa haya yote yaliyo andikwa inaonesha seriakali imeshindwa kazi, na hiyvo habari za mauaji ya rai imgeuzwa kuwa muziki wa taarab, iwe ni CCM au Chadema, haya matatizo lawama ni kwa serikali maana wanawajibu, na namna gani umekosa akilli, unashindwa kuona jinsi serikali ilivyo shindwa kufuatili swala la Ulimboka, time will tell, wala muda si mwingi, hawa mapropaganda waliyo jazwa humu watajificha chooni. Tanzania imegeuzwa nchi ya waimba taarab kwa kukosa uongiz thabiti
 

Mboba CCM mna jazba hivi?Anyway hivi kwanini hamtaki Serikali tatu?Mnahofia nini au mnahofia kupigwa bao kirahisi katika Uchaguzi wa Urais wa Zanzibar na Maalim Seif na Dr Slaa kwa upande wa Tanganyika.Amini nakwambia hata mfanyaje CCM lazima itoke madarakani 2015.That's a vow!
 
Last edited by a moderator:
Huu ujinga wa CHADEMA kutekeleza uhalifu na baadaye kujipanga kuupeleka kwa wananchi kuwa ni CCM , watanzania tusipokuwa makini machafuko hayaepukiki tukubali kuyapokea tu.

Mimi siyo Chadema wala CCM lakini najua na nina uhakika kwamba ugaidi wote unafanywa na CCM. CCM afadhali mnyamaze au muongelee mambo ya maendeleo. Otherwise mtaumbuka
 

Nilishakuonya usijadili threads zangu.

Na nilishasema sitabishana na -------- hata siku moja.

Ninasikitika hata kukujibu kwa sababu huna thamani yoyote ya kujibiwa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa maneno haya imedhihiri kwamba kweli unatumia IDs nyingi sana hapa JF kwa malengo mabaya!
 

mkuu hata uka paste server nzima ya wikipedia hapa ukweli utabaki palepale GREEN GUARD IS A JANJAWEED.
 

Mwigulu nchemba anasema hawa wanajifunza ujasiliamali


 
mnyika nae kwa kupenda promo!!!!
huu upuuzi wote anajua kuwa umefanywa na chadema, ila wao wanapiga siasa kupitia damu za wahanga.
mwanzo wa andiko hadi mwisho ni siasaaaaaaaa plus ujingaaaaaa.
hawa vibaraka wa MAKENGEZAMAN ni watumwa hawa
 

Tunajadili mambo ya Tanzania, we unatuwekea mambo ya Itary tena matukio ya zamani, hivi kweli tuko wote au umeamkia kwenye viroba?
 
haya matusi yanafanana na ya Mwigulu kabisa.
 
mnyika nae kwa kupenda promo!!!!
huu upuuzi wote anajua kuwa umefanywa na chadema, ila wao wanapiga siasa kupitia damu za wahanga.
mwanzo wa andiko hadi mwisho ni siasaaaaaaaa plus ujingaaaaaa.
hawa vibaraka wa MAKENGEZAMAN ni watumwa hawa

Sio ujinga watu wanateketea Kwa kufa na kuumizwa kuna haja yakupiga narufuku hivi vikundi unaweza kuniambia kwanini tusipige marufuku haka kakikundi? Au kwa sababu kanahusu CCM

 
Nilishakuonya usijadili threads zangu.

Na nilishasema sitabishana na -------- hata siku moja.

Ninasikitika hata kukujibu kwa sababu huna thamani yoyote ya kujibiwa.

Mkuu Molemo,

Itakuwa ngumu unaanzisha uzi halafu unachaguwa watu wa kuchangia hii ni forum.

Cha msingi ni kujikita kwenye hoja.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…