CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA!! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Lisu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa!!! Ulaya sababu ya Corona mikutano ya hadhara ni marufuku
Hata leo hii mazishi ya Prince Phillip wa Uingereza yatakayofanyika kuanzia saa sita na nusu yatahudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia ya Kifalme 30 tu
Sasa hata watanzania hivi CHADEMA tuwaelewaje? Mbowe mwenyewe kasema Corona Tanzania iko kibao serikali ilete chanjo yeye keshachanja!!! Halafu hapo hapo wanataka mikutano ya hadhara wanata kuua watu kwa Corona au?
pongezi zote kwa waliowaita hawa mabinti nyumbu, lowassa ni fisadiCHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA!! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Lisu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa!!! Ulaya sababu ya Corona mikutano ya hadhara ni marufuku
Hata leo hii mazishi ya Prince Phillip wa Uingereza yatakayofanyika kuanzia saa sita na nusu yatahudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia ya Kifalme 30 tu
Sasa hata watanzania hivi CHADEMA tuwaelewaje? Mbowe mwenyewe kasema Corona Tanzania iko kibao serikali ilete chanjo yeye keshachanja!!! Halafu hapo hapo wanataka mikutano ya hadhara wanata kuua watu kwa Corona au?
Huu sio muda wa mikutano,ni muda wa kazi
Siasa ni sayansi sio makelele,ukianza kelele unamshitua adui,wake up ....
Kuna wakati mwingine jitahidi kuweka nje mahaba ya kisiasa utakuwa smart sana
Una uchama Sana mzeeHili ni jukwaa la siasa, unawekaje pembeni mahaba ya kisiasa ukiwa ndani ya jukwaa hili?
CCM inasimamia inachokiamini inasemaCorona hakuna na inaonyesha kwa vitendoSimilarly, serikali ya CCM inakataza mikutano ya hadhara wakati inaitangazia dunia kuwa Tanzania hakuna CORONA. Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Wrong timing !!! Wana press kwenye nchi wanayotangaza imejaa Corona? Nani atawaelewa? Huku unasema Tanzania imejaa corona huku unataka mikusanyiko akili zimo hapo?Wanacho'press' ni freedom of assembly - hii haki ikiheshimiwa then wanaofanya mikutano watachukua tahadhari.
CCM inasimamia inachokiamini inasemaCorona hakuna na inaonyesha kwa vitendo
Chadema mnaosema Corona ipo halafu hamsimamii maneno yenu hapo ndipo tatizo lilipo
Una uchama Sana mzee
Hapa nadhan lengo sio kuanza mikutano ya kisiasa, lengo ni kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa then wataamua wenyew lin na kwa utaratib upi wafanye mikutano. BTW hakuna official report kuhusu uwepo wa Corona nchini na uchukuaji tahadhari. Tusubir wahusika watoe taarifa rasmi. So tutakuja kuwasema chadema pindi watakapofanya mikutano wakati kuna taarifa rasmi ya Corona na tahadhari zake.CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA!! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Lissu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa!!! Ulaya sababu ya Corona mikutano ya hadhara ni marufuku
Hata leo hii mazishi ya Prince Phillip wa Uingereza yatakayofanyika kuanzia saa sita na nusu yatahudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia ya Kifalme 30 tu
Sasa hata watanzania hivi CHADEMA tuwaelewaje? Mbowe mwenyewe kasema Corona Tanzania iko kibao serikali ilete chanjo yeye keshachanja!!! Halafu hapo hapo wanataka mikutano ya hadhara wanata kuua watu kwa Corona au?
Uchama au ushabiki unafanya mtu yoyote asitoe hoja zenye mashikoMkuu kwani unakonda?
Chadema wanatangaza hadi nje ya nchi sana kuwa Tanzania kuna Corona tele hizo taarifa huwa wanazitoa wapi wakati taarifa rasmi hazipo?Hapa nadhan lengo sio kuanza mikutano ya kisiasa, lengo ni kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa then wataamua wenyew lin na kwa utaratib upi wafanye mikutano. BTW hakuna official report kuhusu uwepo wa Corona nchini na uchukuaji tahadhari. Tusubir wahusika watoe taarifa rasmi. So tutakuja kuwasema chadema pindi watakapofanya mikutano wakati kuna taarifa rasmi ya Corona na tahadhari zake.
Very interesting... Ungeweka ushahid jins wanavyotangaza huko nje ingekua vzr maan nimeshindwa kukujibu cz cna ushahid wala taarifa juu ya hilo la kusambaza habar nje ya nchiChadema wanatangaza hadi nje ya nchi sana kuwa Tanzania kuna Corona tele hizo taarifa huwa wanazitoa wapi wakati taarifa rasmi hazipo?
Lakini corana haindoi haki ya mtu (ingawa inaweza kui'limit' in some circumstances). Lakini Tanzania hakuna lockdown, hivyo sioni kama ni wrong timing kwa wao ku'press' freedom of assembly ambayo ni haki yao ya Kikatiba.Wrong timing !!! Wana press kwenye nchi wanayotangaza imejaa Corona? Nani atawaelewa? Huku unasema Tanzania imejaa corona huku unataka mikusanyiko akili zimo hapo?