CHADEMA wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA. Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?

CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA!! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?

Lisu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa!!! Ulaya sababu ya Corona mikutano ya hadhara ni marufuku

Hata leo hii mazishi ya Prince Phillip wa Uingereza yatakayofanyika kuanzia saa sita na nusu yatahudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia ya Kifalme 30 tu

Sasa hata watanzania hivi CHADEMA tuwaelewaje? Mbowe mwenyewe kasema Corona Tanzania iko kibao serikali ilete chanjo yeye keshachanja!!! Halafu hapo hapo wanataka mikutano ya hadhara wanata kuua watu kwa Corona au?

Baada ya chadema wengi kuhudhuria kuuaga mwili wa hayati Magufuli, wameona waendelee tu na mikutano hivyo hivyo, au wanakukera?
 
Kuna hoja hapa ya msingi Mbowe yeye kaishapata chanjo ya Corona, na juzi alimuomba rais alifanyie haraka hili suala la Corona sasa mikusanyiko kipindi hiki siyo salama, Chadema mwaka jana walitoka kabisa bungeni kuhofia maambukizi ya Corona.
 
Huu sio muda wa mikutano,ni muda wa kazi

Wewe usiende kwenye mikutano yao bali piga kazi maana hakuna anayelazimishwa. Mkutano ni wastani wa masaa mawili kama mechi ya mpira, hao waojazana kuangalia mechi ya mpira ni wazururaji?
 
Kuna hoja hapa yq msingi Mbowe yeye kaishapata chanjo ya Corona, na juzi alimuomba rais alifanyie haraka hili suala la Corona sasa mikusanyiko kipindi hiki siyo salama, Chadema mwaka jana walitoka kabisa bungeni kuhofia maambukizi ya Corona.

Chadema wanavaa barakoa kama kinga ya Corona, ni sawa na wale wanaovaa condom ili kuendelea na tendo la ndoa, haimaanishi kwakuwa kuna ukimwi basi watu wasijamiine, ndio maana kuna condom. Ama mzee wa zamani unapata shida kwenye hili nini?
 
Dah pole sana mkuu. Ila nadhan umeshajifunza sasa hv kuhusu chadema ni watu wa aina gani. Hawa watu nasemaga siku zote siasa zao niza kuonewa huruma wanataka huruma ya watu ndio wapate madaraka na huu ni ujinga fikra zao za mapambano ya kisias zimefika mwisho hawajui waje na staili gan saaa hv

Kama ibilisi alivyopiga magoti wakati wa kampeni ili apate kura.
 
CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA!! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?

Lisu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa!!! Ulaya sababu ya Corona mikutano ya hadhara ni marufuku

Hata leo hii mazishi ya Prince Phillip wa Uingereza yatakayofanyika kuanzia saa sita na nusu yatahudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia ya Kifalme 30 tu

Sasa hata watanzania hivi CHADEMA tuwaelewaje? Mbowe mwenyewe kasema Corona Tanzania iko kibao serikali ilete chanjo yeye keshachanja!!! Halafu hapo hapo wanataka mikutano ya hadhara wanata kuua watu kwa Corona au?
Huu sio muda wa mikutano,ni muda wa kazi
Ww usiende kwenye mikutano yao bali piga kazi maana hakuna anayelazimishwa. Mkutano ni wastani wa masaa mawili kama mechi ya mpira, hao waojazana kuangalia mechi ya mpira ni wazururaji?
Siasa ni sayansi sio makelele,ukianza kelele unamshitua adui,wake up ....
 
Similarly, serikali ya CCM inakataza mikutano ya hadhara wakati inaitangazia dunia kuwa Tanzania hakuna CORONA. Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Hivi walizuia kabla au baada ya uwepo wa corona?
 
Similarly, serikali ya CCM inakataza mikutano ya hadhara wakati inaitangazia dunia kuwa Tanzania hakuna CORONA. Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Nyani haoni kundule la mwenzie haya machokoraa ya Lumumba ni basi tu, ni ma zero brains..
 
CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA!! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?

Lisu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa!!! Ulaya sababu ya Corona mikutano ya hadhara ni marufuku

Hata leo hii mazishi ya Prince Phillip wa Uingereza yatakayofanyika kuanzia saa sita na nusu yatahudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia ya Kifalme 30 tu

Sasa hata watanzania hivi CHADEMA tuwaelewaje? Mbowe mwenyewe kasema Corona Tanzania iko kibao serikali ilete chanjo yeye keshachanja!!! Halafu hapo hapo wanataka mikutano ya hadhara wanata kuua watu kwa Corona au?
Wanacho'press' ni freedom of assembly - hii haki ikiheshimiwa then wanaofanya mikutano watachukua tahadhari.
 
Achana nao mkuu. Chadema akili zao wanazielewa wenyewe. Raha yao ni kupinga kila kitu. Wanasema wasichokiamini, Wanaamini wasichokitenda na wanatenda kwa kuzingatia hisia na ukweli wa mioyo yao. Kwa hiyo, matendo yao ndiyo yanayozungumza ukweli wao. Imagine Mwaipaya na Pambalu wanavyoshadadia serikali ichukue hatua dhidi ya maambukiz ya COVID-19, jana wao hao hao wakakusanya watu wengi kwenye kichumba chenye poor ventilation, congested wanaimba na kutemeana mate, na Hakuna alokua kavaa mask Wala ku maintain social distance. Sina hakika Kama washiriki walikua screened kabla ya kuingia kwenye kichumba kile.
Hapo ndipo napoamini kuwa, CDM wanaichukulia siasa ya Tanzania Kama Utani wa Simba na Yanga.
Sasa kama huna uhakika kwanini unaandika hapa? Andika vitu ambavyo una uhakika navyo tu
 
Crap. Huyu aliyeleta hii mada ni mzima? Sijui kaka kuna namna ya kumfanya afanye arguments zitakazoonekana ziketoka angalao kwa mtu mwenye akili ya kawaida.
 
Umeua,naona kenge wanatoa damu masikioni

Back
Top Bottom