CHADEMA wanamkana Tundu Lissu kisayansi kama walivyomtenda Dkt. Slaa, Lissu hana nafasi tena CHADEMA!

Chadema ipo ICU na endapo hawatawavua uanachama hao watumwa wa kike waliouzwa Bungeni kienyeji kwa njia haramu za kishetani watambue kuwa chadema inafariki ijumaa na ndiyo mwisho wake kwani hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia chadema tena watabakiwa na mazezeta kwani hakuna mtu anaupenda upumbavu huo
 
Chadema wakithubutu kutowafukuza watumwa wa kike waliuzwa Bungeni kienyeji kwa njia haramu za kishetani wattambue kuwa chadema inafariki na kuwa kama UDP NCCR CUF na TLP
 
Chadema ipo ICU na endapo hawatawavua uanachama hao watumwa wa kike waliouzwa Bungeni kienyeji kwa njia haramu za kishetani watambue kuwa chadema inafariki ijumaa na ndiyo mwisho wake kwani hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia chadema tena watabakiwa na mazezeta kwani hakuna mtu anaupenda upumbavu huo
Hahahaaa
 
Nani anaupenda mchezo wa mfumo?
 
Uko sahihi, Kama umemsikiliza vizuri Mnyika alikuwa anaongea na sauti ya kutetemeka hasa akiongelea vitu sensitive maana yake yawezekana yupo against Mbowe. Kwa elimu ya Mdee na level yake chamani lazima awe na backup fulani kuongoza wamama 19 kuapa. Kihistoria Mnyika hana ubavu wa kumfanya lolote Mdee ndani ya CHADEMA nahisi kuna bomu kubwa linaenda kulipuka ijumaa kuigawa CHADEMA vipande vipande. Muda utaongea.
Mdee na wenzake wanafukuzwa na kusahaulika kama wasaliti wengine
 
Uko sahihi, Kama umemsikiliza vizuri Mnyika alikuwa anaongea na sauti ya kutetemeka hasa akiongelea vitu sensitive maana yake yawezekana yupo against Mbowe. Kwa elimu ya Mdee na level yake chamani lazima awe na backup fulani kuongoza wamama 19 kuapa. Kihistoria Mnyika hana ubavu wa kumfanya lolote Mdee ndani ya CHADEMA nahisi kuna bomu kubwa linaenda kulipuka ijumaa kuigawa CHADEMA vipande vipande. Muda utaongea.
Jomba kwani wanatumia ubavu wa nguvu asili au ubavu wa katiba yao inasemaje
 
Yaani pumba gunia zima,hivi law akili yako Chadema wana angalia mtu,Chama ni kikubwa zaidi ya mtu Mdee anatolewa kweupe na wala Chadema haita yumba.
 
Uko sahihi, Kama umemsikiliza vizuri Mnyika alikuwa anaongea na sauti ya kutetemeka hasa akiongelea vitu sensitive maana yake yawezekana yupo against Mbowe. Kwa elimu ya Mdee na level yake chamani lazima awe na backup fulani kuongoza wamama 19 kuapa. Kihistoria Mnyika hana ubavu wa kumfanya lolote Mdee ndani ya CHADEMA nahisi kuna bomu kubwa linaenda kulipuka ijumaa kuigawa CHADEMA vipande vipande. Muda utaongea.
Kwa lipi special unaloliona wewe kwamba Mdee analo mpaka Chadema au Mnyika amuogope nyie ni wapuuzi sana Mdee atatolewa na mchukueni huko ufipa
 
Tumchukue tumpeleke ufipa ipi!?... Makao makuu ya Chadema!?.. Umelewa nini!???
 
Back
Top Bottom