CHADEMA wanajiita Chama Kikuu cha upinzani wakati walipata mbunge 1 wanatumia vigezo gani?

Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Hivi kumbe kulikuwepo na uchaguzi 2020?!!! Aisee akili nyingine----
 
Mleta hoja kwani kuna uchaguzi ulifanyika 2020?
Kwa aliyoyafanya yule mtu we acha tu, Jina la Mungu lisifiwe milele na milele.
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Kipindi cha Magu ulitoweka. Kipindi hiki umerudi kikamilifu kwa wenye akili wanagundua kilichoko ndani yako.
 
Kama na hili la CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani linawaumiza basi chama kikuu cha upinzani ni CCM yenye wabunge wengi wakupita kwa marobota ya kura fake na chama tawala ni ACT wazalendo.
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Wee mpumbavu kweli, kwani kuna uchaguzi uliofanyika 2020 au ni marehemu mwehu alikuwa anatudhihirishia kuwa ni mgonjwa wa akili aliyekuwa madarakani
 
Punguani wa Bavicha huyu unaenda saa ngapi kutukana kwenye kijiwe chenu cha Space.
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?
Do you believe it? Are you sure of yourself?
 
Ukiwa na akili timamu huwezi kusema na kuandika haya uliyoyaandaka yawezekana ww ni mtoto bado na hujui siasa CHAFU zinazoendeshwa na serikali ya CCM.
 
Wanaukumbi.

CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?

Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.

Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.

Uchaguzi Mkuu 2020

Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.

CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?

Wanaitwa na katika ya nchi na Serikali yako!
 
Back
Top Bottom