Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,417
- 7,608
Uchaguzi ulifanyika lini?Wanaukumbi.
CHADEMA hamjui hata vigezo vya kuwa chama kikuu cha upinzani. Sasa CHADEMA kwa matamko kwamba hamtambui UCHAGUZI MKUU wa 2020 wala matokeo yake, mnakuwaje tena chama kikuu cha upinzani?
Hebu tuwelewesheni tafadhali, au kwa kiti kimoja cha Ubunge. Kuna swali waliulizwa Bawacha na ofisa mmoja pale ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano yao aliwauliza mna wabunge wangapi bungeni wakabaki wanaangaliana.
Yule ofisa akasubiri majibu hamna aliyemjibu.
Uchaguzi Mkuu 2020
Matokeo yalionyesha kuwa ACT Wazalendo ilipata wabunge 3, CUF ilipata wabunge 3 na CHADEMA ilipata mbunge 1.
CHADEMA wanaendelea kujiita chama kikuu cha upinzani au kambi rasmi ya upinzani bungeni au inatokana na wale wabunge wa viti maalumu?