CHADEMA wanajenga mnara Babeli,hawatafika mbali - SEHEMU YA KWANZA

CHADEMA wanajenga mnara Babeli,hawatafika mbali - SEHEMU YA KWANZA

Ni moja ya extremely poor analysis. Hivi hicho kitengo cha propaganda cha magamba hawana watu wenye upeo zaidi ya huu mpaka wakutumie wewe mnywa gongo!

Mkuu judgement is reserved for those who can be analytical, you have NOT proven your worth.
 
M23 hawa CHADEMA wanatapa tapa , hivi kujua wewe ni wa magamba au wa wapi inawasaidia nini badala ya kujadili hoja msingi

ndio hapo mkuu ,kazi yao ni matusi mtaani hadi bungeni .tutawaondoa kote
 
Mkuu judgement is reserved for those who can be analytical, you have NOT proven your worth.
Mzee wa yai bado hujapevuka hadi leo?upo careful na grammar zaidi ya contents na mesage.

Hutokaa ujue wapi hata mtu asiyejua lugha yoyote bado anakuona kilaza.
 
hofu ni kwamba wanatupotezea muda watanzania kwa maandamano , vurugu na matusi yao, kama wanajua wanafanya siasa kwa leasure bora wangejipanga namna nyingine na kuwapisha watanzania wajikite kwenye shughuli za maendeleo

Kwani wewe unaenda kuk maandamano?.matusi mbona narikia lusinde,mwigulu,rage and the sort ndio wa hakimiliki ya matusi?au wamekugeuzi scripts ili uione chadema instead?
 
m23 Karibu kwenye mkutano mkubwa wa chadema hapa viwanja vya shule ya mbugani.watakuwepo wabunge wazalendo.
nb.chadema ndio habari ya mujini!
Ni kawaida kwa mtu asiye na mwelekeo kulewa sifa, Nini maana ya CHADEMA kuwa habari ya mjini kama siyo kulewa sifa za kijinga? Jadili hoja ya msingi, wewe kama mkereketwa wa CHADEMA tolea ufafanuzi hayo yalioorodheshwa kwenye mada ili nikuone wa maana ili ukiokoe chama chako, kinapoteza mwelekeo, wananchi wanakosa imani kwacho, chama chako kinarudosha nyuma maendeleo ya taifa kwa uchafu wenu wa bungeni, majukwaani na hata mitaani.
 
Chadema iko mbioni kusambaratika...kinana anahitimisha kifo chao leo morogoro
 
kwanza umeandika ujumbe huu kwa kiswahili kibovu kabisa jambo linalo ashilia kua aujui unacho kizungumzia na inaonesha una upeo mdogo wa kuchambua mambo kwa mfano angalia maswali yako?jipange kilaza wew kweli ni m23 co mtanzania wew ni kilaza?
 
Chadema iko mbioni kusambaratika...kinana anahitimisha kifo chao leo morogoro

uo mkutano wa2 hawafiki hata mia 6 kama vile show ya diamond! Angalia cdm mikutano yao tena bila msanii yoyote? We ushaona mkutano wa adhara wanapewa viti wauzuliaji??jipange kilaza.
 
Mzee wa yai bado hujapevuka hadi leo?upo careful na grammar zaidi ya contents na mesage.

Hutokaa ujue wapi hata mtu asiyejua lugha yoyote bado anakuona kilaza.
Mkuu conveyance ya message ni nusu ya kujenga hoja yenye maana.
Sisi tuliosoma nguini tunapata taabu sana na uvilaza wenu.

By the way bado weye ni kigogo kile chama cha magaidi?
 
Mkuu conveyance ya message ni nusu ya kujenga hoja yenye maana.
Sisi tuliosoma nguini tunapata taabu sana na uvilaza wenu.

By the way bado weye ni kigogo kile chama cha magaidi?

umesoma wapi acha utoto
 
M 23 i think una matatizo wewe si bure maana hata kusoma fasihi mvivu unatumai maneno ya mitaani.
 
Chadema ni shaghala baghala. Ndio maana imedhihirika kuwa hawana uwezo wa kuongoza dola.

Shaghala baghala wewe na magamba wenzio. Mnafanya mambo yenu kama wendawazimu mnavyojitahidi kujinasua kutokana na tuhuma zinazowakabili. Mmeishiwa sera sasa hivi mmebaki magaidi mkijaribu kuwaua wote wanaowakosoa na kuwabambikizia kesi wasiohusika. Ila Mungu si mnafiki kila mnayoyapanga gizani anayafichua mchana kweupe!
 
chadema ni shaghala baghala. Ndio maana imedhihirika kuwa hawana uwezo wa kuongoza dola.

ili ulithibitisha na nani??? Si ukaage kimya tu kama huna kitu??alafu wahi kujiandikiasha walioishia la 7 mmepewa ofa ya kwenda chuo kikuu
 
habari zenu wana jamii forum,MODS,naomba uzi huu usiunganiswe sababu ni mwendelezo.

Kuibuliwa kwa vidio inayo muonesha kiongozi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrsia na maendekeo bw, W,RWAKATALE imeonesha kuwa chadema hawaheshimiani kiuongozi kutoka juu kwanda chini kimuundo kila mtu ni msemaji wa chama tena kwa matamko yanayotofautiana na vikao vya kamati zinazo undwa ndani ya chama,
chadema wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa baberi miaka mingi kabla ya kristo.

wakristo wanafahamu zaidi kuhusu habari za mji wa baberi na wajenzi wake,habari hii hupatikana ktk biblia kwenye agano la kale mwanzo 11'4 na kuendelea,wajenzi wa baberi walijiamini sana kuwa wako zaidi ya watu wote na kufikia batua kudhani wanalingana na MUNGU,

wajanzi hao nawafananisha naviongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema,kwani wajenzi wale baada ya kujiona wanaendelea vizuri walikufuru na Mungua aliamua kila mmoja kuzungumza lugha yake,nimefikiria hivi baada ya viongozi wa chadema kila mmoja akitolea tamko suala la ugaidi linalowakabili na kuonekana wameshindwa kujinasua, nifafanua:

Dr,w.peter slaa. alikuwa wa kwanza kutoa tamko akiwa ameongozana na viongozi wa makao makuu ya cdm,akatolea tamko nakubainisha kuwa vidio ile siyo harisi na kijana LUDOVICK JOSEPH RWEZAULA anayeshikiliwa pamoja na rwakatale siyo wa chadema jambo lililotoa hisia kali kwa wanamfahamu kuwa anafanya kazi makao makuu na nimmoja ya waasisi wa tawi la cdm pale duse,rejea ufafanuzi wa mwampamba,slaa akabainisha kuwa wao wanausalama wao uliomakini zaidi ya ule wa taifa na hawaogopi chochote

Tundu m lissu, akitofautiana na boss wake slaa Lissu alikubali kuwa vidio ile ni kweli huku akisema watapambana mahakamani na kukili kuwa ludo ni mwana chadema,Lisu aliwataka wanachadema wawe watulivu kuwa watajitahidi kumnasua rwakatale huku akisisitiza kuwa wakomakini ,huku akishindwa kusema lolote kuhusu LUDO ambaye ni mtuhumiwa numberi mbili.

Tumain makene ,
afisa habari wa cdm kama anavyo jitambulisha na yeye, hakuwa kando kwa hili,alitoa taarifa humu ndani kuwa chama kimepanga kumtetea rwakatale hadi mwisho na kuwaomba wanacdm kuwaunga mkono na kuheshimu maazimio ya kamati huku akimtaja lisu kuwa msemaji wa suala hili na kukanusha kile ambacho zzk kutaka kifanyike kupita barua yake kwa slaa iliyovuja na kutufikia humu jf.

Zitto Zuber Kabwe. naibu katibu mkuu cdm ,baada ya kuombwa na wana jf muda mfupi tangu barua yake kwenda kwa slaa kuvuja ,alikuja na kusema ni kweli wazo lake ni kuwa cdm iunde kamati kuchunguza mchango rwakatale ktk hii kadhia na kuonesha kuwa yuko tofauti na maagizo ya kamati kuu ambayo yeye ni mjumbe naalipaswa kulipeleka suala hili kwenye kamati,zitto lidai kuwa ndani ya cdm kuna kirusi ambacho lazima kiondolewe ilichama kibaki salama bila kukitaja hicho kirusi

Freeman A Mbowe, m/kiti wa chama akichagia mchango wake bungeni naye hakukaa kimya wala kuheshimu mamlaka za chini zilizowekwa kwa sheria za cdm na wala kuheshimu kanuni za bunge zinazo kataza kuzungumza jambo,lililopo mahakamani akasema namnukuu''kama mtu anawasiliana na gaidi na yeye ni gaidi akamatwe'' huku akiasahau kuwa na yeye aliwahi kuwasiliana na rwakatare ambaye ni mtuhumiwa namber moja wa ugaidi.
Maneno ya mbowe yalizusha sinto fahamu hasa kesho yake alipojibiwa na mwigulu

Mabere Nyaucho marando ,kada wa cdm,wakili,mfanya kazi wa tiss''huwa hakuna kuacha labda kifo''yeye amekwenda mbali zaidi na kutoa tamko la chama jpili iliyopita huku dunia ikijua kuwa msemaji wa kesi ni lissu,msemaji huyu akawataja wanzake wa tiss kuwa wanahujumu cdm hasa Jack zoka kiongozi wake kuwa anawatumia baadhi ya wana cdm kuhujumu chama na kusahau yake eliyoyafanya akiwa nccr Maguzi na kuihujumu kabla hayaja mtokea puani na kukimbia

MASWALI YA KUJADILI'

1.Kwa nini ofisi ya msemaji wa chama haiheshimiwi?
a,mnyika yupo busy sana?
b.tumaini makene hana sauti kama mnyika hayupo?.
2.kwa nini zitto amundikie baru dk slaa,wakati?
a,wako ofisi moja?
b,walikuwa wote kenye kikao?
c,zitto husema mara kwa mara kuwa hakuna tatizo kati yao?
3.jambo hili hawa kukubaliana kwa kauli moja kikaoni ?
kuhusu nini kifanyike?
4.kama wanavurugana mapema hivi tukiwapa nchi ,itakuwaje?
5.kama zitto na slaa bado wanamatizo kwa nini wasikae pamoja wakamaliza?
6.je ni kweli zitto hajui hicho kirusi ni kipi?
7.chadema wanamuamini vipi marando kutokana na historia yaketujadili pamoja.?
8.kwa nini mbowe alipewa cheo cha kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani huku akiwa hana uzoefu na utata wa elimu yake?
9.nani awafunde viongozi wa chadema?
10.je suala hili ni kete ya mwisho ya kuiua chadema?
TUJADILI......

1. Ule mji unaitwa Babeli na siyo Baberi. 2. Hakuna mahali Katika Biblia panaponesha wale watu walotaka kufanana na Mungu. Wao walitaka kwenda kumwona Mungu. 3. Jenga hoja zako bila kupotosha ukweli wa Biblia.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkuu hao ni vijana wa lwakatare inaelekea somo wanalolielewa ni notes zake tu za ugaidi.

Sijui? Mnara wa Babeli si zaidi ya jengo? mara nyingi inatafusiriwa ni upeo wa kiumbe binadamu kuongezeka na kutaka kumchallenge muumba. Sasa CCM ni binadamu ana nini cha kuvuruga lugha za watu maana jengo litabaki na kudondoka kwa kukosa wajenzi wasioelewana Lugha.
 
Ubovu wa cdm unaweza kuona wazi kwa machadema waliopo hapa JF....
 
Back
Top Bottom