Kweli wewe hamnazo. Huko kwenu ndipo mnawategemea watu binafsi ili chama kiendelee kuwepo kwani bila wao cuf haitakuwepo.
Prof. Lipumba amegombea uraisi mwaka 1995, 2000, 2005, 2010 na anagombea tena 2015!
Alsultani Maalim Seif amegombea uraisi Zanzibar mwaka 1995, 2000, 2005, 2010 na anagombea tena 2015!
Kama kweli cuf ina hazina ya wasomi imekuwaje Lipumba na Maalim Seif wamekuwa wagombea wa kudumu wa cuf?
Lipumba na Maalim Seif wamekuwa viongozi wa kudumu wa cuf, hiyo hazina ya wasomi waliobobea iko wapi?