Mtatiro alikuwa anawasuta CDM ambao wanasema wasichokiamini.
Wanasema maandamano ni ya wapinzani lakini yakiisha wanaiita CUF CCM B. Hicho ndicho ambacho CUF hawakitaki. Ni ujuha kukubali kutumika!
Kwa hiyo CUF sio mdau wa CCM? Maalim Sefu anafanya nini serikalini? Anafanya upinzani?
Alikuwa anamwingiza Seif na CUF yake choo cha kike, hawatoki humo.Kumbuka kwamba Mbowe ni miongoni mwa walioshiriki katika kutafuta Serikali ya Umoja ZNZ. Vipi na yeye? Au alikuwa hajuwi alilokuwa akilitenda?
Alikuwa anamwingiza Seif na CUF yake choo cha kike, hawatoki humo.
Cuf na ccm ni sawa! Cuf si chama cha upinzani.
Hai kwa mwenyekiti taifaHivi CCM inaelekea wapi??
Kumbuka kwamba Mbowe ni miongoni mwa walioshiriki katika kutafuta Serikali ya Umoja ZNZ. Vipi na yeye? Au alikuwa hajuwi alilokuwa akilitenda?
Alikuwa anamwingiza Seif na CUF yake choo cha kike, hawatoki humo.
Kwahiyo unataka kutuambia kwamba cuf inafanya mambo yake kwa kufuata maelekezo ya Mbowe ama ulitaka kusemaje?
Kwenye hayo majadiliano ninyi cuf mlikuwa mmeazimisha vichwa vyenu hata msiju zuri ni lipi na baya ni lipi? Subirini kesho muione nguvu ya umma. Endeleeni na fungate yenu na magamba muda si mrefu mtakuja kutulilia.
Chezea chadema wewe?kesho watu kama upepo.
mtatiro yupo sahihi kabisa kama hoja ni ubinafsi chadema ndio walioanza kuwabagua wapinzani pale walipo unda kambi bila kuwashirikisha,kama hoja ni uccm b,chadema ndio yenye ushahidi usio na shaka kua na katibu mkuu ndumila kuwili mara ccm mara cdm.mbona mnakua kama vile mnaishi nchi ya giningi?mnawabedha waislam lkn huwezi shinda bila kuungwa mkono na waislam.hakiiiiiiiiiiii,..........
CUF ina ngome gani Tanzania bara wakati haina hata mbunge mmoja?