CHADEMA wamtolea uvivu Gwajima

CHADEMA wamtolea uvivu Gwajima

Pepo mchafu yupo kweli na ndiye unaye mfuata
Mi nashauri kwa Sasa uongozi wa juu wa chadema ungetafuta mchungaji mmoja wanao muamini awaombee inaweza kusaidia manake Hali ilivyo sio shwari kabisa Ni shaghala baghala unaweza sema wamekumbwa na mapepo machafu [emoji23][emoji1787][emoji2960]

In God we Trust
 
Hawatoweza hao, wajue kuwa usukuma usiwe chanzo cha kutugawa
gwajima na makonda na musiba ni waratibu wa kundi la kikabila la magufuli alilotangaza gwajima......
Kuna mengi yanakuja km tusipochukua hatua stahiki

In God we Trust
 
Sijui ni kwanini mpaka leo hamjajua au hamjashtuka pia kujua kuwa Askofu Gwajima rasmi ni New Version ya Cyprian Musiba.
 
Pepo mchafu yupo kweli na ndiye unaye mfuata

In God we Trust
Angalia tu hii tabia waliyo kuwa nayo saivi mambo wanayo yaongea wanayo yafanya watu wa dini wanasema ni tabia za watu waliokumbwa na mapepo machafu isije kuwa gwajima kaona kwa jicho la kiroho ndio maana akasema wana mapepo ushauri wangu wafanye hima kuombewa kabla mambo hayaja haribika
 
Askofu Gwajima kaomba kibali kwa PM, anakwenda kumaliza tatizo la Corona kwa kuponyesha wagonjwa wote mahospitalini waliolazwa kwa Corona.
Uaskofu alimpa nani? self proclaimed Bishop! 99.999% ya watanzania ni majuha! Jitu jizi majitu yapo yanashangilia!
Athubutu aende, kwani kibali cha nini? kwani anakatazwa kwenda? Litakufa kama wenzake na afadhali liende tumalize kelele mitaani!
 
Duh...!.
P
 
Duh...!.
P
It is a pity kuwa watanzania Nyerere alituloga akamaliza! Bado, mtu mwanadamu mwenzako anajifanya katumwa na Mungu?? majitu yanaamini. Is there a necessity kuwa Mungu lazima apitie kwa watu ku impart his wishes on humans? wezi hawa?
Lijaribu liende liwaguse na kuwawekea mikono, ... Unapoona mtu mzima kajificha siku 48?? hakuna mchezo na vieuses, jaribu uone moto wa RIP!
 
Wakati akimtukana Makonda,alikuwa nabii mtakatifu. Leo hata uaskofu hamuuamini!!!
Kweli Mbowe kawaachia akili za kuvukia barabara tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is a pity kuwa watanzania Nyerere alituloga akamaliza! Bado, mtu mwanadamu mwenzako anajifanya katumwa na Mungu?? majitu yanaamini. Is there a necessity kuwa Mungu lazima apitie kwa watu ku impart his wishes on humans? wezi hawa?
Lijaribu liende liwaguse na kuwawekea mikono, ... Unapoona mtu mzima kajificha siku 48?? hakuna mchezo na vieuses, jaribu uone moto wa RIP!
Maadam kaomba kibali, let's give him benefits of doubts, usimseme vibaya mtu wa Mungu, hata mimi mwanzo nilimtilia mashaka mtumishi huyu wa Mungu lakini kwenye hili la Corona, naunga mkono apewe kibali atende miujiza watu tushuhudie..
P
 
Duh...!.
Kama hata Kamati tendaji ya tawi tuu inaweza kulaani, then Chadema kila mtu ni kambale ana sharubu.

Askofu Gwajima kaomba kibali kwa PM, anakwenda kumaliza tatizo la Corona kwa kuponyesha wagonjwa wote mahospitalini waliolazwa kwa Corona.

Askofu Gwajima Atoa Kali, Aomba Kibali Serikalini Kuponya Wagonjwa wa Corona Mahospitalini, kwa Kutumia Miujiza ya Nguvu za Mungu!. - JamiiForums
P
Ni kama watu wa somangila Walivyosema Hayo ndio aliyafanya KIBWETERE na Hakika watu Walikufa, na MUNGU muumbaji alishaonya na Kuacha Watu wakaangamia kwa ku kosa Maarifa, Hosea 4:6
Mpendwa Paschal Ukikosa maarifa MUNGU hashughuliki na wewe utaangamia bila msaada,yalishatokea na tukashuhudia kushabikia ujinga pia ni Kukosa MAARIFA.
Ushauri:-
Viongozi wa dini waache kuhadaa Waumini wao kwa kutaka SADAKA zao, Baadhi ya dini zimekuwa na VIBWEKA vinvyogharimu Maisha ya waumini Kijinga kabisa. Aliwahi kuibuka BABU akashangaza Dunia kwa kurundika Watu eti anatibu Ukimwi mpaka leo hakuna ushahidi wa mtu hata mmoja aliyepona na Ukimwi upo na unaua kila siku, Huyo Ghwajima mbona kashindwa kuweka uzio wa moto v/s ukimwi aje kuiweza CORONA?,
HITIMISHO;-
Tuwe makini na wachungaji /Viongozi wa Dini UCHWARA.
 
Watafyekwa.. Mitimingi badala ya kutulia nyumbani anajifanya Kifaru, akafyekwa! Naye aende aone moto!
1589160640758.png
 
I hate you
Pole sana, hate ni ugonjwa mbaya sana utakusababishia kijeba cha roho, you may wish me dead ila kila ukiniona naendelea ku survive, utaumia roho, hivyo the best way kwao ni just ignore me, wish as if I don't exist, ukibonyeza ignore button huwezi tena kuona mabandiko yangu wala posts zangu. Uwe na amani na ubarikiwe sana.
P
 
You

You're respected and trusted but you do not deserve. !!
 
Back
Top Bottom