CHADEMA wamtolea uvivu Gwajima

CHADEMA wamtolea uvivu Gwajima

Chadema wapigweeee!!! Huyo ni Gwajima, ndio Maana Kwa sasa Chadema wameishiwa busala, wanaamua maamzi ya kitoto mengi
Ukiona mwenye nyumba anahama kwake kwa kuogopa maradhi ya wanawe jua kuna walakini

In God we Trust
 
Huyu mtumishi wa bwana amekengeuka, tumwombee!!

Badala ya kwenda kuwaombea wagonjwa wa Corona mahospitani ambao wapo hoi yeye amekaa kanisani kwake akifanya siasa na kukusanya hela wa watanzania maskini.

Huyu anahitaji maombi..!!
 
Ukiona mwenye nyumba anahama kwake kwa kuogopa maradhi ya wanawe jua kuna walakini

In God we Trust
Mkuu, uliwaskia wabunge walivyomjibu makonda alivyotaka kuwanyanyasa!!

Walisema.. Kwa mjibu wa katiba ya Tanzania, mtu yeyote anaruhusiwa kukaa mahali popote bila kubughudhiwa ili mradi havinji katiba ya nchi,

Kwa sababu hiyo, nakukaribisha kwetu mkuu, uje tulime vitunguu na peasi, usjali, hata Magufuli naye Hana kosa Kwa mjibu wa katiba
 
Hakuna sehemu nimemtaja Magufuli na kama kulima hiyo mimi ndiyo kazi yangu.

Karibu sana hapa kwetu Kakonko tusaidiane kupukuchua mahindi
Mkuu, uliwaskia wabunge walivyomjibu makonda alivyotaka kuwanyanyasa!!

Walisema.. Kwa mjibu wa katiba ya Tanzania, mtu yeyote anaruhusiwa kukaa mahali popote bila kubughudhiwa ili mradi havinji katiba ya nchi,

Kwa sababu hiyo, nakukaribisha kwetu mkuu, uje tulime vitunguu na peasi, usjali, hata Magufuli naye Hana kosa Kwa mjibu wa katiba

In God we Trust
 
Na huyo akienda huko hospital basi tutasikia ya kuyasikia
Huyu mtumishi wa bwana amekengeuka, tumwombee!!

Badala ya kwenda kuwaombea wagonjwa wa Corona mahospitani ambao wapo hoi yeye amekaa kanisani kwake akifanya siasa na kukusanya hela wa watanzania maskini.

Huyu anahitaji maombi..!!

In God we Trust
 
.
20200510_085016.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maadam kaomba kibali, let's give him benefits of doubts, usimseme vibaya mtu wa Mungu, hata mimi mwanzo nilimtilia mashaka mtumishi huyu wa Mungu lakini kwenye hili la Corona, naunga mkono apewe kibali atende miujiza watu tushuhudie..
P
Unawezaje kumwamini mtu aliyesema ugonjwa hautaingia Tz, akafunga na kuomba 3 kavu, na bado ugonjwa ukaingia.

Akasema Kenya ina wagonjwa wengi kuliko Tz, now we are leading the race.

Na alivyo mjanja hataki mjadala kwenye hayo, anataka apewe ruhusa kuombea wagonjwa.

Nani huwa anampa ruhusa kuombea wagonjwa kanisani kwake. Kwanini asitoe mwaliko kwa wagonjwa wa Covid-19 waende kanisani kwake akawaombee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwajima mtu wake ni lowasa, sasa lowasa karudi ccm hivyo na yeye hana budi kumfuata, ndio maana toka lowasa aondoke cdm uelekeo ya mashambulizi umegeukia upande mwingine, na hili sio kwa gwajima tu, ni wengi sana, kama ukichunguza kwa makini utaona wanaanza kuishambulia cdm tofauti na hapo awali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Gwajima hana msimamo ukimfuata anaweza kukuacha njiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh...!.
Kama hata Kamati tendaji ya tawi tuu inaweza kulaani, then Chadema kila mtu ni kambale ana sharubu.

Askofu Gwajima kaomba kibali kwa PM, anakwenda kumaliza tatizo la Corona kwa kuponyesha wagonjwa wote mahospitalini waliolazwa kwa Corona.

Askofu Gwajima Atoa Kali, Aomba Kibali Serikalini Kuponya Wagonjwa wa Corona Mahospitalini, kwa Kutumia Miujiza ya Nguvu za Mungu!. - JamiiForums
P
Nadhani Gwajima anapaswa ajibiwe na kamati ya tawi. Hana quality ya kujibiwa na viongozi wa wilaya wala mkoa. Huyu ndiye aliyedai anafufua watu? Huyu ni shida tupu.
 
Uaskofu alimpa nani? self proclaimed Bishop! 99.999% ya watanzania ni majuha! Jitu jizi majitu yapo yanashangilia!
Athubutu aende, kwani kibali cha nini? kwani anakatazwa kwenda? Litakufa kama wenzake na afadhali liende tumalize kelele mitaani!
Lilipokuwa linamtukana Makonda ulikuwa unawahi siti ya mbele kanisani kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is a pity kuwa watanzania Nyerere alituloga akamaliza! Bado, mtu mwanadamu mwenzako anajifanya katumwa na Mungu?? majitu yanaamini. Is there a necessity kuwa Mungu lazima apitie kwa watu ku impart his wishes on humans? wezi hawa?
Lijaribu liende liwaguse na kuwawekea mikono, ... Unapoona mtu mzima kajificha siku 48?? hakuna mchezo na vieuses, jaribu uone moto wa RIP!
Hivi wewe unamtukana nani? Unafikiri coment zako kipindi cha sakata lake na Makonda hatuzikumbuki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom