Nafikili wakati umefika ,mnaojiita watumishi Wa mungu hasa upande Wa kikristu fanyeni mambo yenu mambo ya cheza na covid mara eti mpewe PPE mkawaone wagonjwa achana nayo izo ni mbwembwe au mambo ya siasa kaa nayo mbali .
Mfano tumekua na wachungaji kila siku wimbo ni mafuta ya upako,mara sabuni mara vitambaa kwamba huondoa magonjwa,mbona kwenye janga hili atuwaoni?Mungu sio wa mchezo Naona pamoja na janga ili lakini amejidhihilisha kwetu kwamba ndiye mwanzo na mwisho na watumishi wake hapa duniani hawapo ambao amewapa kibali buli tu wapo wale watumiao jina lake kutafuta ukwasi na kama wapo basi ni wale wachache ambao hata katika masikio yetu hatuwasikii.
Ngoja covid ikiisha tuone mtakuja na lipi na niwakati binadam sasa kukaa na kumlilia mungu kwa imani zetu na sio kumtegemea mwanadam