CHADEMA wamtolea uvivu Gwajima

CHADEMA wamtolea uvivu Gwajima

Kwa maombi au vipi.

Hebu ikiwa haimpati mwambie asichukue tahadhari/asijilinde au akae na mwenye nayo.

Lakin kusema hainipati kwasababu yupo mbali nayo asijidanganye na uwezo huwo hana hana na hatakuwa nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Itampataje akitoka kanisani anaoga mwili. mzima na sabini, halafu anasukutua maji fukuto ya chumvi, anajifukiza mwisho anakunywa chai ya Tangawizi na limao akitoka hapo anahubiri haogopi Corona ati haimpati [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh...!.
Kama hata Kamati tendaji ya tawi tuu inaweza kulaani, then Chadema kila mtu ni kambale ana sharubu.

Askofu Gwajima kaomba kibali kwa PM, anakwenda kumaliza tatizo la Corona kwa kuponyesha wagonjwa wote mahospitalini waliolazwa kwa Corona.

Askofu Gwajima Atoa Kali, Aomba Kibali Serikalini Kuponya Wagonjwa wa Corona Mahospitalini, kwa Kutumia Miujiza ya Nguvu za Mungu!. - JamiiForums
P
Paskal, Kama una kumbukumbu nzuri, na naamini unazo, Kanisa la Gwajima lilipata umaarufu sana kwa kujinadi kuwa anafufua wafu hivyo watu kumiminika kanisani kwake wakitegemea simu moja wapendwa wao waliofariki watafufuliwa na Gwajima.
Unakumbuka pia jinsi alivyotamba kuwa angemfufua Amina Chifupa watu wakawa wanajaa kanisani Jumapili baada ya Jumapili kuona Amina kipenzi cha wengi anavyofufuliwa. Hakuweza. Alipoulizwa baadaye ni kwanini hakuweza kumfufua Amina akadai aidha familia au yeye mwenyewe marehemu alikataa.
Leo Gwajima huyu huyu ambaye alishafanya maigizo ya kufufua watu kwenye you tube anataka kuponya watu wa corona.
Kwani kuombea wagonjwa ni lazima aende huko waliko au hata pale kanisani kwake maombi yatafanya kazi? Kama pale kanisani akiomba maombi yatafanya kazi anahitaji kibali cha Waziri Mkuu cha nini?
Nasikitika kusema lakini nitakuwa wa mwisho kuamini kama Gwajima ni Mtumishi wa Mungu !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la siasa za maji machafu ndio Hilo kwani Chadema mnapambana na Gwajima au CCM. Chama kinayumba
Kumbuka 2015 Gwajima na Chadema mulikua marafiki na akawapa mileage kubwa tu.
Chadema kwasasa haija panda hoja kwa wanachama wake hivyo wanarukiarukia vihoja vya mitandaoni ambavyo havikijengi chama Ila vinakidumaza Chama.
 
Maisha yanakimbia, wakati Gwajima anashinda NECTA kutafuta vyeti vya Bashite Chadema kuanzia Mbowe hadi Yericko kila jumapili walikuwa wanawahi siti za mbele
😂😂😂😂 Teh teh teh...!!..siasa hizi..haaa haaa teh teh 🤣🤣 🤣.

Dah!..nimecheka sana kusema kweli..😃😃😃
 
Maisha yanakimbia, wakati Gwajima anashinda NECTA kutafuta vyeti vya Bashite Chadema kuanzia Mbowe hadi Yericko kila jumapili walikuwa wanawahi siti za mbele
Hivi wewe utaishi katika kutukuza historia mpaka lini bila kuhukumu present issues?
Kila siku upo unamsifia Bashite humu, jee siku ukisikia kambaka mama yako na kumuambukiza ukimwi hutamlaumu na kutaja ujinga huo kwa sababu awali ulimsifu?
Samahani kwa kutoa mfano mzito lakini nadhani ndio njia nyepesi ya wewe kuzinduka haraka na kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe utaishi katika kutukuza historia mpaka lini bila kuhukumu present issues?
Kila siku upo unamsifia Bashite humu, jee siku ukisikia kambaka mama yako na kumuambukiza ukimwi hutamlaumu na kutaja ujinga huo kwa sababu awali ulimsifu?
Samahani kwa kutoa mfano mzito lakini nadhani ndio njia nyepesi ya wewe kuzinduka haraka na kuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuseme akimbaka baba yako utampeleka mahakamani au utapotezea?
 
Nikikumbuka wkt Gwajima anashangiliwa humu akiwa na ugomvi na Makonda haaaa haaaa kweli binadamu hatari sana! Ilikuwa mpaka watu wanapanga jpili flani wataenda kusali kwa Gwajima washangilie akimpolomoshea matusi Makonda Leo naona iko upande wao sasa!

Wale tusio na upande wa kushangilia tunawaangalia tu!

Sent using kidole gumba
Huelewi nini? Wakati ule ndio maana alikuwa hata akikamatwa na kupelekwa central Jiwe alitamani awe IGP ili wale wanaoimba kumfuata wakione cha moto.
Lakini sasa hivi baada ya kugeuka na kuwa mpuuzi anaalikwa Ikulu na kuliombea taifa. Hujashtuka tuu kwa hizo changes?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni Washamba sana. Walivyokutwa na tuhuma za kuuza madawa ya kulevya wallenda kwa Gwajima ili awasaidie kumtoa Paul Makonda kwenye reli ili asije akamuumbua Mbowe.
Saizi eti Mbowe anajifanya kwenda kukakusanya kakikundi kamsaidie kujibu badala ya Chadema. Kweli nimeamini Chadema imejifila kisiasa. Kwa Chadema ninayoijua isingeogopa hivyo.
RIP Chadema.
kwa namna ulivyokuwa mtu muungwana nina amini kuna neno ulitaka kuaandika IMEJIFIA KISIASA ila bahati mbaya imetokea.
 
Duh...!.
Kama hata Kamati tendaji ya tawi tuu inaweza kulaani, then Chadema kila mtu ni kambale ana sharubu.

Askofu Gwajima kaomba kibali kwa PM, anakwenda kumaliza tatizo la Corona kwa kuponyesha wagonjwa wote mahospitalini waliolazwa kwa Corona.

Askofu Gwajima Atoa Kali, Aomba Kibali Serikalini Kuponya Wagonjwa wa Corona Mahospitalini, kwa Kutumia Miujiza ya Nguvu za Mungu!. - JamiiForums
P

Pascal, nadhani unajua iwapo malaria au ukimwi haujakemewa na watu wanaugua, tusimjaribu mungu kwa ujinga wetu. Wewe ni msomi ila tukuombe ulijenga heshima kubwa kwa kusimamia ukweli, simamia, acha kuingiza watu hadaa za gwajima eti ameomba kibali kwa PM, kwani pm MUNGU, hahitaji kwenda walipo wagonjwa anahitaji kutuma maombi MUNGU ALIPO basi
 
Tupo tayari kuchangia ubani maana hawa kina Gwajima wanajipa mamlaka wasiyo stahili

In God we Trust

Hivi Reverend Getrude Lwakatare(rip) na Askofu Mitimingi(rip) walikuwa hawaombei watu wenye Covid-19?
Mungu hadhihakiwi.......Askofu Gwajima must be very very careful on the Covid-19 issue! Otherwise..
I
 
Kamati tendaji viongozi wa matawi wanachama wapenzi na mashabiki wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya Somangila

Kwa pamoja tunalaani kitendo cha mchungaji Gwajima cha kuwashambulia viongozi wa CHADEMA katika madhabahu ya kanisa lake la ufufuo na uzima Jumapili iliyopita!

Aidha tunapenda kumjulisha Gwajima kwamba viongozi wetu wa CHADEMA wanamwamini Mungu na kumtumaini pia!
Pamoja na hayo viongozi wetu hawana desturi ya kuangamizwa kisa kukosa maarifa!

CHADEMA tunaamini kwamba kama tunaweza kulala katika vyandarua vyenye dawa ili kujilinda na malaria vivyo hivyo kuna haja ya kujikinga na vyanzo vya corona! Kama malaria haizungushiwi uzio wa moto kadhalika na corona haitazungushiwa!

Viongozi wa CHADEMA kwakujua umhimu wa kuchukua tahadhari walipendekeza wabunge wote wapimwe corona lakini hakuna utekelezaji uliofanyika kisa chuki binafsi dhidi ya upinzani hususani CHADEMA!

Mchungaji Gwajima wewe kinacho kukera ni kukosa moyo wa huruma kwa watanzania ambao wako wanakufa kwa corona nanyi mkisingizia mapenzi ya Mungu!

Uliposikia kwamba makanisa yafungwe kwa muda wewe akili yako ikawazia sadaka na mafungu ya kumi kuliko uhai wa waumini wake!

Dhana ya Gwajima ya kuwahadaa waumini wake kwamba amewazungushia uzio wa moto ili wasipatwe na corona nyumayake kuna roho ya Kibwetele!

Sisi kama CHADEMA kata ya Somangila tunamtaka Gwajima azungushie uzio huo wa moto katika shule na vyuo ili watoto wetu waendelee na masomo!

Aidha CHADEMA kata ya Somangila tuna mashaka na uchungaji wa Gwajima kwamba maana hata kauli mbiuyake ya WAPIGWE EE! Sio ya kichungaji!

Mbaya zaidi ni kwamba inashabihiana na matamko ya viongozi wa serikali ya chama cha Mapinduzi kuliagiza jeshi la polisi kuwapiga wapinzani hususani CHADEMA [emoji3577]

Gwajima tangu watanzania walipo anza kupotea kutekwa kupigwa risasi kupewa kesi kuzuia shughuli halali za kisiasa ikiwa ni pamoja na mikutano mbona hukusimama na kukemea wakati unajua kabisa kwamba hiyo ni dhuluma??
Hakika Gwajima wewe ni mchungaji wa mshahara kondoo unawakamua lakini hujali maisha yao dhidi ya corona! Yoh 10:12

Mwisho kabisa CHADEMA [emoji3577] kata ya Somangila tuna wasihi waumini wa kanisa la ufufuo na uzima mwe macho corona ipo na ina ua chukueni hadhari hakuna uzio wa moto mlio zungushiwa mtakufa kizembe kwa kukosa maarifa!

By Afisa habari Somangila

View attachment 1446180

In God we Trust
Nafikili wakati umefika ,mnaojiita watumishi Wa mungu hasa upande Wa kikristu fanyeni mambo yenu mambo ya cheza na covid mara eti mpewe PPE mkawaone wagonjwa achana nayo izo ni mbwembwe au mambo ya siasa kaa nayo mbali .
Mfano tumekua na wachungaji kila siku wimbo ni mafuta ya upako,mara sabuni mara vitambaa kwamba huondoa magonjwa,mbona kwenye janga hili atuwaoni?Mungu sio wa mchezo Naona pamoja na janga ili lakini amejidhihilisha kwetu kwamba ndiye mwanzo na mwisho na watumishi wake hapa duniani hawapo ambao amewapa kibali buli tu wapo wale watumiao jina lake kutafuta ukwasi na kama wapo basi ni wale wachache ambao hata katika masikio yetu hatuwasikii.
Ngoja covid ikiisha tuone mtakuja na lipi na niwakati binadam sasa kukaa na kumlilia mungu kwa imani zetu na sio kumtegemea mwanadam
 
Mnisaidie tu wadau, hivi wanaosali kwa gwajima wote ni wanachama wa CCM?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uanachama wa CCM una maana sawa na utaahira, kwa kiingereza zinaitwa synomyms yaani maneno mawili yanayoandikwa/tamkwa tofauti lakini yana maana sawa. Hivyo basi, wanaosali kwa Gwajima wote ni CCM/mataahira!
 
Back
Top Bottom