CHADEMA wamtolea uvivu Gwajima

CHADEMA wamtolea uvivu Gwajima

P.
Hata weye unadanganyika na Wachungaji uchwara? Hivi Gwajima unamwona Ni mtumishi wa Mungu kweli?
Mtu anayedanganya kuws anafufua watu ilhali HAKUNA Msukule yeyote aliyemfufua zaidi ya ulaghai m]upu!

Kama kweli Gwajima anaponya watu basi apelekewe Wagonjwa wa Covid-19 ili tuone Uwezo wake wa kuponya Corona.
Akithubutu kwenda kwenye hiyo ward akafanya mbwembwe zake baada ya wiki tutaimba nyimbo za mpeleke mpeleeke

In God we Trust
 
Kweli wakati ni mwalimu mzuri, nikikumbuka Gwajima anamshambulia Dk Slaa na Makonda humu ndani Gwajima alipewa majina makubwa, ila dk Slaa wakati ananangwa alisema waumini wake ndio watapima kuwa wanaongozwa na kiongozi wa aina gani,sasa kurudi kwenye rangi yake harisi, tulieni dawa imawaingie, kuna watu walio kuwa wakiumia wakati nyie mnashangilia. Mungu ibariki Tanzania
Hata pepo zipo za aina nyingi ikiwepo kusi na kaskazi

In God we Trust
 
Kweli wakati ni mwalimu mzuri, nikikumbuka Gwajima anamshambulia Dk Slaa na Makonda humu ndani Gwajima alipewa majina makubwa, ila dk Slaa wakati ananangwa alisema waumini wake ndio watapima kuwa wanaongozwa na kiongozi wa aina gani,sasa kurudi kwenye rangi yake harisi, tulieni dawa imawaingie, kuna watu walio kuwa wakiumia wakati nyie mnashangilia. Mungu ibariki Tanzania
Yaani naona ndiyo umeingia jioni hii na bus la Nyahunge ili umtetee Gwajima

In God we Trust
 
Gwajima ni kibaka kama vibaka wengine, tofauti tu ni kuwa yeye ana jukwaa la kufanyia ukibaka wake!!!
 
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Haya makanisa ya kiroho ni utapeli tupu. Nashangaa sana kuona watu wanatoa sadaka na kuwaamini hawa wachungaji.
Hongera sana mkuu msukuma

In God we Trust
 
Duh...!.
Kama hata Kamati tendaji ya tawi tuu inaweza kulaani, then Chadema kila mtu ni kambale ana sharubu.

Askofu Gwajima kaomba kibali kwa PM, anakwenda kumaliza tatizo la Corona kwa kuponyesha wagonjwa wote mahospitalini waliolazwa kwa Corona.

Askofu Gwajima Atoa Kali, Aomba Kibali Serikalini Kuponya Wagonjwa wa Corona Mahospitalini, kwa Kutumia Miujiza ya Nguvu za Mungu!. - JamiiForums
P
Katika Manabii wote na Mitume ni nani uliwahi kusikia ameomba kibali kwa serikali yoyote kuombea wagonjwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni Washamba sana. Walivyokutwa na tuhuma za kuuza madawa ya kulevya wallenda kwa Gwajima ili awasaidie kumtoa Paul Makonda kwenye reli ili asije akamuumbua Mbowe.
Saizi eti Mbowe anajifanya kwenda kukakusanya kakikundi kamsaidie kujibu badala ya Chadema. Kweli nimeamini Chadema imejifila kisiasa. Kwa Chadema ninayoijua isingeogopa hivyo.
RIP Chadema.
Nakazia rip
 
Kamati tendaji viongozi wa matawi wanachama wapenzi na mashabiki wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kata ya Somangila

Kwa pamoja tunalaani kitendo cha mchungaji Gwajima cha kuwashambulia viongozi wa CHADEMA katika madhabahu ya kanisa lake la ufufuo na uzima Jumapili iliyopita!

Aidha tunapenda kumjulisha Gwajima kwamba viongozi wetu wa CHADEMA wanamwamini Mungu na kumtumaini pia!
Pamoja na hayo viongozi wetu hawana desturi ya kuangamizwa kisa kukosa maarifa!

CHADEMA tunaamini kwamba kama tunaweza kulala katika vyandarua vyenye dawa ili kujilinda na malaria vivyo hivyo kuna haja ya kujikinga na vyanzo vya corona! Kama malaria haizungushiwi uzio wa moto kadhalika na corona haitazungushiwa!

Viongozi wa CHADEMA kwakujua umhimu wa kuchukua tahadhari walipendekeza wabunge wote wapimwe corona lakini hakuna utekelezaji uliofanyika kisa chuki binafsi dhidi ya upinzani hususani CHADEMA!

Mchungaji Gwajima wewe kinacho kukera ni kukosa moyo wa huruma kwa watanzania ambao wako wanakufa kwa corona nanyi mkisingizia mapenzi ya Mungu!

Uliposikia kwamba makanisa yafungwe kwa muda wewe akili yako ikawazia sadaka na mafungu ya kumi kuliko uhai wa waumini wake!

Dhana ya Gwajima ya kuwahadaa waumini wake kwamba amewazungushia uzio wa moto ili wasipatwe na corona nyumayake kuna roho ya Kibwetele!

Sisi kama CHADEMA kata ya Somangila tunamtaka Gwajima azungushie uzio huo wa moto katika shule na vyuo ili watoto wetu waendelee na masomo!

Aidha CHADEMA kata ya Somangila tuna mashaka na uchungaji wa Gwajima kwamba maana hata kauli mbiuyake ya WAPIGWE EE! Sio ya kichungaji!

Mbaya zaidi ni kwamba inashabihiana na matamko ya viongozi wa serikali ya chama cha Mapinduzi kuliagiza jeshi la polisi kuwapiga wapinzani hususani CHADEMA [emoji3577]

Gwajima tangu watanzania walipo anza kupotea kutekwa kupigwa risasi kupewa kesi kuzuia shughuli halali za kisiasa ikiwa ni pamoja na mikutano mbona hukusimama na kukemea wakati unajua kabisa kwamba hiyo ni dhuluma??
Hakika Gwajima wewe ni mchungaji wa mshahara kondoo unawakamua lakini hujali maisha yao dhidi ya corona! Yoh 10:12

Mwisho kabisa CHADEMA [emoji3577] kata ya Somangila tuna wasihi waumini wa kanisa la ufufuo na uzima mwe macho corona ipo na ina ua chukueni hadhari hakuna uzio wa moto mlio zungushiwa mtakufa kizembe kwa kukosa maarifa!

By Afisa habari Somangila

View attachment 1446180

In God we Trust
XI JINPIN once said,
''The only thing the blackman has inherited from Arab and European colonization is the religion that he practices and that's exactly what colonizers once wanted.
Notice that in black contries the education is a disaster, the administration is corrupt, health is deporable, but religion is doing wonderfully well.
Black people rebel against everything EXCEPT religion. They even think they are more religious than those who brought them these concepts and the Colonizers are not good christians.
Black people even claimed themselves to be the original race of which Jesus Christ has descended. This is how far black stupidity can go.
Notice that any society that is full with superstitions, religious indoctrination, lack of education and nationalism is always ridden with violence''
 
Duh...!.
Kama hata Kamati tendaji ya tawi tuu inaweza kulaani, then Chadema kila mtu ni kambale ana sharubu.

Askofu Gwajima kaomba kibali kwa PM, anakwenda kumaliza tatizo la Corona kwa kuponyesha wagonjwa wote mahospitalini waliolazwa kwa Corona.

Askofu Gwajima Atoa Kali, Aomba Kibali Serikalini Kuponya Wagonjwa wa Corona Mahospitalini, kwa Kutumia Miujiza ya Nguvu za Mungu!. - JamiiForums
P
Uncle Paskali wewe unaamini hiki kitu!! Mimi namuamini Mungu lakini simuamini binadamu kama gwajima kwakuwa hata injili anayoihubiri kwa sasa ina dalili zoe za ukabila, usiasa na kujikinai sana !! Na declare interest, mimi ni msukuma pure lakini sikubaliani na huyu mtu katika hili.
 
Kuna kiongozi alisha wahi kujiita kuwa yeye ni chizi

In God we Trust
Mi nashauri kwa Sasa uongozi wa juu wa chadema ungetafuta mchungaji mmoja wanao muamini awaombee inaweza kusaidia manake Hali ilivyo sio shwari kabisa Ni shaghala baghala unaweza sema wamekumbwa na mapepo machafu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
gwajima na makonda na musiba ni waratibu wa kundi la kikabila la magufuli alilotangaza gwajima......
Kuna mengi yanakuja km tusipochukua hatua stahiki
 
Back
Top Bottom