CHADEMA wamfungulia kesi Nape

CHADEMA wamfungulia kesi Nape

Sasa kuna sakata nyingi aiseeee Ulimboka,Ponda,Barlow

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hakika hili swala likiisha juu juu mimi ntakuwa wa kwanza kujitoa chadema na sababu ninazo.
 
mmmmh huo ulikua upepo tu na umeishapita,sasa hivi tunasoma report za kukinzana za mauaji ya Daudi Mwangosi(ambayo nayo upepo tu utapita)walau upepo kwa sasa unavuma kwa "kukojolewa quran"na uchomaji makanisa na mauaji ya barlo.
 
Wanajamvi
Nimeshindwa kuvumilia kimya kinachotawala naombeni wanachadema, watumishi wa mahakama na Wanaitelejensia wa JF Kunijulisha kulikoni Kesi ya Nape na Chadema kuhonga nchi zilizoendelea rasimali zetu ili kupata mabilioni tangu ifunguliwe na chama muda. Jamani kulikoni haiendelei kunani
Ahsanteni kutujuza
 
Nadhani ilipangiwa tarehe ya kusikilizwa baada ya kuahirishwa sasa sijui ni tarehe gani ilipangiwa.
 
hata mm nimejiuliza sana hili swali nahisi kama wote wanatuchezea
 
Kutokana na vyanzo vyangu vilivyopo Mahakama kuu ya Tanzania Leo Nape amefunguliwa kesi ya madai na imepewa namba 186 ya mwaka 2012.

Kesi hii ni kuhusiana na madai ya nnape kuwa CDM wana pokea pesa kutoka nje ya nchi.

Tuendelee kufuatilia

Updates.

Inaitwa civil case no.186 of 2012 ,board of registered trustees of chadema ... Plaintiff versus nnape nnauye defendant .

Kwa kawaida ya Nape huwa haongei vitu bila ushahidi, hii kesi cdm wenyewe wata withdraw kwani aibu watakayo kumbana nayo hawataaminika tena mbele ya watanzania, aibu ya cdm hii ndio yakaribia. Iko wazi cdm wanapokea fedha kutoka ujerumani kuibatiza nchi iwe ya wakristo
 
CHADEMA + CHRISTIAN DEMOCRATIC UNION=TUWAPE TANZANIA WAONGOZEE
HELL NO...!
HAPANA HAPANA NOOOO....!!
KWA HILI HAPANA,,BADO HATUJASHAWISHIKA,,
WOTE KWA PAMOJA TUNASEMA HAPANA,KUNA KITU KIMEJIFICHA HAPO
HAPANA HAPANA NOOO...!!
:nono: :nono: :nono:
 
Kwa kawaida ya Nape huwa haongei vitu bila ushahidi, hii kesi cdm wenyewe wata withdraw kwani aibu watakayo kumbana nayo hawataaminika tena mbele ya watanzania, aibu ya cdm hii ndio yakaribia. Iko wazi cdm wanapokea fedha kutoka ujerumani kuibatiza nchi iwe ya wakristo

UISLAM WAKO UNAKUPELEKA PABAYA. HIVI HAYA NI MAHUBIRI YA mTUME KWELI AU WEWE UMEUDANDIA UISLAM KAMA YULE BABA YAKO ALIYEDANDIA TRENI KWA MBELE?
 
Kwa kawaida ya Nape huwa haongei vitu bila ushahidi, hii kesi cdm wenyewe wata withdraw kwani aibu watakayo kumbana nayo hawataaminika tena mbele ya watanzania, aibu ya cdm hii ndio yakaribia. Iko wazi cdm wanapokea fedha kutoka ujerumani kuibatiza nchi iwe ya wakristo
Pepo mchafu na shetani mkubwa wa UDINI huyu tena anatoa masikio na meno mchongoko!! Shame!!
 
kesi gani chadema wanataka umaarufu tu! chadema wenyewe kupitia kwa dr,silaa alisema wanapokea misaada kutoka nje kwenye kipindi cha JE!TUTAFIKA? Alipoulizwa kwa nini wanafanya hivyo alichosema ni kwamba"Hata ccm si wanapokea?"
 
Prof safari na Zitto ondokeni huko.Hicho chama cha wakristo shauri lenu subirini mpaka wawavue nguo
 
cdm walitoa taarifa ya kumshtaki NAPE kwa madai ya kusema uongo kuwa cdm inafadhiliwa mabilion ya shs kutoka njee....sasa hadi leo kimya ...vipi au ndo ukweli umnafadhiliwa huku mkikusanya fedha zetu wananchi kwa kutuambia people power,,,
 
Eeeeenh eeeenh..........!!!!!!

mambo kama haya huwa hayahojiwi humu...............................subiri GUDBITE yako kutoka kwa wenye chao
 
Back
Top Bottom