itasikilizawa tena tarehe 27/11/2012
Chadema wanomba usuluhishi nje ya mahakama, Prof Safari na Marando ndio wanaoratibu zoezi , shame on you cdmhata mm nimejiuliza sana hili swali nahisi kama wote wanatuchezea
Chadema wanomba usuluhishi nje ya mahakama, Prof Safari na Marando ndio wanaoratibu zoezi , shame on you cdm
Kutokana na vyanzo vyangu vilivyopo Mahakama kuu ya Tanzania Leo Nape amefunguliwa kesi ya madai na imepewa namba 186 ya mwaka 2012.
Kesi hii ni kuhusiana na madai ya nnape kuwa CDM wana pokea pesa kutoka nje ya nchi.
Tuendelee kufuatilia
Updates.
Inaitwa civil case no.186 of 2012 ,board of registered trustees of chadema ... Plaintiff versus nnape nnauye defendant .

Kwa kawaida ya Nape huwa haongei vitu bila ushahidi, hii kesi cdm wenyewe wata withdraw kwani aibu watakayo kumbana nayo hawataaminika tena mbele ya watanzania, aibu ya cdm hii ndio yakaribia. Iko wazi cdm wanapokea fedha kutoka ujerumani kuibatiza nchi iwe ya wakristo
Pepo mchafu na shetani mkubwa wa UDINI huyu tena anatoa masikio na meno mchongoko!! Shame!!Kwa kawaida ya Nape huwa haongei vitu bila ushahidi, hii kesi cdm wenyewe wata withdraw kwani aibu watakayo kumbana nayo hawataaminika tena mbele ya watanzania, aibu ya cdm hii ndio yakaribia. Iko wazi cdm wanapokea fedha kutoka ujerumani kuibatiza nchi iwe ya wakristo