Mimi sioni umuhimu wa hii kesi, ni kuendekeza uhasama wa kijinga. CDM walipaswa wampuuze Nape baas! Huku ni kupotezeana Muda na raslimali fedha
Nape amezidi kuropoka,hii siyo mara ya kwanza kutoa tuhuma ambazo zinaweza sababisha nchi yetu kuingia ktk ugomvi na nchi marafiki. Na tatizo ni tuhuma za uwongo. Acha apelekwe mahakamani. Wenzake akina Sofia Simba na Membe wamewahi kutoa tuhuma za hovyo dhidi ya CDM lakini baadaye walizikana.