CHADEMA wakataza

jibu lako bado linaendeleza madai yako yale yale na hakuna sababu ya kuniandikia PM huku bado unanituhumu mambo ambayo umeshayatuhumu hadharani. Lolote unalojua kuhusu mimi nimekupa kibali cha kuweka hadharani sina cha kuhofia mkuu. Vinginevyo achana na madai yako ya kunichafua mimi. Sijawahi kusema lolote dhidi yako. Umetoa madai uliyoshindwa kuyatolea ushahidi na wakti umefika uniombe radhi ili tuendelee na hoja nyingine.

Huo ndio uungwana.
 
Duh! yaani leo kutwa nzima umeshinda ukipelekeshana na huyu jamaa....you must have been bored...
 
Nadhani unasinzia mimi ni dume la mbegu. kama LILIAN MTEI hatosheki niletee nimpe full dose atafurahi na macho yake kama mvuta bangi.
siende zaidi .... nitakutumia PM.

Heshima mbele wakuu,

Hivi mbona tunakubali kukaa na watu ambao hawana nidhamu humu ndani?

Mods hebu angalieni maneno ya huyu Chinga hapo juu,hivi kweli wakuu mtu wa rika tofauti wanopita humu ndani mnataka waamini hii ni forum ya wakora? Hivi mnataka tuonekane kama Mashada Forums ile ya wakenya ambayo imepoteza heshima yake kwa sababu ya kulea watu wahuni,mtu anatype kana kwamba muda huo alikua anapuliza bangi halafu maandishi tunayaacha hapo,mhusika tunamwuacha anapeta.

Anatukana members humu ndani hadi wanaacha kuchangia mada za maana wanaamua kudefend heshima yao.Mods please fanyeni liwezekanalo maanake huyu chinga mkifuatilia post zake karibia zote hajawahi kupost hoja wala kujibu hoja .anachochangia hapa ni matusi na kejeli amoja na kuvuruga mada tu.So there is no need of entertaining this guy kwani anaweza hata kufukuza wanachama ambo wanasoma hapa na hawajaiandikisha.pia members wa humu ndani wanaeza kutoroka.

Jamani ni bora huyu mtu awe msomaji tu ili asiweze kuposti matusi yake ikli turuhusu watu waposti hoja!

Nawsailisha!
 
mwkjj bora achana na huyu/hawa jamaa wanakupotezea muda la msingi jf inawajua wale walio wake na wale machui wanaojivisha ukondoo wanajulikana, but its important kuwa umeweka kwenye maandishi msimamo wako juu ya madai haya ili yaje tumika kama reference hapo mbeleni siku ya hukumu yao itakapofika, ila wamefanikiwa sana ku divert mjadala wa thread hii, next time tusiwaruhusu. Pole sana bro, ndo ukubwa huo, umeonyesha hekima sana katika kuwajibu, na for the record huyo aliyesema jf ni kama website nyingine, u got it all wrong!
 
Kana we ni mpenzi wa CHADEMA?

Sina mapenzi na chama chochote cha siasa, ila navutiwa sana na ujasiri na utendaji wa baadhi ya viongozi wa Chadema. Sababu kubwa ya kushindwa kwa CHADEMA 2010 itakuwa ni Mbowe, msilogwe mkamsimamisha kugombea uraisi! Kuna watu wengi ambao ni safi na wachapa kazi.
 
Sishangazwi na wewe mdau kukatazwa kutumia maneno haya. Tatizo letu wakati mwingine tunalalamikia kitu fulani kwa ajili ya manufaa yetu wenyewe. Chama na kama vilivyo vingine, vimekuwa ni mali ya watu (personal property)

Kuna kipindi chadema waliamua kutumia bendera ya TZ katika shughuli zao na pia jina la Mwl lakini ccm wakapinga, mwisho wa siku ni kwa sisi kutambua kuwa bado tunahitaji chama cha watanzania. Chama hiki kinaweza kuanzishwa na sisi sote

TANZANIA YENYE MAISHA BORA HAITAJENGWA NA WAO, NI SISI NDIO WAHUSIKA
 
Heshima mbele wakuu,

Hivi mbona tunakubali kukaa na watu ambao hawana nidhamu humu ndani?

Mods hebu angalieni maneno ya huyu Chinga hapo juu,hivi kweli wakuu mtu wa rika tofauti wanopita humu ndani mnataka waamini hii ni forum ya wakora? Hivi mnataka tuonekane kama Mashada Forums ile ya wakenya ambayo imepoteza heshima yake kwa sababu ya kulea watu wahuni,mtu anatype kana kwamba muda huo alikua anapuliza bangi halafu maandishi tunayaacha hapo,mhusika tunamwuacha anapeta.

Anatukana members humu ndani hadi wanaacha kuchangia mada za maana wanaamua kudefend heshima yao.Mods please fanyeni liwezekanalo maanake huyu chinga mkifuatilia post zake karibia zote hajawahi kupost hoja wala kujibu hoja .anachochangia hapa ni matusi na kejeli amoja na kuvuruga mada tu.So there is no need of entertaining this guy kwani anaweza hata kufukuza wanachama ambo wanasoma hapa na hawajaiandikisha.pia members wa humu ndani wanaeza kutoroka.

Jamani ni bora huyu mtu awe msomaji tu ili asiweze kuposti matusi yake ikli turuhusu watu waposti hoja!

Nawsailisha!

Watu kama hawa inabidi wafungiwe kabisaa bila kupewa nafasi ya kurudi. Ukisoma post za chinga=mswahili=mtalii utagundua kuwa wako hapa kuharibu na kuvuruga forums.

Halafu ni watu wa kulalamika sana kama vitoto vichanga. Huyu mzee kifimbo naye ni the same line. Hana muda wa kutetea mambo ya taifa zaidi ya kuanzisha ugomvi usio na maana yoyote.
 
Well, jamani hiyo ilikuwa weekend na nimefunga mjadala wangu rasmi. Tuendelee kumkoma nyani giledi, mchana kweupeeee!! NN I had to release some stress..
 
Ujumbe muhimu katika thread hii ni kuwa wewe Asha BADILIKA. Lugha zako zinawakera wengi si Chadema pekee.

Pili ni bora ianzishwe thread nyingine ya malalamiko/manug'nuniko binfasi vinginevyo mods wabadili title ya thread hii.

NN.
 
Uko sawa kabisa dada Asha.
Kuna wakati signature hiyo ilikuwa inaonekana kana kwamba ni tamko la Chadema, maana ukiingia kwenye tovuti yao, unakutana na maneno hayo hayo. Jipambanue nao lakini usiache kushambulia. Hiyo signature yako ya sasa hivi nimeipenda zaidi maana haitafuni maneno- iko loud and clear - bila kuiondoa ccm, tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu.
 
Well, jamani hiyo ilikuwa weekend na nimefunga mjadala wangu rasmi. Tuendelee kumkoma nyani giledi, mchana kweupeeee!! NN I had to release some stress..

MJJ na Wanaukumbi,
Imekuwa vizuri kuwa umerudi kwenye mjadala. Ningependa wanaukumbi tujadili yafuatayo kuhusiana na hili suala la Asha;
  1. Kuna uhalali wowote kwa CHADEMA au chama kingine chochote kuingilia yanayotendeka humu ukumbini?
  2. Kama sio halali kwa CHADEMA kuingilia JF, kwa nini tusiwatake waombe msamaha kwa kuingilia uhuru wa mmojawetu?
  3. Kwa CHADEMA kumkataza Asha kutumia usemi wa CHADEMA ni dalili ya CHADEMA kuwa madikiteta au wamekosea tu?
  4. Je ndani ya JF kuna wawakilishi wa vyama vya siasa au ni wapenzi tu wa vyama?
  5. Kama kuna wawakilishi wa vyama, haingekuwa vema kwao wakajitambulisha ili tuelewe kuwa wanayoongelea humu ndio msimamo wa chama husika?
Mwisho, ningeomba yeyote atakayejadili angalau agusie kila kifungu hapo juu.

Binafsi yangu katika kupinga hatua iliyochukuliwa na CHADEMA , nimeamua rasmi kutumia signature ambayo Asha amekatazwa kutumia pamoja na kubadili Avatar yangu.

________________________________________
"CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya "Nguvu ya Umma" (Ila Dalili za Kuingilia Uhuru wa Wananchi Zimeanza Kujitokeza Ndani ya CHADEMA) na kuamini katika itikadi ya "Mrengo wa Kati". CHADEMA inawataka Watanzania kuelewa kwamba mabadiliko ya kweli yataletwa na kubadilisha mfumo wa utawala(Ndani ya CHADEMA Pia Kunahitajika Mabadiliko ya Kiutawala Ili Kuondoa Ukabila). Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kile kile, chenye uoza ule ule, wakiendeleza yale yale kwa ari, nguvu na kasi mpya.CHADEMA inatambua kwamba kwa falsafa ya Chukua Chako Mapema (CCM),Tanzania yenye neema kamwe haitawezekana"

- Hii Signature Nimeiweka Ili Kupinga CHADEMA Kuingilia Uhuru wa Wana-JF
 
KJ, siamini kama Chadema wameingilia kinachofanyika humu na badala yake kama vile entity yoyote ile ambayo ina trade mark yake au copyright ya kitu fulani wanayo haki ya kutaka mtu mwingine yoyote asiitumie bila idhini yao.

Wewe ulivyoiweka hujanukuu moja kwa moja jinsi ilivyo. Hivyo wanayo haki ya kisheria kusimamia matumizi ya nembo, misemo, na alama za chama chao.

Vivyo hivyo, watu wa CUF wanaweza kuja kukuomba uondoe bendera yao unless wamekupa idhini ya wewe kuitumia kama mwakilishi wao na wakifanya hivyo watakuwa ndani ya haki yao na si udikteta.

Hilo linawahusu CCM pia, matumizi ya alama, nembo n.k ya kitu chochote ambacho ni rasmi inaongozwa na sheria. Huwezi kutetea uvunjaji wa sheria kwa sababu hupendi sheria hiyo.

Ni kwa sababu hiyo basi UN waliwahi kumuambia bwana mdogo mmoja wa bongo alipoanzisha tovuti ya kufurahia kuteuliwa kwa Dr. Migiro na kuweka Nembo ya Umoja wa Mataifa. Ofisi ya Katibu Mkuu wa UM ilimuandikia na kumtaka aondoe nembo hiyo mara moja lakini haikumkataza kushabikia uteuzi wa Dr. Migiro.

Nadhani utaelewa ni kwanini basi Chadema kama chama halali kinaweza kuamua matumizi ya alama zao.
 
MJJ na Wanaukumbi,
Imekuwa vizuri kuwa umerudi kwenye mjadala. Ningependa wanaukumbi tujadili yafuatayo kuhusiana na hili suala la Asha;
  1. Kuna uhalali wowote kwa CHADEMA au chama kingine chochote kuingilia yanayotendeka humu ukumbini?
  2. Kama sio halali kwa CHADEMA kuingilia JF, kwa nini tusiwatake waombe msamaha kwa kuingilia uhuru wa mmojawetu?
  3. Kwa CHADEMA kumkataza Asha kutumia usemi wa CHADEMA ni dalili ya CHADEMA kuwa madikiteta au wamekosea tu?
  4. Je ndani ya JF kuna wawakilishi wa vyama vya siasa au ni wapenzi tu wa vyama?
  5. Kama kuna wawakilishi wa vyama, haingekuwa vema kwao wakajitambulisha ili tuelewe kuwa wanayoongelea humu ndio msimamo wa chama husika?
Mwisho, ningeomba yeyote atakayejadili angalau agusie kila kifungu hapo juu.

Binafsi yangu katika kupinga hatua iliyochukuliwa na CHADEMA , nimeamua rasmi kutumia signature ambayo Asha amekatazwa kutumia pamoja na kubadili Avatar yangu.

________________________________________
“CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya “Nguvu ya Umma” (Ila Dalili za Kuingilia Uhuru wa Wananchi Zimeanza Kujitokeza Ndani ya CHADEMA) na kuamini katika itikadi ya “Mrengo wa Kati”. CHADEMA inawataka Watanzania kuelewa kwamba mabadiliko ya kweli yataletwa na kubadilisha mfumo wa utawala(Ndani ya CHADEMA Pia Kunahitajika Mabadiliko ya Kiutawala Ili Kuondoa Ukabila). Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kile kile, chenye uoza ule ule, wakiendeleza yale yale kwa ari, nguvu na kasi mpya.CHADEMA inatambua kwamba kwa falsafa ya Chukua Chako Mapema (CCM),Tanzania yenye neema kamwe haitawezekana”

- Hii Signature Nimeiweka Ili Kupinga CHADEMA Kuingilia Uhuru wa Wana-JF
Kweli kabisa Mkulu, wawakilishi wapo na wanalipwa na Mbowe,mmoja wapo ni Mwanakijiji au Mwafrika wa kike akizidiwa anakuwa senti 50 naomba atumie na Kinyonga. anayo majina mengine kama Ben, Koba ,Madela wa madilu.anafanywa kama house girl na Chadema.

Yupo ASHA abdalla ambaye jina lake kamili ni KM anafanya Phd Uingereza alifukuzwa vyama zaidi ya vitatu kwa tamaa ya madaraka kuanzia CCM ndio maana anawachukia,angekuwa mvumilivu kama Guninita,TLP alifukuzwa kwa kula ruzuku na Mrema akamtoa mkuku,NCCR alikuwa kundi la Marando nako alitimuliwa.

Nataka waje hapa niwachambue hawa vibaraka ambao wameshindwa kuwaelimisha wananchi mitaani na sasa wanatumia JF kama ni tawi la Chadema.

Hawa ndio wanaomchukia WANGWE kwa vile hataki pesa za chama zitumike makao makuu kuwalipia watu gharama za internet au website zisikuwa na maslahi kwa NGO yao. ni kundi la wahuni linatumiwa JF.
 
Dada chinga,

Naona una hasira sana baada ya kurudishwa Tanzania. Ulizoea vya kunyonga utaweza vya kuchinja?

Bring it on!
 
Nimeshakwambia kuwa mimi sio dada kama wewe mwanaume unayeona kutumia majina haya ya kike ni fahari. umeshakimbia na jina lako na sasa unatumia la Mwafrika wa kike, na maneno haya haya alisema BI SENTI 50, hatukuelewi Mwanakjj kujifananisha na wanawake? uko mzima wewe?
 
wewe dada Chinga utakana majina yote uliyonayo. Kwani inakufurahisha nini kujiita mwanaume wakati wewe ni mwanamke.

Be proud of your gender for a minute! Unadhani ukijiita mwanamme ndiyo itakupa nguvu au heshima hapa?
 
MJJ na Wanaukumbi,
Imekuwa vizuri kuwa umerudi kwenye mjadala. Ningependa wanaukumbi tujadili yafuatayo kuhusiana na hili suala la Asha;
  1. Kuna uhalali wowote kwa CHADEMA au chama kingine chochote kuingilia yanayotendeka humu ukumbini?
  2. Kama sio halali kwa CHADEMA kuingilia JF, kwa nini tusiwatake waombe msamaha kwa kuingilia uhuru wa mmojawetu?
  3. Kwa CHADEMA kumkataza Asha kutumia usemi wa CHADEMA ni dalili ya CHADEMA kuwa madikiteta au wamekosea tu?
  4. Je ndani ya JF kuna wawakilishi wa vyama vya siasa au ni wapenzi tu wa vyama?
  5. Kama kuna wawakilishi wa vyama, haingekuwa vema kwao wakajitambulisha ili tuelewe kuwa wanayoongelea humu ndio msimamo wa chama husika?
Mwisho, ningeomba yeyote atakayejadili angalau agusie kila kifungu hapo juu.

Binafsi yangu katika kupinga hatua iliyochukuliwa na CHADEMA , nimeamua rasmi kutumia signature ambayo Asha amekatazwa kutumia pamoja na kubadili Avatar yangu.

________________________________________
“CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya “Nguvu ya Umma” (Ila Dalili za Kuingilia Uhuru wa Wananchi Zimeanza Kujitokeza Ndani ya CHADEMA) na kuamini katika itikadi ya “Mrengo wa Kati”. CHADEMA inawataka Watanzania kuelewa kwamba mabadiliko ya kweli yataletwa na kubadilisha mfumo wa utawala(Ndani ya CHADEMA Pia Kunahitajika Mabadiliko ya Kiutawala Ili Kuondoa Ukabila). Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kile kile, chenye uoza ule ule, wakiendeleza yale yale kwa ari, nguvu na kasi mpya.CHADEMA inatambua kwamba kwa falsafa ya Chukua Chako Mapema (CCM),Tanzania yenye neema kamwe haitawezekana”

- Hii Signature Nimeiweka Ili Kupinga CHADEMA Kuingilia Uhuru wa Wana-JF
UNGEONGEZA MANENO HAYA KUWA CHADEMA NI CHAMA CHA WACHAGA WAHAFIDHINA NA WAKRISTU WAHAFIDHINA NI ZEZETA,ZUZU AU TAAHIRA TU KAMA MWANAKIJIJI AU KITILA NDIO WANAWEZA KUJIUNGA NACHO.
 
hizi chuki zako za kidini na kikabila ndizo zilikufanya ukafukuzwa London na sasa hasira zote unataka kuzileta hapa JF.

Nilishakuambia kuwa JF ni mashine kubwa na hutaweza kuiangamiza hata ukifanya nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom