CHADEMA wakataza

Habari zenu wa JF. Nimeona ujumbe huu wa huyu mtu aliyukuwa anatumia CHADEMA kama ujumbe wake. Mimi kwa upande wangu huyu ni mstaarabu sana maana huwezi kujua hao waliomkataza kama ni wanachama kweli au wanachama feki. Kwenye vyama hasa hivi vyenye kuweka UTAIFA mbele kuna mamluki wengi sana ambao wako pale kwa mambo mengine. Hivyo kuondoa mitafaruku muache atumia ujumbe mwingine ambao pia unatuma message kama ileile ila kwa maneno mengine.

CHADEMA ni chama chenye watu wengi hivyo pia kila mtu akiamua kutumia ujumbe wa chama inaweza kujenga chama au kuharibu kama nilivyosema juu. Mwingine anaweza kusema yeye ni CHADEMA akamwaga sera za ajabu ambazo hazijengi huoni hapo atakuwa amekiharibia chama? Nafikiri chama kibaki chama na individual abaki hivyo.

Kila la kheri Asha.
 
Kilichopo ni kuwa CHADEMA wamebadilisha Mission statement yao wakaona vyema na washirika wao kama Asha wabadili signature zao kwenye mitandao hii ni fresh haina nongwa
 
Asha, vita haina macho,ni kweli CCM hofu imetawala nafsi zao,na kila mfa maji haachi kutapatapa, ila la msingi wewe endelea kupiga kelele hadi kieleweke, halali mtu hapa,ile slogan yako ilikuwa na mvuto sana.
 
Nimeandika barua pepe na CHADEMA kwamba kama nataka niendelee kutumia hii signature:

“CHADEMA ni chama mbadala kinachokua na kinachoongozwa kwa Falsafa ya “Nguvu ya Umma” na kuamini katika itikadi ya “Mrengo wa Kati”. CHADEMA inawataka Watanzania kuelewa kwamba mabadiliko ya kweli yataletwa na kubadilisha mfumo wa utawala. Maendeleo ya kweli hayawezi kuletwa na mafisadi walewale, wa chama kile kile, chenye uoza ule ule, wakiendeleza yale yale kwa ari, nguvu na kasi mpya. CHADEMA inatambua kwamba kwa falsafa ya Chukua Chako Mapema (CCM), Tanzania yenye neema kamwe haitawezekana”

Ambayo ni maneno rasmi ya CHADEMA yaliyoko kwenye tovuti ya chama basi niache kuandika mipasho humu JF.

Nimewaambia sitaweza kunyamaza pale ninapotakiwa niseme ukweli. I will always call a spade a spade. Kwa hiyo natangaza rasmi kuacha kutumia hii signature. Badala yake nitatumia hii

“ Huu ni mwanzo wa mwisho wa Chama Cha Mafisadi(CCM), hakuna dola idumuyo isipokuwa ya Mungu tu. Ni wakati wa vyama mbadala, kimoja wapo kipo hapa www.chadema.net, mabadiliko ni chakula kisichokifu”

Naona pumba tupu unaongea. wewe utafikiri mwanamke huku baba zima ulikuwa unatumia Mwanasiasa ukaja kutumia Kitila mkumbo na Asha Abdala na hiyo nembo ulikuwa ukiitumia kwenye Mwanasiasa ukaicha na ukaja nayo kwa jina la asha na sasa huitaki.
unafanya PHD ya kitu gani huko Southmpton? au kazi yako kuvuruga mikutano ya Diaspora tu?
 
Admin. habari kama hii ya kijinga inakaa hapa kwa sababu ipi? kwani asha ni nani? zaidi ya kuwa ni Kitila mfuata Mkumbo? peleka kwenye makabrasha.
 
Habari zenu wa JF. Nimeona ujumbe huu wa huyu mtu aliyukuwa anatumia CHADEMA kama ujumbe wake. Mimi kwa upande wangu huyu ni mstaarabu sana maana huwezi kujua hao waliomkataza kama ni wanachama kweli au wanachama feki. Kwenye vyama hasa hivi vyenye kuweka UTAIFA mbele kuna mamluki wengi sana ambao wako pale kwa mambo mengine. Hivyo kuondoa mitafaruku muache atumia ujumbe mwingine ambao pia unatuma message kama ileile ila kwa maneno mengine.

CHADEMA ni chama chenye watu wengi hivyo pia kila mtu akiamua kutumia ujumbe wa chama inaweza kujenga chama au kuharibu kama nilivyosema juu. Mwingine anaweza kusema yeye ni CHADEMA akamwaga sera za ajabu ambazo hazijengi huoni hapo atakuwa amekiharibia chama? Nafikiri chama kibaki chama na individual abaki hivyo.

Kila la kheri Asha.

Chadema si chama chenye watu wengi. ndio maana wanachukuana watu wa Familia za kichagga zinazokunywa Pombe pamoja aidha ni KEYS hotel au Bilicanas.

kama kingekuwa serious party wangepata mbunge toka Mtwara au Lindi wa viti Maalum.
Chacha wangwe kakijenga Chama kwa nguvu Tarime lakini hakupewa nafasi ya kupata mbunge wa viti Maalum. akiwa si mchagga basi gododro la mwenyekiti(Paul mtoro wa shule).
 
hey.. umerudi? mbona na wewe uliye godoro la RO na JK hatujakusema? Umeonekana London hivi majuzi na Scandinavia naona umerudi na hasira baada ya jamaa kuahirisha ukaachwa Solemba. Bora ung'ang'anie huku huku CCM.

asante.
 
Nadhani unasinzia mimi ni dume la mbegu. kama LILIAN MTEI hatosheki niletee nimpe full dose atafurahi na macho yake kama mvuta bangi.
siende zaidi .... nitakutumia PM.
 
hey.. umerudi? mbona na wewe uliye godoro la RO na JK hatujakusema? Umeonekana London hivi majuzi na Scandinavia naona umerudi na hasira baada ya jamaa kuahirisha ukaachwa Solemba. Bora ung'ang'anie huku huku CCM.

asante.
WEWE NDIO GODORO UNATULETEA MAJINA YA KIKE MARA BI SENTI 50 YAANI UKIPEWA SENTI 50 TUNAPETA BILA KONDOMU.

MARA UNATUMIA MWAFRIKA WA KIKE KWANINI WEWE MWANAUME MWANAKJJ UNAJISHABIHISHA NA UKE UKE? VIPI NI BWABWA? SIKU HIZI KUNA NDOA NAMNA HIYO NA MTU WAKO ANAYEKUPUMULIA MGONGONI AKICHUKUA NCHI CHA KWANZA KUPITISHA SHERIA HIYO ILI UPEWE HAKI YAKO KULIKO KUWA UNATUMIA SIGN KAMA HIZI WENGINE HAWAJUI KAMA UKO KAZINI.

UNA WAHUSUDU RO NA JK KWA VILE NI WATU WA PWANI UTAPATA UNACHOTAKA ?NA MBOWE NI 'MZEE MZIMA'AU UNAWEZA KUSEMA NI CHUPA YA WINE. MWAMBIE AREKEBISHE TU, WATU WA PWANI HAWANA TABIA HIZO.
 
MoD,

ninavumilia sana kejeli lakini inapofikia hatua ya mtu kunishambulia ambaye sijawahi kumshambulia inakera. Naomba tafadhali mchukue hatua husika.

M. M.
 
Chinga, nikueleze mara ngapi kwa mimi sio Kitila. Hebu acha kumnutukana mwalimu wa watu. Yeye anajulikana yuko Uingereza. Mimi najulikana wazi kabisa niko Zanzibar na Dar es salaam. Hebu acha ushakunaku.

by the way, umesoma hii?

FMES,

Ni kweli nimechemsha- Kubwa Jinga sio Mugongo Mugongo. Ila Kubwa Jinga ni mtu mmoja hivi mbaguzi wa kidini na kikabila. Mbona hataki kutuhadhia jinsi alivyofukuzwa CUF kwa sababu ya yeye mwenyewe kuendekeza udini?

Lakini naona wanauswahiba hapa na Chinga alias Mtalii alias Mswahili alias Mzee Kifimbo. Karibuni sana

Kubwa Jinga Jinga na Chinga:

Narudia Suala Uteuzi Wa Viti Maalum mbona Zitto na Mnyika walishaeleza kwa kina KIKAELEWEKA, wakaeleza hatua gani zilipitiwa, mapungufu gani yaliyokuwepo wakati wa kutekeleza nia njema waliyoileza hapa, vigezo vya kila mmoja kuteuliwa na mfumo mpya wa uteuzi utakaotumika mwaka 2010 chini ya Baraza La Wanawake wa CHADEMA(BAWACHA).

Hebu search tu hapa au omba msaada upewe links
http://www.jamboforums.com/showthrea...=12123&page=32
Otherwise, rudi huku ukajibu maswali yangu- http://www.jamboforums.com/showthrea...=12123&page=32

Usinikwepe jamani

Nani kakudanganya kuwa mama komu alikuwa mzanzibar kwa ajili ya viti maalum? Huyu ni mzanzibar wa kuzaliwa, ameishi Zanzibar mpaka amekuwa kabisa. Akaenda kuolewa kilimanjaro,akakaa miaka michache, akaachika na akarudi kwao Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita. Na toka lini Komu akawa na undugu na Ndesamburo? Hii inadhihirisha nia yako ya kuchafua CHADEMA tu. We endeleza tu kazi ya Chama Cha Mafisadi, lakini jua watanzania wameerevuka.

Ukishindwa humu hamia Habari Corruption haswa Rostam International ukaendelee na kazi

Asha

Sasa Chinga, jibu tuhuma za kuwa godoro na Kubwa Jinga, ni kweli ulifukuzwa kutokana na udini wako? Kwa hiyo haya mnaandika kutokana na chuki zenu binafsi?
 
Naona pumba tupu unaongea. wewe utafikiri mwanamke huku baba zima ulikuwa unatumia Mwanasiasa ukaja kutumia Kitila mkumbo na Asha Abdala na hiyo nembo ulikuwa ukiitumia kwenye Mwanasiasa ukaicha na ukaja nayo kwa jina la asha na sasa huitaki.
unafanya PHD ya kitu gani huko Southmpton? au kazi yako kuvuruga mikutano ya Diaspora tu?

FMES,

Ni kweli nimechemsha- Kubwa Jinga sio Mugongo Mugongo. Ila Kubwa Jinga ni mtu mmoja hivi mbaguzi wa kidini na kikabila. Mbona hataki kutuhadhia jinsi alivyofukuzwa CUF kwa sababu ya yeye mwenyewe kuendekeza udini?

Lakini naona wanauswahiba hapa na Chinga alias Mtalii alias Mswahili alias Mzee Kifimbo. Karibuni sana

Kubwa Jinga Jinga na Chinga:

Narudia Suala Uteuzi Wa Viti Maalum mbona Zitto na Mnyika walishaeleza kwa kina KIKAELEWEKA, wakaeleza hatua gani zilipitiwa, mapungufu gani yaliyokuwepo wakati wa kutekeleza nia njema waliyoileza hapa, vigezo vya kila mmoja kuteuliwa na mfumo mpya wa uteuzi utakaotumika mwaka 2010 chini ya Baraza La Wanawake wa CHADEMA(BAWACHA).

Hebu search tu hapa au omba msaada upewe links
http://www.jamboforums.com/showthrea...=12123&page=32
Otherwise, rudi huku ukajibu maswali yangu- http://www.jamboforums.com/showthrea...=12123&page=32

Usinikwepe jamani

Nani kakudanganya kuwa mama komu alikuwa mzanzibar kwa ajili ya viti maalum? Huyu ni mzanzibar wa kuzaliwa, ameishi Zanzibar mpaka amekuwa kabisa. Akaenda kuolewa kilimanjaro,akakaa miaka michache, akaachika na akarudi kwao Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita. Na toka lini Komu akawa na undugu na Ndesamburo? Hii inadhihirisha nia yako ya kuchafua CHADEMA tu. We endeleza tu kazi ya Chama Cha Mafisadi, lakini jua watanzania wameerevuka.

Ukishindwa humu hamia Habari Corruption haswa Rostam International ukaendelee na kazi

Asha

Sasa Chinga, jibu tuhuma za kuwa godoro na Kubwa Jinga, ni kweli ulifukuzwa kutokana na udini wako? Kwa hiyo haya mnaandika kutokana na chuki zenu binafsi?
 
MoD,

ninavumilia sana kejeli lakini inapofikia hatua ya mtu kunishambulia ambaye sijawahi kumshambulia inakera. Naomba tafadhali mchukue hatua husika.

M. M.
wewe si ndio umeanza kunituka,ukishindwa unabadili jina.pole sana. wewe si ndio kila kitu nifungie tu.
 
Tumekuzoea mwana izaya, kumbe unafanya yote haya ili ufungiwe uanze kulia lia kwa majina mengine. Kama maneno ni mkuki basi inaelekea nimewachoma sana wewe na kubwajinga. Unamjua kisaraka wa mtaa asiyejua vibaya?

Asha
 
FMES,

Ni kweli nimechemsha- Kubwa Jinga sio Mugongo Mugongo. Ila Kubwa Jinga ni mtu mmoja hivi mbaguzi wa kidini na kikabila. Mbona hataki kutuhadhia jinsi alivyofukuzwa CUF kwa sababu ya yeye mwenyewe kuendekeza udini?

Lakini naona wanauswahiba hapa na Chinga alias Mtalii alias Mswahili alias Mzee Kifimbo. Karibuni sana

Kubwa Jinga Jinga na Chinga:

Narudia Suala Uteuzi Wa Viti Maalum mbona Zitto na Mnyika walishaeleza kwa kina KIKAELEWEKA, wakaeleza hatua gani zilipitiwa, mapungufu gani yaliyokuwepo wakati wa kutekeleza nia njema waliyoileza hapa, vigezo vya kila mmoja kuteuliwa na mfumo mpya wa uteuzi utakaotumika mwaka 2010 chini ya Baraza La Wanawake wa CHADEMA(BAWACHA).

Hebu search tu hapa au omba msaada upewe links
http://www.jamboforums.com/showthrea...=12123&page=32
Otherwise, rudi huku ukajibu maswali yangu- http://www.jamboforums.com/showthrea...=12123&page=32

Usinikwepe jamani

Nani kakudanganya kuwa mama komu alikuwa mzanzibar kwa ajili ya viti maalum? Huyu ni mzanzibar wa kuzaliwa, ameishi Zanzibar mpaka amekuwa kabisa. Akaenda kuolewa kilimanjaro,akakaa miaka michache, akaachika na akarudi kwao Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita. Na toka lini Komu akawa na undugu na Ndesamburo? Hii inadhihirisha nia yako ya kuchafua CHADEMA tu. We endeleza tu kazi ya Chama Cha Mafisadi, lakini jua watanzania wameerevuka.

Ukishindwa humu hamia Habari Corruption haswa Rostam International ukaendelee na kazi

Asha

Sasa Chinga, jibu tuhuma za kuwa godoro na Kubwa Jinga, ni kweli ulifukuzwa kutokana na udini wako? Kwa hiyo haya mnaandika kutokana na chuki zenu binafsi?

Nakuheshimu sana. naomba kaa kando. Mzanzibar Gani hajui kuandika Abdallah anaweka Abdala sijawahi kuona bara na visiwani. unajiabisha mkuu.kuna sehemu umesema unakaa kwa JOHA hakuna kitu hicho ni Jokha kama kweli Mzanzibar. naona chadema mnayapenda majina ya kike huku nyinyi ni wanaume kuna nini huko?
 
Chinga,

Mara nyingi umekuwa ukinishambulia kwa kila aina ya vijembe, matusi, kejeli n.k Ukisema uongo mkubwa juu yangu na kujaribu kwa kila aina kuniprovoke kwa madai yasiyo na msingi, yaliyojaa chuki, wivu, kisirani na umbeya wa hali ya juu ambayo ni wewe pekee hapa duniani unayeweza kuyathibitisha.

Nimekaa kimya mara zote kwa sababu sipendi mambo haya ya matusi. Lakini leo umefikia kilele hicho na uvumilivu wangu umekoma. Naomba madai yote uliyoyatoa juu yangu uyathibitishe.

a. Kwamba nimepewa dola 2000 na Mbowe kuanzisha website ya KLHNews
b. Kwamba mimi ni Madela wa Madilu, Koba, Mwafrika wa Kike na Bi. Senti 50
c. Kwamba mimi sina kibali cha kuishi Marekani au Uraia wa Marekani
d. Kwamba mimi ni mhusika wa madawa ya kulevya.
e. Na madai yako mengine yote ambayo umeyatoa juu yangu na hasa kudai kuwa nimekutukana kwanza, useme lini na wapi?

Nitashukuru ukifanya hivyo.

Hiyo abdallah yako weye, ya kuongezea L na H mwishoni ili litamkike kizungu. Ungekuwa wananiheshimu ungeniita Kitila Mkumbo? Mi sikai kwa Jokha, mi nakaa Jang'ombe. Huko kwa Jokha nisema tu ni jirani. Kama kuna mahali nilisahau H basi niwie radhi ama kama sikukosea basi nitake radhi

Asha
 
Sasa mi si msemaji rasmi, nimeamua kuondoa ili nisionekane msemaji rasmi. Mi ni mwanachama tu.

What a shame, I thought they would appreciate the efforts you have been putting here, basi angalau wangekupa kacheo ka Msemaji wa CHADEMA JF bse that is what I have always thought you were.Im sure hili agizo halikutoka kwa mheshimiwa!!!;-)
 
Jamani mbona wamenipongeza kwa kazi nzuri. Mi nimeelewa logic yao. Msemaji wa CHADEMA hawezi kuwa anakimbizana na wakina Chinga na Kubwa Jinga hapa kama nifanyavyo hapa MIPASHO kwa MIPASHO. Kana we ni mpenzi wa CHADEMA? Tuwasiliane kupitia ashabdala@yahoo.com

Asha
 
Chinga,

Mara nyingi umekuwa ukinishambulia kwa kila aina ya vijembe, matusi, kejeli n.k Ukisema uongo mkubwa juu yangu na kujaribu kwa kila aina kuniprovoke kwa madai yasiyo na msingi, yaliyojaa chuki, wivu, kisirani na umbeya wa hali ya juu ambayo ni wewe pekee hapa duniani unayeweza kuyathibitisha.

Nimekaa kimya mara zote kwa sababu sipendi mambo haya ya matusi. Lakini leo umefikia kilele hicho na uvumilivu wangu umekoma. Naomba madai yote uliyoyatoa juu yangu uyathibitishe.

a. Kwamba nimepewa dola 2000 na Mbowe kuanzisha website ya KLHNews
b. Kwamba mimi ni Madela wa Madilu, Koba, Mwafrika wa Kike na Bi. Senti 50
c. Kwamba mimi sina kibali cha kuishi Marekani au Uraia wa Marekani
d. Kwamba mimi ni mhusika wa madawa ya kulevya.
e. Na madai yako mengine yote ambayo umeyatoa juu yangu na hasa kudai kuwa nimekutukana kwanza, useme lini na wapi?

Nitashukuru ukifanya hivyo.

M. M.

This is absolutely the right way to go for it MMK, kama Chinga ni mzushi everyone will know and start to ignore him. Nadhani kama mtu akikutuhumu kwa jambo fulani hapa ni jukumu lako kuomba uthibitisho wa hizo tuhuma, usikae kimya ukitegemea members wengine watafanya hivyo. You will be the first one to agree with me that sometimes silence if perceived to be 'YES',I just wanted to see this, excellent!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom