Umeshasema nyumbani kwako tena utakuwa una maanisha vile vya kukatia nyama ambavyo kiuhalisia havipo kama hivyo vinavyoonekana katika picha.
CHADEMA mnafanya nini na hizo zana hatari ofisini!?!
Hahaha! Kamanda haya magamba yameishiwa mpaka njama hayana tena. Hivi kweli inaingia akilini kwamba chama kiingie hasara ya kusambaza visu ambavyo vinapatikana vijiji vyote Tz?jaman yaani mtoa post unashida ya uelewa yaani kisu na manati ndio visambazwe mikoa yote na huku kila mkoa kunauzwa visu na mipira ya kutengenezea manati zipo tele jamani kweli una vituko mpaka basi mim nikajua bunduki kumbea visu na manati pamoja na ngui za chama ndio vifaaa hata mikoani huku mbona watunavyo sana mf kisu kila nyumba iwe ya masikini ina kisu na vijijini kila mtoto anapofikia rika la kuwinda lazima atengeneze manati nenda kule kwetu tarime uone mpa mishale ya sumu ipo wanamiliki watu wee leo manati na kisu ndo unakuja kutuandikia hapa. kwanza tulishazoea haya ya pilisi hata miaka ya nyuma mahita akiwa mkuu wa polisi alitumika akasema cuf imeleta makontena ya visu je mliliona hilo kontena tumeshayazoe ya policcm hao na mwaka huuu kitaeleweka tu na kma umetumwa usikie watu tunamawazo gani juu ya hlo wambie tunasema mwisho wao wakutumikia ccm ni mwezi wa 10 na polis wataishi maisha mema
Siku hizi chadema wana migodi?
Hivyo visu na manati nazo za nini kwenye siasa?
Mkuu acha MODS na Lumumba wajifurahishe wakichoka uzi utajifuta wenyewe sisi tuendelee kifuatilia mikutano ya makamanda inayoendelea nchi nzima.Hivi Propaganda za Maji Taka mtazifanya mpaka lini? Mod/Invisible Huu ni uongo na sidhani kama Jamii Forum mnakubali wongo
Futa kauli yako, hizi picha ni halisi na zimepigwa katika ofisi ya makao makuu CHADEMA Ufipa na hivi ndivyo vijana hao majambazi yanayomilikiwa na CHADEMA yatakavyo valia hivyo vifaa.
View attachment 246821
Tunaenda kwa picha tu maana hakun namna nyingine.
Una uhakika na unachokiongea wewe ngoja watumie hivyo visu kuwachoma ndugu zako ndo utajua kama kinaua sisimizi au la. Acha kutetea upumbavu, wao sio malaika, kama wana makosa wajirekebishe wasonge mbele
Weka jina lako kamili,unamiliki silaha gani, unaishi wapi,kijiji au mtaa gani na namba yako ya simu hapa jamii forums.Utafikiwa muda si mrefu.
BAVICHA mna tatizo la kuchukulia mambo diplomatically hapa tupo kwenye uhuru wa habari ambapo kila mmoja ana right ya free of expression ila kwa Kuwa BAVICHA Hamko kidiplomacia ndo kitu kidogo kama hivi unajaza povu jukwaa zima badara Ya kutoa hoja yenye ustaarabu vivyo hivyo unavyokosa uvumilivu humu kwenye media ndo utakavyo act pindi utakapoachwa na vifaa vya kijeshi kwa sababu unakosa ile political tolerance na huu ni utamaduni wenu kuanzia juu mmejaa hasira kwa kila kitu.mitusi ndo kabisa nyumbani kwenuHivi wewe Pakacha uhuni umekuja baada ya Chadema kikutwa na hivyo vifaa? Uhuni umekuja baada ya Chadema kuimarisha mafunzo kwa Red Brigade? Akili zilizojichokea hizi..
Hapo awali Uvccm Almaarufu kama Chipukizi waipokuwa wakitembea hadharani na Mabunduki kamwe haikuonekana ni uhuni mpaka Chadema walipoonekana Wakifanya mazoezi sawasa na walivyokuwa wakifanya hao Uvccm? Toa upakacha wako hapa nenda Lindi kule ukapakachuke.
Mbona unakuwa mvivu wa kufikiri..!!!
BACK TANGANYIKA
Mwaka huu itafahqmika tu ujinga wote wazi.
Kwahiyo ninyi mkiingia madarakani mtalifanya jeshi liache kila chama cha siasa kimiliki vifaa vya kijeshi?
mabomu, bunduki