CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

Polisi wako hapa tunduma wambea kweli kakitu gadogo wanakakuza we sijui wanataka kupandishwa vyeo kwa lazima hao majamaa wasema waliwakamata na vifaa vya kijeshi ofisini na wanampango wa kuvisambaza tanzania nzima wakati si kweli hao majamaa waliwakamata njiani. Wakiwa na pikipiki wanaelekea maeneo ya bondeni kwaajili ya ulinzi wa chama na humo njiani uwa wanawavamiwa na watu waccm so lazima wajihami na hao majamaa wako fit sana huyo mwingine ana mkanada mweusi kwa hapa tunduma hao majama wako 30 ukiachana na mbunge silinde naye yuko fiti baraa na diwani mwenyewe ni mcheza boxer chedema ni chama ambacho kinapitia misukosuko mingi sana kwahiyo lazima watu wake wawe fiti
 

Attachments

  • 1430028194831.jpg
    1430028194831.jpg
    11.9 KB · Views: 106
Futa kauli yako, hizi picha ni halisi na zimepigwa katika ofisi ya makao makuu CHADEMA Ufipa na hivi ndivyo vijana hao majambazi yanayomilikiwa na CHADEMA yatakavyo valia hivyo vifaa.

View attachment 246821

Tunaenda kwa picha tu maana hakun namna nyingine.
wewe akili ndogo,yako wapi mahusiano ya hyo picha na ofisi ya cdm.onyesha polisi wakiwakamata watuhumiwa,mbuzi wewe
 
Wewe uelewa wako ni mdogo vitu gani vya jeshi vipo hapo hizo ni Propaganda tu za act na dada zao ccm
 
Hivi Propaganda za Maji Taka mtazifanya mpaka lini? Mod/Invisible Huu ni uongo na sidhani kama Jamii Forum mnakubali wongo
 
Watanzania msiwe wazembe wa kufikiri. Katika nchi zenye watu wenye uwezo mdogo wa kuchanganua mambo Tanzania nashani ni kinara.

Hakuna nchi inayoongozwa na watu makini inaweza kuacha huu upuuzi wa vyama vya siasa uendelee na hii hatua imechelewa mno na siamini kama hii serikali Ya jk ingeweza chukua hatua kama tusingepiga kelele. Watu wanaandaa makomandoo watanzania wanaangalia tu sasa nchi nzima hiki chama kina jeshi ambao ni mwanzo tu .

Na kutokana na ufukara wetu vijana ni dhahri wamekosa uzalendo na wanaweza kurubuniwa any time anywhere. Hivyo pongezi kwa jeshi la polisi ila wajue hii hatua imekuja too late na imezoeleka hii serikali haichukui uamuzi Mpaka watu tupige kelele ndo iamke katika usingizi wa pono

Hivi wewe Pakacha uhuni umekuja baada ya Chadema kikutwa na hivyo vifaa? Uhuni umekuja baada ya Chadema kuimarisha mafunzo kwa Red Brigade? Akili zilizojichokea hizi..

Hapo awali Uvccm Almaarufu kama Chipukizi waipokuwa wakitembea hadharani na Mabunduki kamwe haikuonekana ni uhuni mpaka Chadema walipoonekana Wakifanya mazoezi sawasa na walivyokuwa wakifanya hao Uvccm? Toa upakacha wako hapa nenda Lindi kule ukapakachuke.

Mbona unakuwa mvivu wa kufikiri..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Kwa hiyo hata ww unastahili kukamatwa sbb una zana ya kivita nyumbani kwako.(kisu)

Tofautisha mtu binafsi kumiliki na chama kumiliki.Chama kazi yake siasa si kumiliki silaha!!! Au hujui iwe manati au chochote.
 
Wangechukua hata vile vindege vyao walivyokuwa wanacheza navyo hapo angani kamoja wakapake rangi ya Chadema halafu wakatungue then waseme kuwa jeshi limetungua ndege ya kivita ya Chadema. Hapo walau wangeuzauza copy kadhaa! Ila kwa huu ungese! Wanapakuliwa washenzi hawa!
 
Hahahahaha...

Leo hii mmeona mrudishe sera ya majambia mliyowasambaratisha Cuf? Mmenoa Mapakacha, sasa vifaa vya kijeshi viko wapi hapo nyie?

Visu na Manati? teh teh teh teh.....!! Mje na hapa nyumbani mi ninavyo vingi huwa nachinjia kuku, mbuzi nk.. kumbe ni vifaa vy kijeshi?

Duhhhhhhhh nchi hii...!!

BACK TANGANYIKA

Kumbe nyumbani kwako vipo, sasa hii ni ofisi ya umma, manati ya nini, au mnafuga ndege hahahahahahah hahahaha hahahhahah
 
Futa kauli yako, hizi picha ni halisi na zimepigwa katika ofisi ya makao makuu CHADEMA Ufipa na hivi ndivyo vijana hao majambazi yanayomilikiwa na CHADEMA yatakavyo valia hivyo vifaa.

View attachment 246821

Tunaenda kwa picha tu maana hakun namna nyingine.

Leta ile picha ambayo chipukiz ya interahamwe ccm wanabeba riffes kwenye paredi
 
wewe akili ndogo,yako wapi mahusiano ya hyo picha na ofisi ya cdm.onyesha polisi wakiwakamata watuhumiwa,mbuzi wewe

Mbona umepanick sasa? Kosa langu ni kuleta ushahidi hapa JF wa jinsi mnavyopanga kuipindua nchi kwa njia zenu haramu za uasi?

Tuelezeni ni matumizi yapi ya hivyo vifaa hatari hapo pichani?
 
Hili jeshi la polisi ambao wameamua kuwa vibaraka wa c.c.m ni hatari kwa mustakabali wa taifa!
-viko wapi hivyo vifaa vya kijeshi?
-mbona mwigulu alishawahi vaa sare za jeshi akasingizia siyo za tanzania?

Mleta uzi acha kutunga uongo usio mithilika kwa kushirikiana na huyo anayejiita mtoa taarifa.
Chadema wote wako field msiwe na mbinu za kishamba za kushirikiana na polis kuu dhoofisha upinzani.
Kwa taarifa yako wewe na chama lako la mafisadi c.cm mme ula wachuya!!

>>>chadema haiyumbishwi na vijimambo vyenu na polis c.c.m wenu.


October mwambieni kikwete kuwa magogoni ataingia mtu makini kipenzi cha watanzania dk.slaa.
 
Nimeanza kuona umuhimu wa baadhi ya vifungu vya cyber crime law, Mambo kama haya yanatakiwa kwenye vijiwe vya kahawa sio humu, huu ni mtandao mpana hata watu wa heshima wana access, so kupost vitu vya kipuuz kama hivi mh!

Ila kingekuwa ni chama kingine ungeona habari inafaa, hahahahah kuwa ngangari bana. Imeze ingawa chungu
 
Back
Top Bottom