CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

Polisi muone aibu mmezoea kupandikizamakesi kwa raia sasa mnaingilia mpaka kwenye vyama? Kwa hili hamtoshinda usishangae hawa vijana tayari wameshapewa chao mapema kwenye hii film.
 
CCM wanahaha kwani dalili zote za kupoteza mamlaka zipo wazi, sasa wanakuja na maigizo ya pwagu na pwaguzi. mwaka huu ni kuwabana ki M4C mwanzo mwisho. na mapepo ya KISISIEMU yote ni kuyakemea kwa jina la people's power
 
Namsikiliza Deus Kibamba AZAM TWO anasema muungano uwe wa mjadala na si wa kulindwa kwa silaha yupo na Benson Bana wa chuo kikuu DSM .Benson anasema kuna viashiria vya kuvunjika amani hasa pengo la walionacho na wasionacho na panya road, mauaji kati ya wakulima na wafugaji wawekezaji na wananchi. kushiriki kwa vijana wetu ugaidi, watu kukimbilia mijini,ajali nyingi za barabarani

Mtangazaji Baruan Muhoza mesema kauli mbiu ya tuipigie kura katiba pendekezwa si wakati wake Deusi akasema kauli mbiu ingezungumzia kujiandikisha kwenye daftarii la wapiga kura kwa kuwa mda wa kampeni bado Benson nae amemuunga mkono kibamba kwamba kauli mbiu ilibidi ibebe mambo mengi kidogo ya msingi. Kiujumla wameukubali muungano.
 
kwa hiyo hayo manati ni silaha za kivita au sijaelewa bado.
 
Simbakibogoyo umenichekesha sana. Nenda kalale naona bado una usingizi. Kwa hiyo wewe unaogopa watakavyovalia?

Ninaona sasa CHADEMA ni tishio kubwa kwa ccm. Mnatishika, na mavazi na bendera na ukakamavu wa watu kwamba watapindua nchi?

Sasa hapo hujasikia sera na namna watakavyokuwa wakakamavu kuhakikisha zinawekwa kwenye maendeleo ya taifa.

Kikubwa tu ni kuhakikisha ccm hamvunji sheria za nchi, kubaka democrasia na kufanya vurugu kwenye uchaguzi. Waambie na wenzako waliokuwa wanavizia nafasi za kuiba na kuchakachua kura kwamba mwaka huu ni haki bin halal. CHADEMA WAMEKUJA KIVINGINE. NI WALINZI HALISI WA HAKI ZA WATANZANIA NA DEMOKRASIA.


Futa kauli yako, hizi picha ni halisi na zimepigwa katika ofisi ya makao makuu CHADEMA Ufipa na hivi ndivyo vijana hao majambazi yanayomilikiwa na CHADEMA yatakavyo valia hivyo vifaa.

View attachment 246821

Tunaenda kwa picha tu maana hakun namna nyingine.
 
Nimeona kitu kama manati. Hivi nacho ni kifaa cha vita. Hizi proganda safari hii zimegika mwisho wake
 
Una uhakika na unachokiongea wewe ngoja watumie hivyo visu kuwachoma ndugu zako ndo utajua kama kinaua sisimizi au la. Acha kutetea upumbavu, wao sio malaika, kama wana makosa wajirekebishe wasonge mbele

Na wale walioua kwa kutumia Chain Saw unawasemeaje?
 
Police hamuwezi shindana na mpango wa Mungu


swissme
 
Simbakibogoyo umenichekesha sana. Nenda kalale naona bado una usingizi. Kwa hiyo wewe unaogopa watakavyovalia?

Ninaona sasa CHADEMA ni tishio kubwa kwa ccm. Mnatishika, na mavazi na bendera na ukakamavu wa watu kwamba watapindua nchi?

Sasa hapo hujasikia sera na namna watakavyokuwa wakakamavu kuhakikisha zinawekwa kwenye maendeleo ya taifa.

Kikubwa tu ni kuhakikisha ccm hamvunji sheria za nchi, kubaka democrasia na kufanya vurugu kwenye uchaguzi. Waambie na wenzako waliokuwa wanavizia nafasi za kuiba na kuchakachua kura kwamba mwaka huu ni haki bin halal. CHADEMA WAMEKUJA KIVINGINE. NI WALINZI HALISI WA HAKI ZA WATANZANIA NA DEMOKRASIA.

Ona sasa,yani chadema ni vurugu tu na kumwaga damu,watanzania tuweni makini na hiki chama cha kigaidi
 
Weka jina lako kamili,unamiliki silaha gani, unaishi wapi,kijiji au mtaa gani na namba yako ya simu hapa jamii forums.Utafikiwa muda si mrefu.

Naitwa lancanshire.nipo dareslam manzese darajani.ninamiliki manati moja,kisu cha kukatia nyanya na vitunguu pamoja na viatu vyeusi pea 2. 0785 000004.njooni nawasubiri.
 
Back
Top Bottom