CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

Hatudanganyiki, hawa polisccm waliwahi kusema wamekamata container likiwa na silaha za kijeshi ili kutumiwa na cuf, leo chadema, we are so intellectual hamuwezi kututoa kwenye agenda, lazima kieleweke this year
 
Sasa hapo nani kabambikiziwa kitu!?! Vijana wanashiriki katika kuhatarisha amani, polisiwanafanya kazi yao vyema halafu nyinyi mnawatetea hao waasi?

Haya mapenzi ya upofu kwa CHADEMA yanahatarisha usalama wetu wa nchi. Hisia zenu hazipaswi kuingilia utendaji kazi wa jeshi letu la polisi.
Inaonekana wewe sio kibogoyo tu,Bali pia ni
kipofu wa fikra. Kwanza huo mchezo wenu wa kuigiza kama king majuto kamanda Yericko Nyerere ameshauweka wazi. Halafu nyinyi muliona wapi visu vya kukatia viazi mbatata, buti za migodini, manati ya kupigia ndege pamoja na shingadi vikawa vifaa vya vita si bora hata mungalitafuta mapanga pamoja bunduki japo zile munazowapa wale green guards wenu ambao wanafundishwa namna ya kuzitumia. Kama ingekua ni chadema ndio wanaofanya vile wangeambiwa wanatengeneza jeshi ndani ya nchi.Tafuteni njia nyengine ya kuzuia moto wa chadema unaoendelea kuunguza msitu wenu. Nyinyi muliona wapi bushfire ikazimwa kwa kutumia ndoo za maji.Hapa ni mwendo wa peoples powers mpaka kieleweke.
 
jaman yaani mtoa post unashida ya uelewa yaani kisu na manati ndio visambazwe mikoa yote na huku kila mkoa kunauzwa visu na mipira ya kutengenezea manati zipo tele jamani kweli una vituko mpaka basi mim nikajua bunduki kumbea visu na manati pamoja na ngui za chama ndio vifaaa hata mikoani huku mbona watunavyo sana mf kisu kila nyumba iwe ya masikini ina kisu na vijijini kila mtoto anapofikia rika la kuwinda lazima atengeneze manati nenda kule kwetu tarime uone mpa mishale ya sumu ipo wanamiliki watu wee leo manati na kisu ndo unakuja kutuandikia hapa. kwanza tulishazoea haya ya pilisi hata miaka ya nyuma mahita akiwa mkuu wa polisi alitumika akasema cuf imeleta makontena ya visu je mliliona hilo kontena tumeshayazoe ya policcm hao na mwaka huuu kitaeleweka tu na kma umetumwa usikie watu tunamawazo gani juu ya hlo wambie tunasema mwisho wao wakutumikia ccm ni mwezi wa 10 na polis wataishi maisha mema
 
Wangechukua hata vile vindege vyao walivyokuwa wanacheza navyo hapo angani kamoja wakapake rangi ya Chadema halafu wakatungue then waseme kuwa jeshi limetungua ndege ya kivita ya Chadema. Hapo walau wangeuzauza copy kadhaa! Ila kwa huu ungese! Wanapakuliwa washenzi hawa!

Rudi shule we mtoto acha matusi,.we ndo unaonekana mburula kwa matusi yako ya kitoto
 
Sasa hapo nani kabambikiziwa kitu!?! Vijana wanashiriki katika kuhatarisha amani, polisiwanafanya kazi yao vyema halafu nyinyi mnawatetea hao waasi?

Haya mapenzi ya upofu kwa CHADEMA yanahatarisha usalama wetu wa nchi. Hisia zenu hazipaswi kuingilia utendaji kazi wa jeshi letu la polisi.

Kuwa ccm akili za mfu kwel kweli
 
Mbona umepanick sasa? Kosa langu ni kuketa ushahidi hapa JF wa jinsi mnavyopanga kuipindua nchi kwa njia zenu haramu na uasi?

Tuelezeni ni matumizi yapi ya hivyo vifaa hatari hapo pichani?

Kama nchi inaweza ikapinduliwa kwa mabuti na visu hiyo nchi itakuwa imetengenezwa na nta hata likiwaka jua kali itayeyuka tu.
 
Kweli wewe ni kilaza kwani hivo ni vifaa Vya kijeshi?
 
Kwani Lipumba ndiye aliyevikamata?.

Ndiye mwenyekiti wa chama, ina maana alikubali kuchafuliwa akatulia? Hahahaha kamuulize usiogope au unaogopa utaitwa msaliti na kupopolewa na manati? ACHENI JESHI LA POLISI LIFANYE KAZI, WANASIASA NYIE SIKU ZOTE NDIO MNAOINGIZA NCHI KATIKA MACHAFUKO
 
kumbe manati,safety boots,kitchen knife siku hizi ni zana za kijeshi.
hao police nao wanachezewa akili Kama watoto,informed aliyetoa taarifa hizo yupo shallow Sana kwenye maswala ya Ku intelijesia .
 
Polisi hapa mmechekesha watu.teh teh teh hata mimi nyumbani nina vifaa vya kijeshi njooni mnikamate.
 
Futa kauli yako, hizi picha ni halisi na zimepigwa katika ofisi ya makao makuu CHADEMA Ufipa na hivi ndivyo vijana hao majambazi yanayomilikiwa na CHADEMA yatakavyo valia hivyo vifaa.

View attachment 246821

Tunaenda kwa picha tu maana hakun namna nyingine.

Naanza kuona mahaba yako juu ya chama tawala, awali nilijua umeleta taarifa ila saivi naona uko kwenye kampeni ya kuwachafua CDM.
Unawaitaje watu majambazi wakati huna uthibitisho? Acha siasa za chuki ndugu, siasa ukiifanya hivyo tutazidi kua maskini
 
Tumeshapitia mengi zaidi ya haya hatuogopi tunasonga mbele
 
Wewe uelewa wako ni mdogo vitu gani vya jeshi vipo hapo hizo ni Propaganda tu za act na dada zao ccm

Subiri hao waliodakwa wabanwe.Tutajua kila kitu.

Maana hao waliodakwa wana mawili ya kuchagua ama zigo liwabakie wao na watolewe mbuzi wa kafara na CHADEMA au walirudishe hilo zigo kwa CHADEMA wenyewe wenye zigo lao kwa kueleza kila kitu ili wahusika wenyewe washughulikiwe.

Vyovyote iwavyo kuna mtu ndani ya CHADEMA saa hii atakuwa keshashikwa na tumbo la kuharisha au anataka kukimbia nchi.
 
Polisi hapa mmechekesha watu.teh teh teh hata mimi nyumbani nina vifaa vya kijeshi njooni mnikamate.

Weka jina lako kamili,unamiliki silaha gani, unaishi wapi,kijiji au mtaa gani na namba yako ya simu hapa jamii forums.Utafikiwa muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom