Mkuu unadhani kuna kesi hapo,ni wahuni wamejipiga picha,wala hakuna ofisi ya cdm
Watanzania msiwe wazembe wa kufikiri. Katika nchi zenye watu wenye uwezo mdogo wa kuchanganua mambo Tanzania nashani ni kinara.'Hakuna nchi inayoongozwa na watu makini inaweza kuacha huu upuuzi wa vyama vya siasa uendelee na hii hatua imechelewa mno na siamini kama hii serikali Ya jk ingeweza chukua hatua kama tusingepiga kelele. Watu wanaandaa makomandoo watanzania wanaangalia tu sasa nchi nzima hiki chama kina jeshi ambao ni mwanzo tu . Na kutokana na ufukara wetu vijana ni dhahri wamekosa uzalendo na wanaweza kurubuniwa any time anywhere. Hivyo pongezi kwa jeshi la polisi ila wajue hii hatua imekuja too late na imezoeleka hii serikali haichukui uamuzi Mpaka watu tupige kelele ndo iamke katika usingizi wa pono
Mbona polisi wamekosea walitakiwa waweke na rangi ya chadema kwenye visu kama kipindi kile cuf ,washakosea tena halafu wameweka visu vidogo bora wangeweka vikubwa.
Vifaa vyenyewe vya kijeshi vilivyo kamatwa ndiyo hivi ambavyo havina hata hadhi ya kuvitumia kupigana na sisimizi au kuna vingine?.
Kama kisu ni kifaa cha kijeshi ni bora wakamate wamasai na wakurya nchini
HII KALI MANATI YANATAKA KUVURUGA AMANI YA NCHI ama kweli mafisi mwaka huu yarudi msituni
Yale yale ya visu vya Cuf!!Wana Ukumbi,
Baada ya mkuu wa jeshi la polisi nchini kuvipiga marufuku vyama vyote vya siasa kuhusu kuwa na makundi ya kujihami katika vyama hivyo, CHADEMA wamekaidi agizo hilo halali la polisi na wameendelea kuwatumia Red Brigedi katika chama chao!
Jambo ambalo CHADEMA hawakutarajia ni kuwa, polisi wana vyanzo vyingi vya taarifa, hivyo mmoja wa makamanda wa CHADEMA alifikisha taarifa kwa jeshi la polisi juu ya uwepo wa vifaa vya kivita ndani ya ofisi ya makao makuu na pia kuna mpango wa kusambaza vifaa hivyo kote nchini.
Zifuatazo ndio picha za vifaa hivyo na jinsi CHADEMA ilivyojipanga kuandaa waasi ikitokea imeshindwa uchaguzi mkuu! Yale yanayotokea Kongo yataletwa Tanzania kama serikali haitachukua hatua juu ya jambo hili.
![]()
Baada ya vijana wa CHADEMA kuwekwa chini ya ulinzi na jeshi la polisi wakiwa na vifaa hivyo vya kijeshi.
![]()
Vifaa hivyo vikiwa vimekusanywa na jeshi la polisi ambavyo awali vilikuwa vimefichwa maeneo mbalimbali ndani ya ofisi ya CHADEMA na vingine vikiwa tayari kwa kusafirishwa kwenda mikoani.
![]()
Hapa pia tunaweza kujionea wenyewe jinsi CHADEMA walivyojipanga kuivuruga amani yetu kwani hakuna chama cha siasa kinachoweza kuwa na zana hatari za aina hii ofisini!
mi nilifikiri vifaru, drones, madege ya vita, AK47s, SMGs kumbe viatu tu!!
Puuzeni huu uzi unawaondoa kwenye operation za ukawa nchi nzima. Lumumba wamechanganyikiwa na bado