CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

propaganda za kijinga kweli za tabwe hiza sijui....yan manati ndo vifaaa vya kivita .vry shame ..policcm.angaikeni we ila mwisho wenu umekaribia.yan huo ujinga mwisho mwaka 1995 mwaka 2015 ni UKAWA..yan taasis kubwa kama CHADEMA ikose zana za kujilinda
 
Vitu havina hata TBS unaita silaha za kijeshi!. Huu ushabiki tuonage aibu kidogo.
 
Sijaona vifaa vya kijeshi hapo, nilitarajia kukuta MG, LMG, RPG, mabomu ya kutega ardhini na ya kutupa, kifaru nk, ninachokiona hapo ni nguo za mitumba za mtaa wa kongo wanazovyaa wasanii huko marekani na buti za migodini...teteteh....kama hizo ndo taarifa za kiinterejensia tutashuhudia mengi mwaka huu

B/up saana ndg. Nimechungulia mpaka macho yakaniuma, Nikadhani ni mimi sivijui vifaa vya kijeshi. Kumbe na weye hukuviona. Duh! Mwaka huu tutasumbuka saana kuua upinzani.
 
Sijaona vifaa vya kijeshi hapo, nilitarajia kukuta MG, LMG, RPG, mabomu ya kutega ardhini na ya kutupa, kifaru nk, ninachokiona hapo ni nguo za mitumba za mtaa wa kongo wanazovyaa wasanii huko marekani na buti za migodini...teteteh....kama hizo ndo taarifa za kiinterejensia tutashuhudia mengi mwaka huu

Siku hizi chadema wana migodi?

Hivyo visu na manati nazo za nini kwenye siasa?
 
Jamani Kumbe Jeshi Linatumia Manati Na Visu Hapo Bora Wangeweka Na Rungu La Leigwanan
 
Buti na bendera zitapindua nchi kweli maji ya shingo . Hakuna namna nyingine lazima watoke kwa sanduku la kura hata wakisaidiwa na taasisi zote. tuongeze kuwabana vijijini huko washadhoofika

Mkuu nimeamini kweli ccm wameshikwa pabaya sana hadi wanaamua kujivua nguo na kuwa kama vichaa yaani buti ndio kupindua nchi?ni mwanzo mzuri kwani mtu akishaanza kuweweseka akiwa mahututi siyo rahisi kupona
 
Wote tunajua propaganda hizi za kizee huwa zinatumiwa na ccm, ila hatukutegemea mbinu hizi kutumiwa na Act
 
propaganda za kijinga kweli za tabwe hiza sijui....yan manati ndo vifaaa vya kivita .vry shame ..policcm.angaikeni we ila mwisho wenu umekaribia.yan huo ujinga mwisho mwaka 1995 mwaka 2015 ni UKAWA..yan taasis kubwa kama CHADEMA ikose zana za kujilinda

Hapa unaona nini:

attachment.php
 
Mbona picha hazionyesh aina yyte ya bom..we unajua zana za kivita kwel??
 
mi nilifikiri vifaru, drones, madege ya vita, AK47s, SMGs kumbe viatu tu!!
 
Yaani kinachoendana na jeshi hapo ni hizo cover zamiguu na mikononi basii ambazo sana sana kwa hapa bongo polisi wenyewe ndio wanatumia
 
Vifaa vya kijeshi VP izo buti au ayo manati at a watoto Wa shule za msingi wanamiliki na kutengeneza wenyewe kuna kitu apo kama visu ata nyumbani kwako vipo kana kwako kama amna kisu
 
Hivi lile sakata la visu na bendera za CUF vilivyo kamatwa kipindi kama hiki cha uchaguzi liliishia wapi?.
 
Huu uzi unalivunjia heshima jeshi letu, hivi kweli unaweza kuwambia watanzania hivyo ni vifaa vya kijeshi! Walau mgekuta kabastola kama kale ka chenge kalikolipua ofisi ya Chadema bariadi. Niulize tu swali kunakifaa cha kijeshi hapo kweli? Naona mleta uzi kavurugwa na operation za Chadema nchi nzima
 
Back
Top Bottom