Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
Msangi ni msanii tu, Baada ya kupewa fadhila ya URPC naona anapalilia kibarua chake
Wana Ukumbi,
Baada ya mkuu wa jeshi la polisi nchini kuvipiga marufuku vyama vyote vya siasa kuhusu kuwa na makundi ya kujihami katika vyama hivyo, CHADEMA wamekaidi agizo hilo halali la polisi na wameendelea kuwatumia Red Brigedi katika chama chao!
Jambo ambalo CHADEMA hawakutarajia ni kuwa, polisi wana vyanzo vyingi vya taarifa, hivyo mmoja wa makamanda wa CHADEMA alifikisha taarifa kwa jeshi la polisi juu ya uwepo wa vifaa vya kivita ndani ya ofisi ya makao makuu na pia kuna mpango wa kusambaza vifaa hivyo kote nchini.
Zifuatazo ndio picha za vifaa hivyo na jinsi CHADEMA ilivyojipanga kuandaa waasi ikitokea imeshindwa uchaguzi mkuu! Yale yanayotokea Kongo yataletwa Tanzania kama serikali haitachukua hatua juu ya jambo hili.
![]()
Baada ya vijana wa CHADEMA kuwekwa chini ya ulinzi na jeshi la polisi wakiwa na vifaa hivyo vya kijeshi.
![]()
![]()
Vifaa hivyo vikiwa vimekusanywa kwa pamoja na jeshi la polisi ambapo awali vilikuwa vimefichwa maeneo mbalimbali ndani ya ofisi ya CHADEMA na vingine vikiwa tayari kwa kusafirishwa kwenda mikoani.
![]()
Hapa pia tunaweza kujionea wenyewe jinsi CHADEMA walivyojipanga kuivuruga amani yetu kwani hakuna chama cha siasa kinachoweza kuwa na zana hatari za aina hii ofisini!
KWA WALE MNAODHARAU VISU KUTUMIKA KAMA SILAHA ZA KIJESHI, HEMU TAZAMENI HIVI VISU AMBAVYO NI MAALUMU KATIKA JESHI LA MARAKENI NA UTUMIKA PIA VITANI.
![]()
Pia itakumbukwa ni hivi karibuni tu kuna magaidi walikamatwa Morogoro wakiwa na vifaa vifuatavyo: silaha za sub machine guns, milipuko ya kulipulia majengo majambia, manati, bendera nyeusi, sare za jeshi nk. Hivyo kuna uwezekano mkubwa magaidi hao wakawa na uhusiano na vijana hawa wa CHADEMA. Hivyo jeshi la polisi halina budi kufanya upelelezi wa kina ili kuzuia vitendo vya kigaidi nchini.
Dada kuandika kwa lugha ya kiingereza hakukusaidii wewe kuonekena msomi! Ona sasa umejifedhehesha kwa kuandika kiingereza kibovu kupita kiasi! kwa wenye lugha yao hata hawakuelewi ulitaka kusema nini! pole sana limbukeni wewe.
Utakufa kabla hujauona huo mwisho
Sijaona vifaa vya kijeshi hapo, nilitarajia kukuta MG, LMG, RPG, mabomu ya kutega ardhini na ya kutupa, kifaru nk, ninachokiona hapo ni nguo za mitumba za mtaa wa kongo wanazovyaa wasanii huko marekani na buti za migodini...teteteh....kama hizo ndo taarifa za kiinterejensia tutashuhudia mengi mwaka huu
Chadema ni janga la taifa hakifai hasa kwa sisi wapenda amani
Mbona polisi wamekosea walitakiwa waweke na rangi ya chadema kwenye visu kama kipindi kile cuf ,washakosea tena halafu wameweka visu vidogo bora wangeweka vikubwa.
Miafrika Bwana Ndivyo ilivyo kazi kweli ipo hapo Tanzania. Chadem chadem chadem............wana ukumbi,
baada ya mkuu wa jeshi la polisi nchini kuvipiga marufuku vyama vyote vya siasa kuhusu kuwa na makundi ya kujihami katika vyama hivyo, chadema wamekaidi agizo hilo halali la polisi na wameendelea kuwatumia red brigedi katika chama chao!
Jambo ambalo chadema hawakutarajia ni kuwa, polisi wana vyanzo vyingi vya taarifa, hivyo mmoja wa makamanda wa chadema alifikisha taarifa kwa jeshi la polisi juu ya uwepo wa vifaa vya kivita ndani ya ofisi ya makao makuu na pia kuna mpango wa kusambaza vifaa hivyo kote nchini.
Zifuatazo ndio picha za vifaa hivyo na jinsi chadema ilivyojipanga kuandaa waasi ikitokea imeshindwa uchaguzi mkuu! Yale yanayotokea kongo yataletwa tanzania kama serikali haitachukua hatua juu ya jambo hili.
![]()
baada ya vijana wa chadema kuwekwa chini ya ulinzi na jeshi la polisi wakiwa na vifaa hivyo vya kijeshi.
![]()
![]()
vifaa hivyo vikiwa vimekusanywa kwa pamoja na jeshi la polisi ambapo awali vilikuwa vimefichwa maeneo mbalimbali ndani ya ofisi ya chadema na vingine vikiwa tayari kwa kusafirishwa kwenda mikoani.
![]()
hapa pia tunaweza kujionea wenyewe jinsi chadema walivyojipanga kuivuruga amani yetu kwani hakuna chama cha siasa kinachoweza kuwa na zana hatari za aina hii ofisini!
Kwa wale mnaodharau visu kutumika kama silaha za kijeshi, hemu tazameni hivi visu ambavyo ni maalumu katika jeshi la marakeni na utumika pia vitani.
![]()
pia itakumbukwa ni hivi karibuni tu kuna magaidi walikamatwa morogoro wakiwa na vifaa vifuatavyo: Silaha za sub machine guns, milipuko ya kulipulia majengo majambia, manati, bendera nyeusi, sare za jeshi nk. Hivyo kuna uwezekano mkubwa magaidi hao wakawa na uhusiano na vijana hawa wa chadema. Hivyo jeshi la polisi halina budi kufanya upelelezi wa kina ili kuzuia vitendo vya kigaidi nchini.
Wana Ukumbi,
Baada ya mkuu wa jeshi la polisi nchini kuvipiga marufuku vyama vyote vya siasa kuhusu kuwa na makundi ya kujihami katika vyama hivyo, CHADEMA wamekaidi agizo hilo halali la polisi na wameendelea kuwatumia Red Brigedi