CHADEMA waelewe Katiba Mpya ni ya JMT siyo ya Tanganyika hivyo Zanzibar Wana 50% ya Maamuzi

Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga.

Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi...
Katiba yetu haiitabui Zanzibar kama ni ni nchi ndugu, na ndiyo maana Rais wa Zanzibar hana mamlaka yoyote Tanganyika.

Sema wazanzibar ni wa kuwasaidia ili wawe na Mamlaka kamili, kwa sasa ni nchi isiyo na dola kwa maneno mengine ni mkoa tu ndani ya Tanganyika.
 
Mbona unajichanganya bwashee kwani Ruto au Museveni Wana sauti Tanganyika?
 
Unajua kwanini AG wa Zanzibar Othman Masoud alifukuzwa Kazi na Rais wa Zanzibar wakati wa Mchakato wa Katiba Mpya 2014?
- maswali ya kitoto haya- Alifukuzwa Kazi kwa sababu alipiga kura ya kukataa Katiba ya warioba, the second draft ambayo kimsingi ilikuwa inaunga mkono serikali 3
 
Katiba ya Warioba second draft?

Unaelewa maana ya Katiba lakini au umejaliwa kejeli tu?!!
- second draft, maana yake rasimu ya pili! Kipi Huelewi? Nikimaanisha Rasimu ya Pili ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jaji Joseph Sinde Warioba, iliyoundwa chini ya sheria ya mabadiliko ya Katiba, The constitutional review act
 
Ndio ujue Rasimu Siyo Katiba

Rasimu ya Warioba ni moja tu

Baada ya hapo tuna Katiba Pendekezwa iliyoandaliwa chini ya Mtemi Chenge
 
Back
Top Bottom