CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.

Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.

Tatizo Ukawa wanajiona wapoo wengii..wakijua kura yako ni kwa ccm wanakuandama kama ni dhambi....kumbe ccm tupo wengi na kupigishana kelele na watu hatuwezi
Tulichokifanya ni Ku✂✂✂✂✂✂✂✂✂✂✂✂✂✂✂✂ babu...
Akapumzike sasa,afuge ng'ombe
 
Baada ya kudanganywa na Mbowe na Gwajima mkaanza kumtukana mnamuita Dr.wa mihogo haya haya sasa mabadiliko yapo wapi makamanda???

Mabadiliko ya angani labda...
Yani Ukawa ni zaidi ya malofa
 
Yaani mechi ya upande mmoja haina raha kabisa. UKAWA wamekimbia mitandao ya kijamii. Kwa sasa wanachungulia kwa kijicho

😂😂😂😂😂😂😂these two days have been the best days in this year....
Yaani wametulia ka wamemwagiwa maji ya baridi....ni kimyaaa
 
Mawaziri wangapi wameshaondoka mpaka sasa? Kagasheki mwanry killango wassira kebwe chiza na mzee wenu kapuya tunaendelea
 
Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.

mpaka sasa pamoja na kupoteza lakin cdm imeongeza madiwani na wabunge wengi tu mfano ni siha.same mashariki.tunduma.bunda.tarime. ayo ni majimbo mapya
 
Hivi matokeo yote yashatoka!? Maana unajaribu kuonesha kuwa kuondoka kwa Slaa ni pigo ChaDeMa kwa tathmini ipi hasa? Hii nusu au robo!? Ungesubiri matokeo ya jumla kisha uje na kujumuisha. Kama idadi ya wabunge itapungua hapo utaeleweka.
 
Kweli nimeamini UMASIKINI wa WATANZANIA ni wa kujitakia....yaani kabisa mtu na akili zako timamu unaichagua CCM....??
 
Yaani mechi ya upande mmoja haina raha kabisa. UKAWA wamekimbia mitandao ya kijamii. Kwa sasa wanachungulia kwa kijicho

Kabaki mmawia na ryaro wanapulia mashine hapa jf ila bavicha kimya na viroba naona mfadhili wa viroba kalala mbele
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.

Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.

umelogwa
 
We have already done with him! Yes he did a great job but for now let him rest in harmony. We have opened another chapter & era. He is history now!
 
Ha ha ha, kwi kwi kwi...
Burudani....

Ndio uzuri wa kuchagua upande ulio sahihi....

HapaKaziTu
 
Masikini ni wewe kwa uvivu wako tu wachapa kazi wanakula bata tu mzee inuka chapa kazi fursa ziko nyingi kulialia

Ufinyu wa akili unamfanya mtu ashindwe kulinganisha hali ya kisiasa na upatikanaji wa fursa za maendeleo.siasa inaweza ikakufanya ule bata au uendelee kula nyasi.maendeleo hupatikana pakiwepo watu ,siasa safi,na uongozi bora.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom