simbamzeewamwakidila
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 1,447
- 379
Wadau, amani iwe kwenu.
Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.
Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.
Hahaaaaaaaa wamekumbuka shaka ASUBUHI